Naitwaga Producer PAZZAH kutoka MBEYA TZ.. Aisee me nnadukuduku.... Jaman eeeh Hili swala Me linaniboa saaana.. Yaan mtu hajui kuimba na anakuja kufanya utani na vituko tu na sisi majaji pamoja na wasimamizi wa bongo star search mnaangalia tuu... Hasa hao wanaoleta mizaa wanawapotea muda walio kuja kuonyesha vipaji vyao halisi... Plz liangaliwe hili kwa jicho la tatu... Et mungine oooh sina nauli naomba nauli daaaahhhhh inaboa saaana... Asa Mtu kama alijua hana nauli alikuja kufanya nn sasa jamaan.... Hii ishu ni very serious jamaan kama mtu anajijua kaja kufanya ujinga plz tangazeni asije aisyee... Sorry kama ntakuwa nmeongea vibaya..