Тёмный

BREAKING:RAIS SAMIA APANGUA SAFU YA MAWAZIRI, UMMY MWALIMU ATUMBULIWA, LUKUVI NA KABUDI WAPEWA SHAVU 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 179   
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 2 месяца назад
R.I.P magufuli
@Peace-x6s
@Peace-x6s 2 месяца назад
RIP
@KaizerKilagwa
@KaizerKilagwa 2 месяца назад
Pongezi kubwa kwako mama Samia kwa kaz nzuri kazi iendelee na sasa muonyeshe ushirikiano mzuri kwa mama katka utendaji kazi msikae office tu
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 2 месяца назад
Hivi hamna watanzania wengine wasomi zaidi ya hizi sura kila siku ndo hizi??Mbn watanzania tena wasomi wazuri ni wengi tu?Huu mzunguko tumeuchoka tunahitaji badiliko ya dhati na kweli ili kuleta maendeleo kwani wote hawa walikuwepo tangu awamu ya 4 kwa mzee wa Msoga na walifeli kwa sbb hawakuleta matokeo mapya yyte,tupo wasomi wengi huku nje angalieni tena na tunaweza kuiletea maendeleo Tanzania tukiaminiwa.
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 месяца назад
Wachezaji wanabadilishana namba tu😂😂
@filamupictures9349
@filamupictures9349 2 месяца назад
hizo ni siasa ndugu yangu, lazima ateue watu anao waamini, hawezi kuteua tu watu, siasa zina hujuma na fitna lazima awe na timu anayoijua, yenye uzoefu na anayoiamini
@georgewambura7695
@georgewambura7695 2 месяца назад
Si ndo kikundi chao
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 2 месяца назад
Wasomi wapo uzoefu mdogo wataanza kuiba kwanza
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Ndo nashangaa kila siku hao hao utazani serikali ni yao peke yao,wasomi tumujee,me nina Masters yangu na sina kazi danadana kila siku,pumbavu
@MassaweLemmy
@MassaweLemmy 2 месяца назад
Mama hongera sana kwa kazi zote !
@ntegrity277
@ntegrity277 2 месяца назад
Ummy Mwalimu aje awe waziri mkuu wa kwanza mwanamke
@abubakarimburu9096
@abubakarimburu9096 2 месяца назад
Hongera sana mama kwa kabudi na lukuvi
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 месяца назад
Mama Samia safi safi na safi Tena yaani❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 месяца назад
Mimi kwangu Ummy mtu bora sn.
@checkchannel3876
@checkchannel3876 2 месяца назад
Kuna watu walitolewa tangu mwanzo Mama anaingia, wengine hatukuelewa kwa nini awatoe? Kama Kabudi na Lukuvi. Sasa kawarudisha! Rai yangu muda wote huu ambao hawakuwepo wangekuwa wamemsaidia sana, hivyo hakukuwa na haja ya kuwatoa. Kuendesha nchi ni kazi ngumu, Rais inabidi awe tayari kutembea na wachapakazi. Asiwe anawatoa kwenye nafasi watu wa namna hii wasaidie nchi kwenda mbele. Haisaidii kiongozi unapotaka kubaki na watu laini laini tu, nchi inakuwa haiendi. Bora lawama lakini nchi isonge mbele!!!
@KulthumSalum-d6p
@KulthumSalum-d6p 2 месяца назад
Yaan anashtuka wakati pamekucha sana kiufupi kachelewa sana
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 месяца назад
​@@KulthumSalum-d6p nikweli ndugu anakumbuka shuka na kumeshakucha
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 месяца назад
​@@KulthumSalum-d6pAnaumwa huyu mama anatapa tapa alitoa watu wakaz kaweka watu wez wameiba sasa wanamgeuka wampindue ndio anashtuka Atakoma nabado tutashuhudia meng kat yahaya
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 2 месяца назад
​@@KulthumSalum-d6pmnooo
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 2 месяца назад
Mungu itunze Tanzania 🇹🇿
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 2 месяца назад
Tanzania ina historia na baadhi ya watu wanaofanya vizuri wawapo kwenye utumishi wa serikali. Kama profesa kabudi hakustahili kuwa nje ya utumishi wa serikali, toka awamu hii ya sita inaanza. Maana ndio waliosimamia mazungumzo ya ukwepaji kodi uliokua unafanywa kwenye makinikia. Alisimamia vizuri sana. Hadi boss wa kampuni ile alikuja hapa nchini, akakubaliana kuilipa serikali ya Tanzania. Lakini kazi kubwa ilifanywa na kabudi na timu yake.
@Bmtstudiostz
@Bmtstudiostz 2 месяца назад
Mh Prof Palamagamba Kabudi anatosha sana
@WinfridaKagaruki
@WinfridaKagaruki 2 месяца назад
Mama Samia oyoeeee! Hongera mama kwa kurudisha jembe Palamaganda , na kazi iendelee
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 2 месяца назад
Kwako na familia yako
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 месяца назад
Amaona uchaguz unakalbia anawaludisha timu maguful kaona timu kikwete inataka kumng'oa kudadadeki
@SarahHamis-b6k
@SarahHamis-b6k 2 месяца назад
Asante MUNGU kwa kusikia maombi yangu libarikiwwe kina la Bwana Yesu. Tuzidi kuomba watumishi wetu
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 2 месяца назад
Sijapenda kwa Ummi
@AfwilileNisaidie
@AfwilileNisaidie 2 месяца назад
Hongera ummy mimi katika mawaziri wanawake nakukubari sana huna mbwembwe huna majivuno kama Chalamila ❤
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 2 месяца назад
Hongera sana Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi Ukweli ulivyo Wewe ni Jembe. Mhe. Rais wetu hakika amekuona Rais wetu nimwema sana. Ccm Oyeeeeeeeeeeeeeee ee.
@maulidmusa8902
@maulidmusa8902 2 месяца назад
Aliyeokotokwa toka jalalani
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 2 месяца назад
Ya vyoko mwehu wewe
@salhaomar5382
@salhaomar5382 2 месяца назад
​@@Misheckkazilist-cv2hbmwehu mwenyewe
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 месяца назад
Kuma kwel ww ccn oyee yababaako fisad usiejielewa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
CCM oyee wakati, maisha yako duni​@@BoniphasLukas-c3c
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 2 месяца назад
Mama upo sawa
@andrewsayi2152
@andrewsayi2152 2 месяца назад
Hongera waziri wangu Ummy mwalimu kwa utumishi uliotukuka. Watumishi wa afya tutakukumbuka sana ilikuwa kiongozi Bora sana kwetu
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
@@andrewsayi2152 tatizo lake ni tanga line... team february
@aishawhite1107
@aishawhite1107 2 месяца назад
Hakika tutamkumbuk siku zote
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 месяца назад
Kwakua mlikua unakula wote madlil yadawa mnauza kwenye maphamas hospital Kila sku dawa hakuna mnauza hamsumbuliw nikwel mtammis sana kwakunyanyasa wagonjwa mahospital Nahamchukuliw hatua pumbavu zenu
@happymakweta2000
@happymakweta2000 2 месяца назад
Lukuvi nakupenda ungewekwa ardhi
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 2 месяца назад
Ummy jeee!!!!!!!
@lazaroeliphas8353
@lazaroeliphas8353 2 месяца назад
Kabudi na lukuvi tuna Imani na ninyi
@joycekweka5416
@joycekweka5416 2 месяца назад
Ummy angebakia afya. Ila palamagamba namkubali sana tangia enzi za magufuli strong man
@DominicaShio
@DominicaShio 2 месяца назад
Piga kazi mama Samia hoyeeee kumbe una macho hongera mama
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 месяца назад
Kazi gani?? Hiyo ya kukopa tu???
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 2 месяца назад
​@@upendoeliya9329😂😂😂😂
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 месяца назад
Hakuna kitu hakuna vijana wanaofiti katika nafaai hizo mpaka kurudisha wazee?
@hamisipolenisanaissa8859
@hamisipolenisanaissa8859 2 месяца назад
asante mama kwa kuwarudisha
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 месяца назад
Lukuvi alistahili wizara ya ardhi. Anaiweza sana.
@tinertv1382
@tinertv1382 2 месяца назад
Mama umenifurahisha sana kuwarudisha lukuvi na kabudi
@bundalaizina652
@bundalaizina652 2 месяца назад
Asante mama
@aurelialyimo8650
@aurelialyimo8650 2 месяца назад
Mama Samia raisi wetu hongera hongera sanaaaaa
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 месяца назад
Mabadiliko ya kila uchao hayasaidii.Tupate mabadiliko ya uchumi.Kila unaowapanga hawana msaada.Kwa Feleshi sawa kabisa kabisa tulikuwa hatuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
@leopoldwilliam2128
@leopoldwilliam2128 2 месяца назад
Kazi iendelee
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 месяца назад
Ipi?? Ya kukopa kopa au??
@leopoldwilliam2128
@leopoldwilliam2128 2 месяца назад
@@upendoeliya9329 Tutafanyaje sasa ndiyo wameshika makali!!@#
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 2 месяца назад
Mama mh.ulikuwa wap muda wote mpaka watu wanapoteza matumaini? Pole mama ila tunakuombea Mungu akujalie neema na hekima zaid
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 2 месяца назад
Hongereni sana sana. Waoo Nimefrahishwa hawa wapambanaji kurudishwa sait. Asnt mama.
@chrisantusdavid358
@chrisantusdavid358 2 месяца назад
Daahh.. Najua wazi sasa mama alishagundua wapi alitekeza na amesahihisha.. Kiukweli kabudi na lukuvi walikua wachapa kazi hodari..
@AMOSSILYVESTER
@AMOSSILYVESTER 2 месяца назад
Hongera mama kumurudisha kabudi❤❤❤❤❤❤❤❤
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
Namtafuta mganga wa Dr Prof Mwigulu..hakika,jamaa yuko njema
@annadida5672
@annadida5672 2 месяца назад
Anamtegemea Yesu ndugu, anafanya maombi sana
@karimjuma4019
@karimjuma4019 2 месяца назад
​@@annadida5672acha uwongo yesu ni binadam km ww acha zana potofu
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 2 месяца назад
Tusaidiane kumtafuta maana hapa kkoo tunasikilizia Kwa bidiii
@BoniphasLukas-c3c
@BoniphasLukas-c3c 2 месяца назад
Uyu ni jambaz anaetumwa Kaz na rais namambo yanakwenda super msitegemee kutolewa Leo wla kesho huyu nimtaalam watozo zajanja janja rais anamkubal sana
@SophiaPatson
@SophiaPatson 2 месяца назад
Nilivyo ona kabudu tuu naona tanzania ya Magufuli hiyo
@JosephSteven-pf1kf
@JosephSteven-pf1kf 2 месяца назад
Kabud one love
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 2 месяца назад
Hongera mama samia piga kazi acha wapige kelele. Kabudi na lukuvi hapo safiiii. Kazi iendelee
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 2 месяца назад
kwani wengine tanzania akuna tuna ona kila siku wale wale vipi apo
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 2 месяца назад
Mama safi kabudi poa na lukuvi
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 месяца назад
Hilo neno kutumbuliwa halijakaa Sawa ni bora kusema atapangiwa kaz nyingine @millardayo
@badeda
@badeda 2 месяца назад
Kabudi na Lukuvi wamerudi🎉🎉
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 месяца назад
Mama anaanza kurudisha vyuma vya Magufuli baada ya mwamba kuoza. Ila it is never too late, simlaumu mama maana transition ya kijinsia ina joto lake, kilichobaki Makonda ajitokeze kama yuko hai, ili kazi iendelee.
@YohanaMathayo-r7p
@YohanaMathayo-r7p 2 месяца назад
Ongera lukuvi na kabudi mungu awatie nguvu na busara wazee wangu na wapenda kwani mna busara
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 2 месяца назад
Unateuwaa watu walewale kila cku utapata utofauti gani hapo sawasawa kuchukua ela ufuko hu na kuweke mfuko mwngine kuna nini!? Hapo fukuza weka watu wapya tanzania ina watu milion 60 wewe unaangaika na ao ao kila cku jamanii da! Hi nchi kichwa cha mwenda waziximu
@deuslucas2256
@deuslucas2256 2 месяца назад
Mama safi sana kwa kuturudishia watu makini
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf 2 месяца назад
Mama samia apo ume upiga mwingi 🎉❤
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 2 месяца назад
mhagama mwenzangu oyeeee
@MaryHosea-kp2oo
@MaryHosea-kp2oo 2 месяца назад
sasa sku zote izo mama anatikisa sketi alidhani mjomba alikuwa bwege hii nchi inawenyewe wnyw ndo hao bdo balozi bashiru ally
@jestinaluvanda-jm4tc
@jestinaluvanda-jm4tc 2 месяца назад
Mama ummy vip tunamuweka wapi
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 месяца назад
Lukuvi mtani wangu ongera sana.by mngon songea❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@MASELEBUBINZA
@MASELEBUBINZA 2 месяца назад
Hongelaa mama ila umi mwalimu jitahidi kumukumbukabadayee kabudi saf lukuvi safii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Saaafi mama endelea kutumbua majipu
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 2 месяца назад
Duuu yale aliyosema mtumishi Rolinga yanatimia
@robertphilip385
@robertphilip385 2 месяца назад
Kweli asee
@alexmaungo2851
@alexmaungo2851 2 месяца назад
Na bado yatatimia
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 2 месяца назад
Na mkubari sana mtumishi wa Mungu yule🙏
@JoyceKisenga-mq8tt
@JoyceKisenga-mq8tt 2 месяца назад
Yaani Rolinga akisema mi huwa naogopa maana ametabiri mengi na yametimia
@robertphilip385
@robertphilip385 2 месяца назад
@@JoyceKisenga-mq8tt sana tu huyu ni Nabii wa kweli
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 месяца назад
Kabudi ongera sana❤❤❤😂
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 месяца назад
Hi wala haina maana hali ni ngumu kimaisha
@filamupictures9349
@filamupictures9349 2 месяца назад
hali ngumu kimaisha kwa nani??? mbona wezako tunaishi vyema, na hali ngumu yako kimaisha kuifanya iwe rahisi jukumu la nani??? babako mzazi tu huwezi kumlaumu hai ngumu ya maisha kwanini umlaumu Rais ambaye hata hajui kuna wewe unaishi mahala, kaza matako, Mungu tu jasema mtakula kwa jasho, we unataka nini upewe vya bure?
@Khamis_Waya
@Khamis_Waya 2 месяца назад
@@filamupictures9349Endelea kufanya kazi vyema na muombe Mungu aendelee kukubariki hapo ulipo na uende mbali zaid, sio kila mtu ana nafas kma ulio nayo wewe au amebahatika kufika apo ulipofika wewe. Maisha ya mtanzania mmoja mmoja ni magumu licha ya kua kuna wachache wanamaisha mazuri. Mungu atubariki sote na aendelee kutulinda katika harakat zetu za kila siku🙏
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 2 месяца назад
Ummy kaenda wap
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 2 месяца назад
Wakongwe warudi nchi bila wazee ni vurugu uteuzi wa.kabudi na lukuvi huu ni waviwango busara zenu ndio nuru za Taifa....
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 2 месяца назад
Apa kwenye Afya mh kazi ipo
@petercharles7959
@petercharles7959 2 месяца назад
Ummy Mwalimu 😢
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 месяца назад
Ummy yupo uzuri yule , katolewa kwa sababu samia mwenyewe ni bundi
@josephlorri431
@josephlorri431 2 месяца назад
@@petercharles7959 tanga line, team february..nafikiri ndo tatizo lake
@JosephTemba-nh6nx
@JosephTemba-nh6nx 2 месяца назад
Wapi umi kawekwa?
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 2 месяца назад
Mkeka huo wa mama kabet
@robertedward1992
@robertedward1992 2 месяца назад
Lukuvi alikuwa waziri kwenye hiyo wizara ya sasa,kabudi karudi .ummy mwalimu chari.
@pascaldonati2711
@pascaldonati2711 2 месяца назад
Bado fedha
@KoleYasini
@KoleYasini 2 месяца назад
Lukuvi angeludi Ardhi
@glaisfupa9760
@glaisfupa9760 2 месяца назад
Wizara ya fedha wizara ya fedha mama tupia jicho ukimaliza hapo umefaulu mama yetu usidharau hili
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 2 месяца назад
Mhuuu!!! Hawa watu ulitenguwa leo tena wamefaaa!!!!!😂😂😂
@Faridkhalid-z3p
@Faridkhalid-z3p 2 месяца назад
Malkia wa kuteua, nchi ya majinga 60+ million
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 месяца назад
Raisi mjinga kwa wajinga ,
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 месяца назад
Nenda kwenye nchi yako ulikozaliwa. Bangi tupu.
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 месяца назад
​@@whatisthetruth.8793Leo utakuwa Jela ukapumuliwe na walofungwa maisha. Mjinga weee. Nadhani hata anakolala mamako unachungulia.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 месяца назад
@@leothardngonya4842 umemaliza ? Au una zaidi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 месяца назад
@@leothardngonya4842 la saba kama samia na wee , kilaza kwa vilaza
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 2 месяца назад
Umeanza kurudi Kwa baba JPM hapo naanza kukuelewa
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 месяца назад
Hao wote ni mafisadi kwa Zanzibar
@JosephTemba-nh6nx
@JosephTemba-nh6nx 2 месяца назад
Umi was amewekwa?
@DavidChristopherVeronica
@DavidChristopherVeronica 2 месяца назад
Lukuvi ardhi bana
@lulurubby2235
@lulurubby2235 2 месяца назад
Umi anapumzishwa tuu atarudishwa
@geraldabel8784
@geraldabel8784 2 месяца назад
alisema lkn uteuzi anaoufanya ni nguo ya kuazima haisitiri mwili
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 2 месяца назад
Mheshimiwa Rais Mama Samia SULUHU HASSAN hongera sana kuwakumbuka wazee na waheshimiwa Lukuvi na parakabudi huo ndo msimamo thabiti usiyumbishwe KWA vile Wana maacount yao Kwenye mabenki!
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 2 месяца назад
Safi sana nchi Sasa itakaa sawa paramagamba ni jembe
@AlcherausMalinzi
@AlcherausMalinzi 2 месяца назад
Hivi hakuna watu wengine?Mbona watu ni walewale?
@JohnArobogast
@JohnArobogast 2 месяца назад
Ni Kama naona Giza kwenye sekta ya afya. Alafu hata kwa Taifa lipo Giza Nene sana😢
@SarahHamis-b6k
@SarahHamis-b6k 2 месяца назад
Paramagamba ametosha mzalendo wa Tanzania
@DavidJosia
@DavidJosia 2 месяца назад
WATANZANIA WENZANGU TUOMBE UZIMA HAYOA MAMBO YA MENGINE HUPNGWA NA MUNGU MWENYE NAFASI YA KUKA MWACHENI ALE PAMBANA KIVYAKO IKA KWAKWELI UPANDE WA WAZIRI WA FEDHA HATA MIMI SIJUI MAMA SAMIA ANAMPENDEA NINI YAANI MTAAN HATA MIRADI HAIENDI MFANO EMEME WAKANDARASI HAWALIPWI PESA ZAKO MIRADI IMESIMAMA
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Hadi Mrundi atumbuliwe ndipo nione kafanya la maana. Huyu mhuni ndiyo sababu ya madeni, malipo ya fidia, kuporomoka kwa sarafu yetu na ugumu wa maisha ya Mtanzania wa kawaida.
@TanishaManiky-kp9xc
@TanishaManiky-kp9xc 2 месяца назад
iseee kila siku nikubadili duh!!
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад
Ndo anachojua hicho
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 2 месяца назад
Hajuwi anahitaji nini
@TanishaManiky-kp9xc
@TanishaManiky-kp9xc 2 месяца назад
mpaka uchaguz ufike watabadilishwa saana
@umlaith5202
@umlaith5202 2 месяца назад
Hongera Profesa Kabudi hongera. Strong Man.
@edwindezidery632
@edwindezidery632 2 месяца назад
Teua teau za wazee haziwezi kukusaidia kubadilisha nchi kwamba kabudi na lukuvi ndo watu wenye uwezo kuliko mtu mwingne yoyote tanzania
@maulidmusa8902
@maulidmusa8902 2 месяца назад
Hv hakuna wengine? Leo anatumbuliwa lkn siku chache baadaye anarudishwa. Kwa ntaju huu hatufiki
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 2 месяца назад
Mama Watanzania tupo zaidi ya 60M, Teua wapya kabisa
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 месяца назад
Riasi samahani nakukumbusha umeisahau Wizara ya Fedha!!! Muondoe Mwigulu pale mbona watu wenye sifa wako wengi???
@leilashomari9835
@leilashomari9835 2 месяца назад
Mwigulu nchemba vipi hatuelewi hapo kuna nini
@RechoJeremia
@RechoJeremia 2 месяца назад
Ummy kapangiwa wapi
@DavidJosia
@DavidJosia 2 месяца назад
MAMA TUONDOLEE MWIGIRU KWENYE FEDHA TUWEKEE BASHIRU AU MPINA
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 месяца назад
UMMY ILIFAA AONDOKE ZAMANI HAFANYI MABADILIKO YOYOTE WIZARA KUBWA NA MBOVU MNO
@JackMsuya-j6q
@JackMsuya-j6q 2 месяца назад
Wazee ucwaaache mama wako vzur haoo
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 2 месяца назад
😂😂😂mwigulu uko wp kaka ang umejificha sana 😂😂
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 2 месяца назад
MWi
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 2 месяца назад
Mama vipi mbona hutengui uteuzi wako wa mwiguru umesubiri nin
@DativaLeopord
@DativaLeopord 2 месяца назад
Sasa SI useme Ummy Mwalimu aliyekuwa wazir wa afya kawaje au kapangwa wapi??
@dancerboy2686
@dancerboy2686 2 месяца назад
hakuna kitu apo ni vumbi tu
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli 2 месяца назад
Nikwel babisa ndugu umenikumbusha bashiru ally yeye na poleple walivyokomesha wabunge wa kudumu walionunua majimbo yao milele akiwemo kigogo chenge
Далее
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 3,1 млн
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31