Majaji kazi yenu ni kuwaambia washiriki wapi wanakosea na wapi warekebishe! Sio Yes na No tu! Haitoshi! Maana mshiriki anatakiwa kuondoka akijuwa changamoto zilizomfelisha ni zipi! DULI SYKSI ZINGATIA ETHICS ZA KIJAJI SIO KUONGEAONGEA TU WAPE NAFASI MAJAJI WENGINE! (Uko chini ya kiwango Duli)
Hawa judges nyoko sana,hawapeani muda kwa msanii kuimba aka feel ameimba,kwa mfano kuna sehemu msanii anapandisha sauti na sehemu ana shukisha sauti ili sound ionekane imetoka perfect so hata MTU ajamaliza ndio anaanza kuimba tayari judge anamkosea,this shows judges hawana experience za kujua muziki.
yaani ovyoo kabisa wanaua confidence za washikiri wengi hawaasikilizi ni kuwacheka huyu Dully sijui katokea wap hajui jinsi yakujaji kabisa anashobokea madada ovyoo! Naangaliaga sanaa British got talent ,X factor na Agt majaji wanasikiliza washirik wakikosea saa nyingne wanakuwa very emotional nakuwatia moyo..
Bss a town lazima atoke mshind wa kwanza au wa pili hapo tu washanchanganya majaji sio master na riter na dully tu mie mwenyewe jaji for sure Ebenezer na Huyo aliueimba kwa kinanda wakifatana big up hawabani pua wala nini wanajiamini kinoma noma
Comon broo dully, nenda hta English course bana nchi imekuwa saivi wa2 wamesoma. Let them beeeee hunn. I’m proud 🇹🇿 Guess wat😂 mshindi huu mwaka ni Arusha😆 will be back🥰 bottoms up 🥂