Тёмный

MC KATOKISHA AMWAGA MACHOZI NA KUWALIZA MAMIA YA WATU UKUMBINI USIKU WA HARUSI YAKE |DENIS & ALBERTA 

MC KATO KISHA
Подписаться 365 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 16 дней назад
Wallahi Katokisha hongera sanaaa kwa kuheshimisha familia na mungu akusimamie ktk familia mpya. Dada nakuusia nenda kaipende familia kama unavyoona mumeo kaonyasha umma anavyojali wazaxi wake.❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ElizabethCharles-xt7hv
@ElizabethCharles-xt7hv 14 дней назад
Nimeguswa sana jamn wazazi mdo kila kitu kwenye maisha nawapenda sana wazazi wangu
@Naju645
@Naju645 15 дней назад
Dah halafu unaolewa unaenda kuvuruga familia yamtu laana huanhazimwach mtu salama dada ukawe mke mwema
@user-ox4ty7ib8m
@user-ox4ty7ib8m 14 часов назад
We kaka umejua kuniliza kwakweli 😭 I miss you my dady M/mungu akupunguzie adhabu ya kaburi huko ulipo na akumulikie taa ya milele Amin😭😭🙏 Nakupenda pia mama yangu kipenzi M/mungu akupe umri mrefu sanaa hapa duniani akulinde kila iitwayo leo mama yangu kipenzi Mwanao NAKUPENDA sanaa❤❤❤❤❤
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 12 часов назад
Nimelia sana asee! Wapende wazazi wako. Jamani Me MAMA na BABA nimeshazika.. Nimebaki yatima😭😭😭😭 Eee mola wangu wasamehe wazee wangu uwape nuru kwenye makaburi yao...Amen
@crillarlawcmo2366
@crillarlawcmo2366 11 часов назад
Hongera sana kwa kuwapa shukran wakiwa hai..WAZAZI WANGU NAENDELEA KUWAOMBEA UMRI MREFU WALLAH!
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 17 дней назад
Wallah naamin hakuna ambae hajatoka machozi😢😢 ubarikiwe sana kwenye ndoa yako❤❤ maana umewajaza kitu kwenye kichwa wenye wazazi wao pia umetuliza sana ss ambao tuwewapoteza wazazi hao😢😢😢😢😢😢
@aminajuma-rw2rt
@aminajuma-rw2rt 11 дней назад
Wallah nimelia sanaaaa😭😭😭😭😭
@ibrahimmwita2213
@ibrahimmwita2213 13 часов назад
Mungu akutie nguvu na akupe hekima ya kuitunza familia atakayowajalia vema.
@juliejaph3331
@juliejaph3331 2 дня назад
kwahiyo katokisha umeona unilize kwa utambulisho wa wazazi wako. big up sana. na heri yako umewapa mauwa yao wakiwa hai wakasikia. maisha marefu sana kwenu nyote
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 17 дней назад
Aisee ni maneno yenye nguvu sana na kugusa hisia za watu wengi,hongera sana mc Kato,kumbe nawewe wa mji kasoro bahari?karibu na hongera sana,Mungu azidi kuwalinda wazazi na ndoa yenu ikawe ya mfano kama ilivyo ya wazazi wako
@EdithTelemark
@EdithTelemark 15 дней назад
hongera Kwa kujali nafasi ya wazazi wako! ewe mke wake ukaendeleze Na kustawisha uliyoyakuta Kwa msaada Wa Mungu!
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 16 дней назад
Hongera sana MC wng wa nguvu, napenda sana kazi zako....jianda kwny harusi yng, Mungu akuongoze ktk hyo safari yako❤
@patyisaya4217
@patyisaya4217 13 дней назад
Jamani mmependeza na mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-ms3di6qt7r
@user-ms3di6qt7r 17 дней назад
Hongera sana mc katokisha mungu awape maisha marefu na aman ya ndoa yenu ikadumu milele
@angellazaro9291
@angellazaro9291 16 дней назад
The same same as my Dady Mungu awabariki sana akina baba kama hawa❤️
@NeemaBoazi
@NeemaBoazi 17 дней назад
Hongera Sana kaka kunamsemo unasema hivimaji siku zote hufata mkondo Wa maji nanyi mkaufate mkondo Wa maji ya Baba na mama amina mkaishi humo humo
@vincenthatungimana
@vincenthatungimana 17 дней назад
Ujuwe hapa wapo watu ambao tunakupenda! Halafu you are my role model! Napenda siku moja nije kuwa MC bora! And I have begun to practice following the way you do! From Burundi 🇧🇮 !
@husnamwinyi8295
@husnamwinyi8295 16 дней назад
Mungu awape upndo sana mungu awape nguvu famlia yko bila kusahau wazazi wngu n famlia yangu Amiin
@user-xl6ye5xx4j
@user-xl6ye5xx4j 14 дней назад
Mama baba n mapema sana nimewakumbuka sana mzd kupumzik kwa amanii😭😭😭😭
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 16 часов назад
😢😢Pole dear😢
@Mary-q8f
@Mary-q8f 17 дней назад
Hongera. Wishing all the best. Naipenda kazi yako, natamani ukasimame siku moja kwenye sherehe yangu yoyote kwa uwezo wa Mungu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 9 дней назад
Great words to his parents, na anasauti NZURI BWANA HARUSI NI MFANO WA VIJANA WA KUIGWA ,MUNGU AMPE NGUVU NA USHINDI
@user-wm5xr1hr2c
@user-wm5xr1hr2c 17 дней назад
Congratulations Katokisha Mungu awajalie kwa ndoa yenu
@rosenoah2190
@rosenoah2190 12 дней назад
Jaman mliobarikiwa kuwa na wazaz wenu muwapende baba na mama n kila kitu kwenye maisha akiwapo mungu
@lucyotieno6485
@lucyotieno6485 17 дней назад
Congratulations KYo Kisha today you are not on the Mic! May God bless your Union!
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 16 дней назад
Mbna baba kagoma kumpa mkono bi harusi au sijaona vzuri😢ila si kwa ubaya ety maan hum duh🙌
@DM.2200
@DM.2200 15 дней назад
Ni kama alikua alikua anamwambia mwanaye aache kulia kwa nilivyoona lakin
@FadhilaIbrahim-wu6ve
@FadhilaIbrahim-wu6ve 14 дней назад
Amempa mkono sema alikua anamwambia mwanae aache kulia
@FadhilaIbrahim-wu6ve
@FadhilaIbrahim-wu6ve 14 дней назад
​@@DM.2200ndo na Mimi nimeona hivi
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 14 дней назад
Ni mkwe😢
@SoudShuraim
@SoudShuraim 5 дней назад
Umbea2
@user-id8bu6lw8x
@user-id8bu6lw8x 17 дней назад
Am proud 4 u
@JulietDama-dj7qs
@JulietDama-dj7qs 10 дней назад
God bless 🙌 for your thanks giving to your parents. Congratulations 🎊
@magdalenapeter5622
@magdalenapeter5622 5 дней назад
Hongera sanaa MC katokisha,Mungu niwatakie ndoa njema
@esternaftari9032
@esternaftari9032 13 дней назад
Amina,nimelia lkn nimewapenda maharusi hawana mapepe huenda wote Bwana amekwisha waingiza darasan kwa hiyo cina mashaka na ndoa hii
@vero57
@vero57 17 дней назад
Aisee hii harusi ina maelezo mazuri sana, hongereni sana 🎉🥳🎉
@SalomeEmanueli
@SalomeEmanueli 13 дней назад
Mc wangu ninaekupenda hongera xana kwakumpata mke mzur mungu awajalie🙏🙏
@patyisaya4217
@patyisaya4217 13 дней назад
Jamani
@farajalyanda8019
@farajalyanda8019 16 дней назад
Be blessed❤
@mercychelangat_
@mercychelangat_ 17 дней назад
❤❤❤
@youngb8672
@youngb8672 17 дней назад
Hongera sana kk kwa hatua hii
@liyloveonimakeuptv2400
@liyloveonimakeuptv2400 6 дней назад
May the almighty grant you’re dad long life, in Jesus Name Amen to all Good dad in this earth .
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 12 дней назад
I'm so proud of you
@salomesawira2069
@salomesawira2069 14 дней назад
Hongera sana mc katokisha mzd kupendana hvyohvyo
@lovenesszedekia7814
@lovenesszedekia7814 15 дней назад
Duh nimelia lkn Bibi harusi kanishangaza yaani ni mkavu balaa 😢😢😢
@user-nq1fc3uo8b
@user-nq1fc3uo8b 15 дней назад
Anaogop labda make up itafutka
@kemmymartine4884
@kemmymartine4884 14 дней назад
😅😅
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 14 дней назад
​@@user-nq1fc3uo8b😂😂😂😂😂
@florencemseja530
@florencemseja530 12 дней назад
Kwauzoefu wangu dada yupo sahihi kabisa tuliopo kwenye ndoa tunaelewa kwa muda mrefu hamuwezi Lia wote kwa pamoja never hyo lazima mmoja awe strong
@luluwillium1364
@luluwillium1364 11 дней назад
All the best in your marriage
@user-rh3fe3cs7g
@user-rh3fe3cs7g 16 дней назад
Hongela Sana kaka.jaman nimelia mm duuh
@saraphinaramso6387
@saraphinaramso6387 16 дней назад
Umejua kuniliza katokisha duuuh mungu azid kuwalinda wazaz wetu
@user-vf5pp2wn1f
@user-vf5pp2wn1f 17 дней назад
Hongela San ndg Kwa maneno mazuli
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 12 дней назад
Machozi yote hayo ni ili tujue baba alikua msomi na alienda Sudan. Haya tumeshajua hongereni mmepeza sana na mko na utulivu mzuri muwaishe bibi harusi nyumbani akale senene.
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 17 дней назад
Hongera sana Katokisha
@rehemambilinyi9452
@rehemambilinyi9452 17 дней назад
Inagusa sana😢. Hongera sana kaka
@user-tm7qi4kv9l
@user-tm7qi4kv9l 14 дней назад
Daaah😢😢imenigusa pia adi nimelia baba angu I wish siku niolew namm niongee iv amejitoa San ikiwa mama yetu alitukimbia yukiwa wadogaliku Alikubal kutubeba mgongoni kwenda nasisi kazin daah😢😢😢😢😢😢
@jacklinstanley7932
@jacklinstanley7932 9 дней назад
Another day to cry with the stranger 😢😢very touching
@mariamtutui9729
@mariamtutui9729 45 минут назад
Baba ameliaaa aiseeeeee
@leahnyamle4179
@leahnyamle4179 14 дней назад
🎉❤😢 congratulations my bro
@HappyFireDragon-hl7hw
@HappyFireDragon-hl7hw 17 дней назад
Hongera saana
@beatricethomas4061
@beatricethomas4061 12 дней назад
Bora umeongea mana nafas hii n Adimu hapa Dunian
@mariamtutui9729
@mariamtutui9729 45 минут назад
Machozi yamenitokaaaa😢
@user-nx6wi7sl4y
@user-nx6wi7sl4y 12 дней назад
Hongera sana bro
@NeemqSitta
@NeemqSitta 13 дней назад
Daaaaaaa wew kaka😢😢😢😢
@NsiaUrasa
@NsiaUrasa 2 дня назад
Mungu awatuze jmn
@VeroMwingira
@VeroMwingira 14 дней назад
Ilove my parents ❤🙏❣️
@tumainmasele2501
@tumainmasele2501 10 дней назад
Hadi raha
@sulleRuth
@sulleRuth 17 дней назад
Nimelia sana😭😭
@jumakaugatz9017
@jumakaugatz9017 10 дней назад
Asante kwa Love kubwa hii kwa wazazi , Mungu akabariki hata kizazi chenu kikawatii na kuwasikiliza
@HonestaAloyce
@HonestaAloyce 17 дней назад
❤❤❤❤❤
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 11 дней назад
Barikwa sana
@user-gd8cx2ig9p
@user-gd8cx2ig9p 15 дней назад
😢😢😢 hiyo ndio maana halisi ya kwamba wazazi pekee ndio wakweli kwenye furaha ya maisha yako
@cathbert39
@cathbert39 16 дней назад
Dah! Kanilizaa
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 13 дней назад
Dah 😢😢umeniliza jamani,hongera kwa upendo na Hekima na upendo kwa wazazi wako,usiwasahau
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 17 дней назад
❤❤❤❤sana
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 15 дней назад
umenitoa machozi,Mungu akawasimamie kwenye ndoa yenu
@agapeelias740
@agapeelias740 17 дней назад
So adorable🎉🎉 hongera sana mc
@isackmbade3181
@isackmbade3181 17 дней назад
Nimetokwa na machozi kwa hili ndg zangu watanzania mm nina baba lkn hajawah kusimama upande wangu hongereni mliofanikiwa kupata wazazi walioweza kusimama nanyi vijana wenzangu.
@zuuh-ge1cu
@zuuh-ge1cu 16 дней назад
polee tupo wengi hadi nmesikia uchungu
@isackmbade3181
@isackmbade3181 15 дней назад
@@zuuh-ge1cu pole pia ndg unakaa wap
@LucySanga-du9fd
@LucySanga-du9fd 7 дней назад
Pole sana😢😢
@isackmbade3181
@isackmbade3181 6 дней назад
@@LucySanga-du9fd Asante
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f 17 дней назад
Daaah nimelia sana
@ElvinGaspar
@ElvinGaspar 6 дней назад
Daaah inagusa sana akika mungu akujalie yaliyo mema
@user-pf2bu4hn1j
@user-pf2bu4hn1j 4 дня назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@elinahlawrancemwaipopo7633
@elinahlawrancemwaipopo7633 6 дней назад
MUNGU WATUNZE WAZAZ WANGU NA MIMI SIKU MOJA NIWAAMBIE HIVI
@user-he5by2hk6p
@user-he5by2hk6p 4 дня назад
I love you mom and dady
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 5 дней назад
Machozi yametoka bila kujijuwa
@ubahamisi431
@ubahamisi431 12 дней назад
Hakuna kama mzazi❤❤❤
@sund2553
@sund2553 17 дней назад
Unafany tunakata vitunguu sasa...anyway mi wangu ni lastborn kwao Nawaz sijui itakuwaje 😅
@SesiliahBundala
@SesiliahBundala 7 дней назад
Muuuh😢😢😢
@franciscamhagama3281
@franciscamhagama3281 17 часов назад
Nimelia jamani
@joharikabalaza6899
@joharikabalaza6899 14 дней назад
😭😭😭😭😭
@McNgoliga
@McNgoliga 5 дней назад
Baba kama baba hana baya mzee kato
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 17 дней назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@nadiahassan1359
@nadiahassan1359 15 дней назад
Missing you Daddy 💔💔😭😭
@user-ox2uw9ds5o
@user-ox2uw9ds5o 8 дней назад
Baba mbna kaukata mkono wa bb harusi kwann
@user-np8ts3dq2y
@user-np8ts3dq2y 17 дней назад
4D Studio your the best🎉
@salmajuma4300
@salmajuma4300 13 дней назад
Daah
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 13 дней назад
Dada!! Usiende kuvuruga hio familia
@NeemaBoazi
@NeemaBoazi 17 дней назад
Neema
@NeemaSebastian-gy1nt
@NeemaSebastian-gy1nt 14 дней назад
Nmetamani kuwa na baba ambae anapambania family yake km baba wengne wanavyowajibika kweny family zao ila nashukur tu kunileta dunian every man can be a father but it take time to be a dady
@vero57
@vero57 17 дней назад
Hongera sana kijana, Hongera sana baba, nime miss baba yangu rip my dad 😭😭
@gracemathayo7221
@gracemathayo7221 17 дней назад
Dah umenitoa machozi jamani
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 17 дней назад
😭😭😭😭😭Mungu awapumzishe kwa Amani wazazi wangu nilitamani siku moja nitoe ushuhuda kwa magumu waliyopita kwenye kunilea💔🙏
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 16 дней назад
Pole Sana ndugu yangu Mungu kawapenda Zaid 😭🙏
@user-tw7gb1nu2e
@user-tw7gb1nu2e 11 дней назад
Nimeguswa sana na maneno yako.Mungu azidi kukudumishia upendo na ujaliwe kupata upendo kwa watoto wako kama hui unao uonesha kwa wazazi wako.
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 17 дней назад
Inafundisha saaan ,ujua kunilizaaa jman.
@user-ql6vg2uv6w
@user-ql6vg2uv6w 11 дней назад
Sasa kinachokushangaza kupanda boda ni nini? Si ili awahi ibada jamani au viip, but mmependeza sanaaa hongereni
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc 14 дней назад
An ather day to cry for stranger😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@LucySanga-du9fd
@LucySanga-du9fd 7 дней назад
Nimelia kiukweli 😢😢
@husnakumburu8853
@husnakumburu8853 15 дней назад
Sijui nalia nini mwenzenu jaman😢
@RachelMgimba-ge4jh
@RachelMgimba-ge4jh 15 дней назад
acha tuungane
@choosencrudah118
@choosencrudah118 13 дней назад
Umetuliza wengi jamani kwa maneno yako... Mungu azidi kuilinda ndoa yako
@user-ox2uw9ds5o
@user-ox2uw9ds5o 8 дней назад
Inahuzunisha ila baba ako kutotoa mkono ni huzuni zaidi tofauti gan izo ambazo mbele zawatu azifichwi……
@alicesospiter7625
@alicesospiter7625 11 дней назад
Hamna mtu anaechukia mama mkwe wake ila wenyewe ndio shida
@noraazan9124
@noraazan9124 11 дней назад
Wababa mnaelewa sijui
@AnjelikaBay
@AnjelikaBay 11 дней назад
Kwan naliaa nini aty 😢😢
@olicej7837
@olicej7837 17 дней назад
Afu mimi huwa najua huyu mc ni mtu wa kagera bukoba😂😂😂😂😂kumbe moro
@KemilembeRutatinisibwa
@KemilembeRutatinisibwa 17 дней назад
Ni Muhaya....wazazi wanaishi Moro
@olicej7837
@olicej7837 16 дней назад
@@KemilembeRutatinisibwa ooooh thawaaa
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 15 дней назад
Nimeishia kulia jamani😢
Далее
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44