Тёмный
No video :(

BW HARUSI AKABIDHIWA SILAHA UKUMBINI KAMA ILIVYO DESTURI ZA KIHAYA KWA AJILI YA ULINZI WA FAMILIA 

MC KATO KISHA
Подписаться 375 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@amanyajonathan4433
@amanyajonathan4433 2 месяца назад
Wahaya oyeeee 💪💪💪💪
@HeryethAleck
@HeryethAleck 2 месяца назад
Binti umefungwa khanga na mama alafu ujitoe ufahamu baadae uanze kuvaa vipisi vya nguo😂😂
@zakiarutabanzibwa7407
@zakiarutabanzibwa7407 Месяц назад
Safi sana eichumu no omuholo safi sana baba
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 2 месяца назад
Umefanana na mama sana❤❤mc
@AlindaOscar-t6o
@AlindaOscar-t6o 7 дней назад
Woooooh wahaya jmn wenye wazaz muwatunze 😭😭😭😭
@farajalyanda8019
@farajalyanda8019 2 месяца назад
Hadi raha❤
@witnesclavery759
@witnesclavery759 24 дня назад
Kwel baba ni muhimu sana mlio nao mwatunze,...nilikuwa nakufaniaa nilivyo muona mzee....duh!! Mtunze sana Baba nimuhimu sana.ongera sana
@juliabwana2519
@juliabwana2519 Месяц назад
Jamani wanawake weusi tunaolewa Mimi ni cheusi na nimeolewa na mwanaume handsome Kila mtu mume wangu anamsha gaa
@HappyHiker-nz9vg
@HappyHiker-nz9vg 2 месяца назад
Mashallah zaidi ya upendo❤
@ReticiaKasigara
@ReticiaKasigara 2 месяца назад
Wowww
@queenjacklinedavid2600
@queenjacklinedavid2600 2 месяца назад
Baba mungu akubariki umeweza kumuonesha mwanao Mila na desturi yako.na Mimi umeniaminisha zaidi kua Mira nadesturi ni tamaduni zetu wa Africa.sitaacha Mila na tamaduni zangu
@suzannemilembenyalagu4802
@suzannemilembenyalagu4802 2 месяца назад
Wow hatimae MC wangu ameoa, Mungu akutangulie kny ndoa yako takatifu!!
@joycejohn-ux7jh
@joycejohn-ux7jh Месяц назад
Ongera mc wangu mungu akutamgulie
@jennytugara9470
@jennytugara9470 23 дня назад
Nilifikiri nimemfananisha kumbe ni MC yeye Maneno yote kapuni ahaaa hii siku huwa sio mchezo!!!
@JanethMahili
@JanethMahili 7 дней назад
Hongera sana ❤❤
@mariaally8288
@mariaally8288 2 месяца назад
Tudumishe Mila zetu jamani ❤️🙏🤝
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 месяца назад
Sijui nisemeje . Yaani wadada weusi tutafute sana pesa. Kuolew hakupo tena. Kila anayeolewa nweuoe. Ajabu wanazaliwa watoto weusi
@HadijaDaffo
@HadijaDaffo 2 месяца назад
😂😂😂
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
Yaan weupe na wenye shep ndio wenye soko sis wengine tutafute pesa kwa kwel😢
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 2 месяца назад
Alafu mbaya zaidi tukiambiwa tujichubue hatutaki tunajifanya black beauty 😂😂😂😂😂😂😂😂 tutazeeka bila kuonja ndoa walai😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
@@verobecamfipa8655 kujichubua pia hapana tutafute pesa tu na tuwe na nidham wapo wataka tukumbuka tu ndugu zangu 😁
@user-zb2pg4ix5s
@user-zb2pg4ix5s 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@user-pf2bu4hn1j
@user-pf2bu4hn1j Месяц назад
Kumbe anaitwa Jina langu Denise❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️
@NancySulleNancy
@NancySulleNancy 2 месяца назад
Nani kasema wadada weusi hawaolewi jmn,msimkufuru mungu maan ndo katuumba sote
@LeticiaMwonge
@LeticiaMwonge 2 месяца назад
Kijana mtiifu sana wewe mungu akibarki
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 2 месяца назад
Najivunia kuwa Muhaya, ekyana kyoomuhaya
@user-is1lh8yd6g
@user-is1lh8yd6g 2 месяца назад
Kwa jinsi alivyo sikuwahi kudhani kama ni muhaya hongera kaka
@user-oh6vk9jo4r
@user-oh6vk9jo4r 2 месяца назад
Hongera nyingi kwao
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 2 месяца назад
wahaya oyeeeeeee
@user-vx8qu9um3r
@user-vx8qu9um3r 2 месяца назад
Oyeeee
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 2 месяца назад
Kato kafanana na mamake sana. Mungu amtumze
@user-id8bu6lw8x
@user-id8bu6lw8x 2 месяца назад
Huyu kato ni mtiifu sana
@LeticiaMwonge
@LeticiaMwonge 2 месяца назад
Akubariki sana
@ForahJoseph
@ForahJoseph Месяц назад
Chezea sie weweeeeeee ❤❤❤ 2:49 2:53 2:55
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe 2 месяца назад
Masha Allah ❤❤❤❤❤
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 3 дня назад
Kwani wakiristo tz wanavaa kanzu na koti
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 месяца назад
Mbona mna mila kama za kwetu Burundi!😮
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 2 месяца назад
Na mm natafta mhaya 😂😂
@user-qm1vw9xw2b
@user-qm1vw9xw2b 25 дней назад
Ebu tulia 😂
@neemadavid7587
@neemadavid7587 Месяц назад
Mbn mke anakaa mbali kdg n mmewe anatakiwa au wanatakiwa wawe zero distance
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 месяца назад
Ivi akiwalima na hilo silaa mtasemaje?
@LilianLilian-bx1ec
@LilianLilian-bx1ec Месяц назад
Jioni board gard
Далее