Тёмный

Magari yanayoongoza kwa kuharibika Injini DSM 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 64 тыс.
50% 1

AyoTV imetembelea ILALA Dar es salaam eneo ambalo ni maarufu kwa kuuza vifaa vya magari vilivyotumika ambapo pamoja na kufahamu kuhusu mauzo ya spea, tumeambiwa Injini za magari ambazo zinanunuliwa sana kwa sasa.

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 5 лет назад
Umetisha brother umewahoji vizur na ume watangazia biashala pia 💪
@geofreymilinga1042
@geofreymilinga1042 5 месяцев назад
Bro. Ulaji wa mafuta unatofautiana hauwezi kuwa ni ule ule land Cruiser V8 haiwezi kuwa sawa sawa na Carina TI hata kama ziwe mpya kabisa hapo kidogo umechapia
@xxhotupo928
@xxhotupo928 2 года назад
bumper ya Grande Mark two bei gani?
@mamahustru
@mamahustru 7 лет назад
hawa wauza spares wadhibitiwe na wawe registered. Maana ndo nguli wa wizi wa magari mjini, wanawezi wao, wanao iba magari na kuwaletea spares. Wawe a registration ya kila spare iweze kuwa traced inakotoka. Wameshaniliza sana hawa watu.
@real_a0794
@real_a0794 7 лет назад
Moyosafi 1) usiongee kitu ambacho hukufahamu 2) wauza spare wako registered na kila duka lina lipia mapato ya serikali 3)wako na kamati ya wafanyabiashara ya spares ambayo inatambulika na serikali 4)kuna maduka zaidi ya 300 ya spare na kila duka halipungui engine 30 kwenda juu kwa akili yako wanaiba magari mangapi kuwa na duka mmoja tu 5)kila gari ina engine na kila engine ina serial namba mpka kwenye kadi za gari zimeandikwa na kisheria unapo badilisha engine ya gari lazima ukabadilishe na kadi 6)unapotoa kontena za spare bandarini unaandikisha kuna engine ngapi kwenye kontena na majina yake 7)kwenye risiti unayopewa ni lazima waandike jina la engine ili ikiwa na tatizo unaporejesha usirejeshe engine yako mbovu 8)wauza spare ndio wana safiri kwa wingi kwenda dubai kwa mwaka mmoja mtu mmoja kiuchache ana safiri tripu 5 9)unapo nunua spare dubai wanakaa na risiti zao ilikuwepuka mambo kama hayo unayodhani 10)samahani kama nitakuwa nimekukosea ni just kukuelewesha tu ahsante
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 лет назад
Ahmed Mohammed ..Kwelio 100%Kuna Miwatu inajua Kujiropokea tu Hukuuu
@devidpanja115
@devidpanja115 3 года назад
@@real_a0794 safi sn nmekupata kaka
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 года назад
Sasa gari ya kubeba kilo 500 Nyie mnazibebesha kilo 2000 mzigo wa toyota stout, Mnategemea nini.
@innocentkyungai480
@innocentkyungai480 6 лет назад
Natalia ya Noah VP inapatikana
@harounali1626
@harounali1626 7 лет назад
Omar Said Ume zungumza kiufundi muhimu kujuwa Engine imeshatemba miles ngapi na service unafanya kila baada ya mileage ngapi hapo sawa. Suala langu wewe unaetuletea Engine kabla huja iweke dukani unajuwa ilisha tembea how many miles? Ili nikija kununuwa unaniambia engine hii ni mileage fulani. Kwani uzeekaji wa engine ni mileage na siyo miaka.
@real_a0794
@real_a0794 7 лет назад
Haroun Ali unaponunua engine dubai gari zinakuwa zishakatwa from japan dubai ni soko tu ila kwa swali lako linajibika hivi unapouziwa engine hapa unapewa guarantees na unapo ifunga tu engine kwenye gari kama ina smoke au shafts inagonga au inachemsha unaijua mara baada ya kuifunga tu kwenye gari yako so cha muhimu umeshafunga engine yako kwenye gari engine ikawa haina tatizo kinachofuata ni service kwa time na utunzaji wa gari lako
@harounali1626
@harounali1626 7 лет назад
Shukran kwa kunijibu nime lipokea jibu vizuri. Jazaakum khayra
@laurentnkanga5449
@laurentnkanga5449 6 лет назад
Mko sawa, shida iko kwetu watumiaji
@sammybrown5952
@sammybrown5952 6 лет назад
shingapi!!!!
@ابنعثمن
@ابنعثمن 4 года назад
Suzuki Carry biashara kichaa,bora ununue bodaboda utapata pesa kuliko kujiona unamiliki gari kumbe gari ndio inakumiliki wewe, kwanza lazima uwe na gari?
@theresiamoyo3855
@theresiamoyo3855 3 года назад
Nina carry hp ina MIAKA 6 ijafunguriwa injini na ipo ok na inafanya kz kikubwa cha kutazama maji na ubora wa oil
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 4 года назад
Kitu poa xana hii mmefanya kwa biashara yenu na ya hao jamaa pia....tumepata kujua kuusu wao especially aina za magar na ubovu wao lakin pia nyinyi mmepata faida pia
@moteshaenterpred3995
@moteshaenterpred3995 6 лет назад
Na kama rings zimeshastik kwenye piston MTU atajuaje maana kitamu zili zote na rings zina mda wake kilometa laki moja tuu' baada ya hizo kilometa inatakiwa ovahall
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 Год назад
Gari itatoa moshi
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 3 года назад
kwel
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 7 лет назад
ufafanuz mzur sana ah santeni
@masetomuhafiwa4546
@masetomuhafiwa4546 Год назад
mswaki ist Bei gani 2NZ
@petrojacob3509
@petrojacob3509 5 лет назад
NISSAN FUGA Inanitesa sana
@rashidyussufsaid6575
@rashidyussufsaid6575 3 года назад
Ilo jini mjomba acha tu likuuwe likikushinda uza fuga ni jini
@keflengeorge81
@keflengeorge81 3 года назад
Tunaomba no
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 9 месяцев назад
😢
@jumamichael4083
@jumamichael4083 7 лет назад
Ndio
Далее
Jifunze namna ya kufanya engine diagnosis
29:15
Просмотров 22 тыс.
Китайка стучится Домой😂😆
00:18
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA CC
13:25
Просмотров 38 тыс.