Тёмный
Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv
Подписаться
Is an online television registered with the Tanzania Communications Regulatory Authority -TCRA for reporting all news, information, social events, politics, economics, sports and development around the world, our registration number is TCRA/OCS-OT/074/2018.

In addition Gilly Bonny Tv reserves the right to delete any comments that violate the laws, policies and guidelines of the State or RU-vid.

Ni runinga ya mtandaoni iliyosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA kwa ajili ya kuripoti habari zote, taarifa, matukio ya kijamii, siasa, uchumi, michezo na maendeleo duniani kote, namba yetu ya usajili ni TCRA/OCS-OT/074/2018.

Aidha Gilly Bonny Tv ina haki ya kufuta maoni ya mtu yoyote yanayokiuka sheria, sera na miongozo ya Nchi na youtube.

Contacts
Email: gillybonny1991@gmail.com
phone: +255655832712
WhatsApp: +255655832712


Комментарии
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 7 часов назад
Ninyi mnadhani sisi hatujui? Mnatumia nguvu kubwaaaa! UKWELI TUSHAUJUA,
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 9 часов назад
Majinga sana haya yanazani Sugu na Pro J walijipendekeza hivyo .
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 11 часов назад
Acheni kuwa vichaa
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 11 часов назад
Huu ni uhuni kabisa
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 15 часов назад
Vijana wa Hovyo Mno Kakojoeni Machawa tu Nyie.
@LucasModesti-zb7gv
@LucasModesti-zb7gv 15 часов назад
Makonda mwaba sana
@joshuakasemelo1675
@joshuakasemelo1675 15 часов назад
Msigwa kawa zuzu mwehu kwelikweli
@MebatiNdora
@MebatiNdora 17 часов назад
Subaru woyeeee😂😂😂😂
@aloycejames4862
@aloycejames4862 День назад
Tuna kizazi cha ovyo sana wachumia matumbo ni wengi kuliko wapigania haki
@NarcicioBaltazar-xc5iv
@NarcicioBaltazar-xc5iv День назад
Mmetishia sanaa
@JosephMollel-t6e
@JosephMollel-t6e День назад
Huna akili msingwa kumbe kweli ulikuwa shushu umenunulika na Wana ccm sio.sasa kumbe tumeamini haya yanayo tendeka kwenye inchi hii na ugumu wa maisha kumbe ulikuwa unayapalilia
@JosephMollel-t6e
@JosephMollel-t6e День назад
Huna akili msingwa kumbe kweli ulikuwa shushu umenunulika na Wana ccm sio.sasa kumbe tumeamini haya yanayo tendeka kwenye inchi hii na ugumu wa maisha kumbe ulikuwa unayapalilia
@JosephMollel-t6e
@JosephMollel-t6e День назад
Huna akili msingwa kumbe kweli ulikuwa shushu umenunulika na Wana ccm sio.sasa kumbe tumeamini haya yanayo tendeka kwenye inchi hii na ugumu wa maisha kumbe ulikuwa unayapalilia
@JosephMollel-t6e
@JosephMollel-t6e День назад
Huna akili msingwa kumbe kweli ulikuwa shushu umenunulika na Wana ccm sio.sasa kumbe tumeamini haya yanayo tendeka kwenye inchi hii na ugumu wa maisha kumbe ulikuwa unayapalilia
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 День назад
Mzee wa Hovyo Mno, Sijawahi kukuelewa ni chawa tu wewe. Huna lolote
@fadhilmtafya
@fadhilmtafya День назад
Acha ukichaaa
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 День назад
😅😅😅😅😅😅
@emanuelmassawe1984
@emanuelmassawe1984 День назад
Hongo ni mbaya sana mpk kigugumizi ni wewe ndio ulikua unaipiga ccm leo imekua tena nzuri kweli Mungu atakugonganisha kwenye tumbo la samaki mpk urudi kwenye njia ya uchungaji wako
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 2 дня назад
Maaelezo mengi sana. Je mwenzangu umeona loop hole? Mfanya biashara kaenda duniani kaja na sukari kwa bei ambayo haiuziki pasipo kusamehewa kadi. Hapo patamu
@shadluckjoshua3167
@shadluckjoshua3167 2 дня назад
Suala ni kwamba hakukua na uwazi katika kutoa vibali. Hii inaleta hisia kwamba ni kampuni zenu au za ndugu. Tunataka kujua hizo kampuni zilipataje vibali vya kuingiza sukari wakati watu wengine wenye makampuni hawakutaarifiwa kwamba waombe vibali kama wao?
@williamkajala8005
@williamkajala8005 2 дня назад
Mbona Hakuna Comment ktk Swala la Msingi kama Hili, Wataalam Hili Swala limekaaje?
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 2 дня назад
Nawewe umeanza
@songeza
@songeza 3 дня назад
RC udumu Mungu wa mbinguni Azidi kukupa maono zaidi Hilo na lingine ingilia hata tasafu wanajimilikisha viongozi wahisika hupewa sh 20 ebu wsfanye viwango inaumiza mtu hsoni anapewa sh20 mtu na macho yake anapewa sh 70 uwiano uko wapi? Ingilia kati
@kibwetere1418
@kibwetere1418 4 дня назад
Mzee mzima ovyooooooooo!!
@SONGASONGA-do1ry
@SONGASONGA-do1ry 4 дня назад
Mwaka huu hakuna ajira tena
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 4 дня назад
Wewe Mzee kihaya achawa Acha uongo wewe ni Mzee Sasa usikubali kuitwa mtu mzima ovyo acha acha uongozi
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 5 дней назад
Sisi wana ccm wenyewe tunakushangaa hadi inakosa cha kusema rudi kwenye chama chako kafie huko wewe una uhakika na ccm
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 5 дней назад
You are right brother
@Veni584
@Veni584 5 дней назад
Duh!
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 6 дней назад
Siasa ni uvumilivu kwa viongozi wetu.😊
@roidayoab9918
@roidayoab9918 6 дней назад
Mama Samia Mungu akubariki sana sana kwa huduma hii. Makonda ubarikiwe kwa kusimamia jambo hili kwa weledi
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 6 дней назад
Du!
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 6 дней назад
Huyu siyo Msigwa yule kabisa! Kaandikiwa hayo anayoyaongea kiasi anachanganyikiwa? Duuh! "When big mind becomes dwarf minded! 😂😂 Anaongea tu ambayo "wenyeji" wake wanataka wasikie! Pole yake!
@emmanuelademba7919
@emmanuelademba7919 6 дней назад
TANZANIA YETU SAFARI NDEEEEFU SAAANA ya kuja kupata mabadiliko,eeMUNGU BABA pindua mioyo ya watanzia wajitambue.
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 6 дней назад
Kweli naniii hatariiiii
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 6 дней назад
😅😅😅😅😂😂😂😂
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 6 дней назад
Mtasema yooote
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 6 дней назад
Kwa uimbaji huu ! !
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 6 дней назад
Msigwa, ukweli huo umeuona baada ya kukosa uenyekiti ?
@Veni584
@Veni584 7 дней назад
Nimecheka sana
@alexkweka6892
@alexkweka6892 7 дней назад
😂
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 7 дней назад
Malaysia hana ampendeye
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 7 дней назад
Sisi tunataka kujua sakata la sukari. Msigwa hana mvuto kwa wananchi kwahiyo hana msaada wowote kwa CCM.
@abdulseif4093
@abdulseif4093 7 дней назад
Yaani hii inaonesha njaa iliyopitiliza na woga kwa viongozi wa ccm
@kibwetere1418
@kibwetere1418 7 дней назад
Mbona makala anaimba huku anacheka??
@blackkenpokarateacademy.mw2774
@blackkenpokarateacademy.mw2774 7 дней назад
Hahahaa chadema wananikela sana
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 7 дней назад
Hakuna Pigo Lolote That Judas Can Get Lost
@onesmomashembo8495
@onesmomashembo8495 7 дней назад
Huyu sio msigwa wameedit
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 7 дней назад
Kapimwe akili
@saadune
@saadune 7 дней назад
Umoja wa machinjachinja siyo bunge
@ngelelanangale6798
@ngelelanangale6798 7 дней назад
Maneno ya hekima saana ya siyo na wivu wala unafiki yaliyotolewa na naibu waziri wa afraid kendal kwa makonda