Тёмный

BOTI YA MIZIGO YAZAMA ZIWA TANGANYIKA ''KULIKUA NA WATU KUMI'' RPC KIGOMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Boti ya mizigo iliyokuwa ikisafiri kutoka mkoani Kigoma kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeripotiwa kuzama katika ziwa Tanganyika.
Kamanda wa Polisi wa Moa wa Kigoma, James Manyama amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika Kijiji cha Karago wilayani Uvinza .

Опубликовано:

 

3 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 года назад
Duu poleni Sana na mshukuluni Mungu kwa kuwalinda pia hongereni Sana waokoaji.
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 года назад
ALLAH AWAFANYIE WEPESI JAMANI DU HILO ZIWA MBONA KWA SIKU HIZI KUME KUA NAAJALI SANA
@barakachaula7050
@barakachaula7050 4 года назад
Walikuwa 10, Wanaume 8, Mwanamke 1, Nahc huyu Wa Kumi atakua Yule "Yahaya" wa Jayde😂😂🤣🤣
@rosegideon336
@rosegideon336 4 года назад
Duh..
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 года назад
Asante sn mungu kwa huruma zako yarabi zid kutuepusha na majanga hay
@thobiasemmanuel4414
@thobiasemmanuel4414 4 года назад
Poangezi sana kwa jeshi la maji pamoja na wananchi kwa kuweza kunusuri uhai wa hao ndugu zetu
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 года назад
Mungu mwema kama wamepona
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 4 года назад
Kila siku boti kazama jamani nini mbaya 🤔🤔🤔🤔🤔😭imezindi boti kuzama kila mwenzi
@kingswebe3251
@kingswebe3251 4 года назад
*poleni sana*
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 4 года назад
ASANTE SANA MUNGU KWA KUWALINDA WATU WAKO NA ROHO YA MAUTI. MUNGU TUNAOMBA ULINZI JUU YA ROHO ZA WATU WAKO
@sylvesterf.mbonimpaye1413
@sylvesterf.mbonimpaye1413 4 года назад
MV Liemba imekufa na hata serikali imeona bora ipeleke meli mbili lake Nyasa ambako hazitumiki ,barabara za mkoa hoi .Ndugu zanguni Wanakigoma lazma tufikiri Mara mbili la sivyo tutabaki nyuma milele na milele .Ni wakati wa kuamka na kuishinikiza serkal sabab ya mkoa huu kupewa kipaumbele cha mwisho kwa kila jambo linalohusu maendeleo .We are not born to be cheap labourers of other people's regions,let's work to change our attitude and develop our promised land (kigoma) for the bright future of our generations (Amen)
@makongoronyerere2595
@makongoronyerere2595 4 года назад
Neno mv, Lina mikos, badilishen vyombo vyonu neno hilo
@edsoniminani7061
@edsoniminani7061 4 года назад
Sasa huko Tanganyika Kuna Nini ? Mimi mbona Mimi sielewii ?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
nmeamin ıaskar cıo kaz ya akili n kaz ya nguvu tu watu 10 wanaume 8 mwanamke 1 sasa cjuı ....,,,,,,,,
@teacherd
@teacherd 4 года назад
Kwa wanafunzi wote pita KWENYE CHANNEL yangu yapo MENGI mazuri uta yapata juu ya masomo yako
@raphaelmganga374
@raphaelmganga374 4 года назад
Watu walikuwa Kumi, wanaume wa 8 na Mwanamke ni 1 Huyo mwingine wa kumi hana Jinsia au?!!🤣🤣🤣🤣
@ameenasur656
@ameenasur656 4 года назад
😆😆😆
@rosemasaki698
@rosemasaki698 4 года назад
😁
@raphaelmganga374
@raphaelmganga374 4 года назад
@@rosemasaki698 Au wenzangu mmeielewa??
@berniethomas9883
@berniethomas9883 4 года назад
Itakua huyo mtoa taarifa ndo mtu wa kumi
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 года назад
@@berniethomas9883 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnambo ninyi ila ulimi hauna mfupa jamani.
@tmtwane9092
@tmtwane9092 4 года назад
WOLPER SARA NI DANGA ALINIIBIA HARMONIZE gusa link kwa full story ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qPQsxwo2XEQ.html
@jmnafaka9451
@jmnafaka9451 4 года назад
WHOZU NAE AFUNGUKA KUHUSU KUMFUMANIA TUNDAA💥💥🔥 LINK HII HAPA 👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-m915JRu4XCs.html
Далее
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 10 млн
Tanzania | Sunsets over Lake Tanganyika - Kigoma
23:56
Просмотров 2,2 тыс.
SGR TABORA - KIGOMA MAMBO YAMEIVA, KAZI YAANZA
9:07
Просмотров 14 тыс.
Back to the Moon - Part 2
55:34
Просмотров 2,6 тыс.