Тёмный

"Bora uitwe MSHAMBA lakini umesimamia misingi ya maadili ya Tz" Dkt. BITEKO 

Gilly Bonny Tv
Подписаться 497 тыс.
Просмотров 28
50% 1

Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msingi wa maendeleo endelevu kupitia Sera na Sheria bora kwa kushirikisha wadau wa kidini, elimu, na jamii ili kuendeleza utamaduni ambapo maadili yatajumuishwa katika kila sehemu ya maisha ya Watanzania.
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko katika uzinduzi wa Kitabu kiitwacho “MMONYOKO WA MAADILI NANI ALAUMIWE”, ambacho kimeandaliwa na kuandikwa na Mhe. Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Julai 3, 2024 BAKWATA Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
"Hakuna atakayelipishwa pesa yoyote kwa miaka mitatu"
12:07
MAALIM SEIF: NIPO TAYARI WANIKAMATE/CUF HAWATUWEZI
5:52
Capitalism vs. Socialism: A Soho Forum Debate
1:38:45