He knows mno. To me, he is tge winner. He has a great voice. Indeed, I didn't see anyone to compete with him. But wengi wanaendeshwa na huruma na siyo uhalisia wa uimbaji na sauti....
Yaani majaji mnanifraisha sana sana sana naridhika sn uwepo wenu ata kama cnafraa ila nikiwaangalia nyinyi najikuta na amani sannaaa Mwenyezi Mungu awa hifadhi Amin
exactly i liked the guy, guitar playing was amazing, the voice also was fantastic, he is great for real and i have confidence on him.. am the super fan
Twende mbele nyuma ila jamaa wa rambirambi haikatai haikatox na mzee wa kukanyaga watu binafsi nimewaelewa 🤣🤣🤣🤣🤣 Wameniongezea siku za kuishi Arusha shkamoooni, soon Chuga itakua nchi inayojitegemea walah 🤣🤣🤣 Afu wapiga guitar 🎸 woote wanajielewa 👌👌😍 The last guy had me shading tears ( machozi ya furaha) mmempenda buree👌👌👌👌
Madam RITA MashaAllah nakupenda saana dada aangu,nimetokea kukupenda sana ALLAH akuzidishie umri mrefu wenye manufa una moyo wapekey kisssssss ZAINATH FROM BURUNDU
Ukiwa na kipaji huihitaji mambo mengi na wala mbwembwe nyingi,huyu dogo wa mwisho ndio the best kati ya wote hapo.Alikuwa anaimba wala hana maringo,mbwembwe na wala hakuimba kama kakabwa na chura.Pure talent.
Chaguo la wote watanzania ni Hamisi tu wengine wote mlio wachagua wakwenu nyinyi ila sisi wengi wetu ni Hamisi tu please turudishieni Hamisi wetu radha ya mziki wetu 🙏😭
Can you define for me what professional is OR Tell me how the professional Judges should be stop criticising other people while you have your own weakness
Kwanini ma judge wa bongo mnajibu watu vibaya sana. Kwani hamuangalii American Got Talent, The Voice? Mko hapo ku inspire maisha ya watu sio kuwavunja moyo namna hiyo na kuwadhalilisha...sio poa