Тёмный

Breaking News: Sakata la Uber lafikia pabaya, Madereva 50 wanyang'anywa magari na mmiliki 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

Kufuatia mgomo wa Madereva wa Mtandaoni Tanzania (TADO) unaoendelea kwa siku mbili sasa dhidi ya kampuni ya Uber, zaidi ya madereva 50 wamenyang'anywa magari na mmiliki wa magari hayo akidai kushindwa kuvumilia hasara kubwa anayopata.
Mkurugenzi wa kampuni ya Smart Rental Car, Fredy Emmanuel ambaye ndiye mmiliki wa magari hayo amechukua uamuzi huo kufuatia mgomo wa madereva wakidai kuendelea kukandamizwa na Uber kila iitwapo leo kwa kufanya kazi ambayo haina faida.
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@user-px4rb3ui3k
@user-px4rb3ui3k 6 лет назад
uber is an international organisation. it draws info from an international public.in our country we have yet to enjoy cheaper means of energy.in other countries energy costs are minimal,they use gas and other sources of energy that are cheaper than the cost of energy in our motherland. my advice is local investors working with uber should acknowledge or rather give information to the administration about the working conditions and the economic conditions of the country
@Khanafimas1992
@Khanafimas1992 3 года назад
Naomba kujua mnapatikana wap wakuu
@juliussanane1860
@juliussanane1860 5 лет назад
Fred Peleka hizo gari Peleka Airport Terminal 3 zipige mkanda wa Airport Utapiga Ela sana.Gari zako ziko pouwa sana au kama vp fanya biashara ya Dereva kukuletea Hesabu tu.
@KervinBwemelo
@KervinBwemelo 6 лет назад
Hey This is an Opportunity! All you need is an App and get those cars back to the road! Stop complaining and think out of the box! 🤣
@dianarenard5853
@dianarenard5853 6 лет назад
Pole unatk hela nyingi, Kenya uber raha sana faster sana bei zao zinaendana na mda
@dennischarles8524
@dennischarles8524 6 лет назад
Tatizo mnafanya Uber Kama business ya tax au buses,Uber no car share business,unatumia Private cars,mlikurupuka kununua magari 100,that's greedy too
@SwahiliPlatforms
@SwahiliPlatforms 5 лет назад
Mm nafikir angetafuta IT amtengenezee mfumo wake
@siamakundi5362
@siamakundi5362 6 лет назад
Hayo magari uzen ,,,mkianza kuuza mnitafute maana uber imeishia hapo
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 года назад
Haaaa
@luganojacob
@luganojacob 5 лет назад
Mbona biashara ipo nzuri watu tunapiga kazi tu na vyuma tunavyo SEMA jamaa marejesho yake Ni makubwa mno mfano ukipata gar crdb marejesho yake Ni madogo uyo jamaa Ni mnyonyaji mwache aendeshe mwenyewe
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 2 года назад
Nipe uzoefu ndgu yng wa uber ninagari nataka kujiunga na uber
@shekimachaku233
@shekimachaku233 6 лет назад
Kwa Sababu una gari nyingi kissing hiki, anzisha kampuni yako mwenyewe. Achana na uber
@djurio
@djurio 5 лет назад
Kwa ambae si mmiliki wa gari za biashara; anaweza akamwona huyu mwekezaji ni mjinga. Kabla hujamlaumu Fanya hesabu za kiuendeshaji kwanza.
@michaelmilanzi6108
@michaelmilanzi6108 6 лет назад
niuzie moja brother
@chikubundara5761
@chikubundara5761 2 года назад
Nikwer watu wakirudi mitaan itakuwa so vzr
@nadershah4845
@nadershah4845 3 года назад
Tapeli hao smart car rentals
@elvirareonard2520
@elvirareonard2520 5 лет назад
Safi sana
@stevensampasa2336
@stevensampasa2336 4 года назад
Kwer bro
@allyflavour8005
@allyflavour8005 6 лет назад
Niwewe pekee unaye jali. Deliver na familia zetu duuu wengine huwaona derever kama mbwa
@frankkashner
@frankkashner 6 лет назад
Tatizo la hawa uber na taxfy wanafanya ushindani wa kibei badala ya service, Mwisho wa siku wanajiumiza Wenyewe, Madereva wengi sana hasa wa Bajaji wanazima simu zao, You brother mwenye magari zaid 100, Fikiria namna mpya yakufanya uwekezaji WA hayo magari ufanye kama wewe cio kutegemea watu wengine unamtaji Mkubwa sana.
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 6 лет назад
...Hii ni Ajabu sana...!...Mpango mzuri Lkn hauna udhibiti..! Tanzania tuna wizara ya Uchukuzi....hizi biashara za usafiri inabidi ziwe chini ya Wizara...! Wenzetu wanafanya hivi: mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye usafiri wa tax’ (gari kuanzia 50).... anazipeleka wizarani ‘ wanakubaliana anaingia mikataba’ kisha anakabidhi gari ‘ madereva wanaajiriwa na wizara’ Service ni wizara’ Na gari zote zinawekwa Rangi husika ‘ zinafungwa MITA kusiwe na nauli za KUPATANA...! Kisha zinaanza kufanya kazi’ Mmiliki hahusiki tena Zaidi ya kusubiri parcent yake waliyokubaliana na Wizara husika ‘iwe Kwa mwezi Au Kwa muda watakaopangiana’ Sasa hii kampuni ya UBER itakwenda Wizarani kuomba kutumia hizo gari Kwa mtindo huo wa UBER’ bila mmliki wa magari hayo kujua mikataba yao’ ..!...kwa maana hiyo Gari zinakua chini ya Serikali..!..Na ikumbukwe si gari zote zitafanya huduma za UBER’ gari nyingine zitakua kawaida tu’ mtu ataangalia apige simu kuita TAX Au hapo alipo ataona TAX atakwea ataenda zake’ Lkn TAX zote zitakua chini ya WIZARA..! Sasa Huyu jamaa anasema hana mkataba wowote ‘ inashangaza kuona wizara ya uchukuzi ipo ‘ Na mambo kama Haya inabidi wayajue na wahusike nayo moja kwa moja ‘ Na Sio Siri Serikali za wenzetu zinapata kodi kubwa Kwa matajiri kuwekeza miradi hii Kiserikali...!...maana hizo hizo TAX zina matangazo tofauti tofauti ubavuni na Hayo makampuni yatakayoweka matangazo UBAVUNI yatalipia...! Jamani tujifunze kufanya mambo Kwa UHAKIKA na KISASA....tutaona MAFANIKIO....!
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 6 лет назад
Ismail Yusuph smart sana ww mtu
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 6 лет назад
#FlackomasterBaddest ....Yaani huku ni muda wote gari zina Piga kazi’ Madereva wanabadilishana Shift tu’ ..! Muda wako wa Shift ukiisha unapeleka hesabu yako ofisini’ unatoka tena na CHOMBO ’ unawasiliana na dereva unaebadilishana nae Shift unamfuata alipo’ anapakia chomboni’ anakuacha ww maeneo yako’ anaendelea na SHIFT yake..! We unaenda kupumzika ‘ Kwa hiyo Mzunguko unakua hivyo ‘ ..!...24 hours’ madereva wanabadilishana CHOMBO’ tena JUU KWA JUU Sio mpk ofisini’ OFISI inakua ishapanga Ratiba gari hili litakua na madereva labda watatu wanabadilishana Kwa muda uatakaopangwa.!(Gari ikiwa na tatizo Au Service dereva anaipeleka mahali husika) Na huku hizo TAX zote ndani zina METER (ukitaka risiti unapewa) zina CAMERA ‘ zina GPRS....Zina TRACKING.....ZINA SPEED METER...!. Namba za UBER ukitaka unapiga simu’ tena simu hapokei dereva’ inapokewa kitengoni’ kisha dereva anakuja ‘ au ukitaka unatumia Tax za kawaida zisizo na UBER...MWENDO ULE ULE...! ..YAANI FULU SHAVU...!
@lucasmartin431
@lucasmartin431 6 лет назад
too theoretical indeed... umeona nchi gani anafanya hiyo. Sorry
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 6 лет назад
#lucasmartin ...Nchi Nyingi tu..zinafanya hivyo’ usafiri wa Public na Tax zipo Connected na Serikali...!...mfano DUBAI...!
@smarty1064
@smarty1064 5 лет назад
mawazo yako mazuri ila jiulize swali kwanini biashara za serikali huwa hazifanikiwi (nchi zote duniani hata marekani wanalijua hilo na ndo sababu ya kuwawekea mazingira mazuri watu binafsi) hizo bureaucracy ndo zinazorudisha nyuma biashara
@edwingenesis1711
@edwingenesis1711 6 лет назад
Kwa kuwa unamtaji mkubwa wa magari nakushauri ujaribu kuingia ubia na taxify ili uweze kuleta ushindan zaid kati ya uber na taxify
@imanirashidi5621
@imanirashidi5621 5 лет назад
Edwin Genesis wazo
@sedetkamwendo9574
@sedetkamwendo9574 6 лет назад
Pole
@athumanpalamba9135
@athumanpalamba9135 6 лет назад
daaah huba wanazingua niatali ukipakia abilia kuna asilimia 25 yao apo mafuta yako selvis yako ukipatajali haiwahusu daaah viongozi tusaidieni vijana wenu
@mrishogange4276
@mrishogange4276 6 лет назад
Nataka ist moja mzee
@jaguarpaw113
@jaguarpaw113 6 лет назад
Good
@faridamtepa4476
@faridamtepa4476 6 лет назад
Achananao uba
@isaimato9145
@isaimato9145 6 лет назад
Wameshusha ili kuongeza watumiaji wa UBER na pia kuwafanya wakopaji gari CRDB washindwe kurejesha mikopo
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 года назад
Nipate Kamoja kama ka ivyo, ntaringa mjini ,,
@sharifahayatta3584
@sharifahayatta3584 4 года назад
Madereva wengi waongo kwani upunguza speed njiani kiadi ni kero kwa wateja
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 5 лет назад
Uoni kwamba wakizila itakula kwako
@chrisjohn6734
@chrisjohn6734 2 года назад
U buy over 100cars and u are not able to create your own app
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 лет назад
Kwanini ulikubali mwnzo na bei zao walikupa
@emanuelgaddafi7651
@emanuelgaddafi7651 5 лет назад
Jichunguze kunasehemu inakufelisha marejesho yako ukilinganisha na quantity ya magari
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 6 лет назад
Unaongea kweli kabisa ila uzembe ulio ufanya ni kutoeka mandishi
@solomonitv7808
@solomonitv7808 6 лет назад
Peleka baadhi ya mikoa
@saidbanga
@saidbanga 6 лет назад
Asa kama hamjawekeana mikataba unahisi nini kinatokea.... lazima mzinguane tu..!
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 лет назад
Akili za Abunuwasi,unahiyari gari isipige kazi hasara kubwa
@joelwainaina9711
@joelwainaina9711 6 лет назад
Na niulize kwani taxi lazima ifanye kazi ikiwa ndani ya uber, hamuezi jipanga nyinyi wenyewe na madereva wako
@elhosnyf
@elhosnyf 6 лет назад
Uyu jamaa hajielewii, sasa na nyumaa huja complained kuhus Uber na 2. Uber wamefanya ivo kwa ajili biashara yao inaenda we hujalazimishwa kuwingia Uber we uza wacha wengine wanaona maslay na Uber
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 6 лет назад
Biashara ya Uber ilikua na shida tangu nchi zilikoanzia.serikali wao wanchojari uber wanawalipoa kodi basis lakini ukifuatilia uber wako na shida kila mara.
@temesjames8867
@temesjames8867 6 лет назад
Hesabu zenu kubwa 35,30 kwa nini msifanye 20?
@emaneez
@emaneez 5 лет назад
Kwani hiyo bajaji
@pumpededson1568
@pumpededson1568 5 лет назад
Mbona sauti hamna
@AwesomeCaptainxx
@AwesomeCaptainxx 6 лет назад
wewe uza wale wajinga sana wanunue gari zao wa ajili madreva waweke bei wanazo taka tatizo wabongo mmezoea mteremko et utoke sinza hadi kaliakoo kwa 3,000 pumbavu kabisa kapande mwendo kasi na mengine yasivyo na adabu yana gonga milango vibaya vibaya na kuomba na AIC 😩
@azizamohd5728
@azizamohd5728 5 лет назад
Nilitoka posta ya zamani hadi mbagala kwa sh elfu6
@maselewilliam1114
@maselewilliam1114 6 лет назад
Kusema ukweli bongo shida.....nipo USA tunatumia ubber na lyff ni gharama ndogo kuliko tax hivyo huyo jamaa anataka faida kubwa tu na kama anapata hasara mbona hao crdb wanaoendesha ni wale waliokuwa kwako.......ukishindwa biashara uza magari.
@a.s.afishfarming6225
@a.s.afishfarming6225 6 лет назад
Achakulopoka wewe USA ya mbagala????
@niazbarshazia7278
@niazbarshazia7278 6 лет назад
am looking for contacts of this man friedy anyone who can connect me with him i will appreciate
@michaelmilanzi6108
@michaelmilanzi6108 6 лет назад
ata moja niuzie kaka
@emanuelmoshama1747
@emanuelmoshama1747 6 лет назад
huna ubunifu dogo unawekezaje hela zote izo kisa uber, umekosa mawazo kabisaa duu
@edwardkavishe9501
@edwardkavishe9501 6 лет назад
Hajui kugawa risk aliespect biashara itakua na faida all time
@magangashabani4985
@magangashabani4985 6 лет назад
Nauli za Uber wanazingua mwisho wa siku chombo kinachakaa hela una
@abdulhamidy8920
@abdulhamidy8920 5 лет назад
Uyu jamaa ndo aliepigwa chini na yono
@saadsalum3253
@saadsalum3253 6 лет назад
Namm nkusgaur gar kafugie kuku nyumban hizo km hazina mslahi kwenye uber
@africangirls482
@africangirls482 6 лет назад
akizingia ndani jiulize madereva wataish vp mzee
@uberdar4158
@uberdar4158 6 лет назад
uber unazingua sana
@abuukiogwe6806
@abuukiogwe6806 6 лет назад
Kwanini selikari isiichunguze uber na taxify tz hili nijipu magufuli tusaidie baba ma NGO mengi ayaeleweki umesema yafutwe nahawa kama hawataki kwenda sawa na cc madereva waondoke nchini tumechoka inakuaje mtu nimuwekezaji na bei apange bei yeye,Shelia za uholanzi,na hamiliki hata gari moja ichunguzwe jamani tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@japryt7955
@japryt7955 6 лет назад
UBA ni NGO?
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 6 лет назад
magari 110
@TradingPHD
@TradingPHD 5 лет назад
Greed ... juda
@chrisjohn6734
@chrisjohn6734 2 года назад
Just create your own app instead of crying like a baby.sorry to say it but this was due to a weak business plan
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 лет назад
Wewe umemuona rais hana kazi hadi aanze kufuatilia mambo ya uber?
@manmacho6529
@manmacho6529 5 лет назад
he! kampuni ya kigeni?
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 6 лет назад
Boss we ni mfanya biashara huliingiaje humo au wamekulazimisha? huwa mnalazimishwa au kabla ya kuingia kunamapata?
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 6 лет назад
Kenya hiyo uber walisha piga chini wezi tu.
@abuukiogwe6806
@abuukiogwe6806 6 лет назад
Nahapa kiama chaja
@isacktesha8114
@isacktesha8114 6 лет назад
Ni mkopo Mkuu
@gastonponera7962
@gastonponera7962 6 лет назад
Vitus Mdegela duuuh. Uongo mwepesimwepesi huu. Ubber inalipa, acheni tamaa.
@tripplejcabs3759
@tripplejcabs3759 6 лет назад
@@gastonponera7962 Siku mtakao jipata kama sisi Nairobi, mtaelewa maana ya kuuzima mtandao Wa uber...huku tumeshazima Wanyanyazaji hawa
@isaimato9145
@isaimato9145 6 лет назад
Hiyo ni mbinu yakibiashara UBA wameshusha nauli ili kuwafanya madereva waliokopa gari za CRDB washindwe kurejesha mkopo na badae wawanyan'ganye hizo, mana watakua wameshapewa sehemu ya marejesho wakichukua na gari inakua faida mara mbili. Soon watarudisha bei baada ya kurejesha gari zao kadhaa, 0716395650
@victorjames3730
@victorjames3730 5 лет назад
Noma dingi kweli amebana
@mosesmwaisela2455
@mosesmwaisela2455 6 лет назад
Kampuni haina gari Hata. 1 udhani itakujali wewe. Yeye hajui ghalama yoyote inayo husu gari.
@tripplejcabs3759
@tripplejcabs3759 6 лет назад
Uber ni kama wezi...Wa mifuko
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 6 лет назад
Sahvi Biashara imekuendea vibaya ndio unalalamika, Vipi Ilivokua Nzuri ulisema wapiiiii
@saadsalum3253
@saadsalum3253 6 лет назад
Unatakiwa uchunguzwe gar zote hizo hela umetolea wapi
@dicksonmatiku7208
@dicksonmatiku7208 6 лет назад
Msikile mtu vizuri anacho kiongea ndo uongee na ww jamaa kasema kaaplai mkopo wee unasema achuguzwe nyie ndo hamfanyi kazi mmekalia kuwachunguza wanao angaika kupambana kufanikisha maisha pambana na ww upate afu uje uchuguzwe unyang'anjwe uone itakavyo kuuma
@reinhardkimaro8620
@reinhardkimaro8620 6 лет назад
Akili yako mavi kweli. Kajichungize mwenyewe
@psquarevanpetro3598
@psquarevanpetro3598 6 лет назад
saad salum!!!ukisia wivu Wa maendeleo ndo huuu sasa khaaa😕
@isayawanzega9144
@isayawanzega9144 6 лет назад
si amekuambia amekopa au huelewi
@luganojacob
@luganojacob 5 лет назад
Mbona biashara ipo nzuri watu tunapiga kazi tu na vyuma tunavyo SEMA jamaa marejesho yake Ni makubwa mno mfano ukipata gar crdb marejesho yake Ni madogo uyo jamaa Ni mnyonyaji mwache aendeshe mwenyewe
Далее
Bolt, Uber) zinavyoua biashara ya TAX za vijiweni.
16:41
Magari yanayoongoza kwa kuharibika Injini DSM
8:35
Просмотров 63 тыс.