Тёмный

BWANA HARUSI MWITA AFARIKI BAADA ya SIKU 12 KUFUNGA NDOA ARUSHA SIKU 3 KABLA ya KAMATI KUVUNJWA.... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@globaltv_online
@globaltv_online 20 часов назад
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@MsAggie5
@MsAggie5 13 часов назад
Mmmh poleni sana Mungu awatie nguvu. Mzee acha hizo mambo ya kizamani yaani bi harusi achukuliwe na ndugu wa marehemu!
@SubiranTimo
@SubiranTimo 5 минут назад
Poleni sana msichana aende kwao tu ushauri
@agnesnuhu-sf5lw
@agnesnuhu-sf5lw 19 часов назад
Mungu wa mbingun awape nguvu wafiwa wote.
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 7 часов назад
pole sana bi harusi na familia nzima kwakuondokewa na kijana Mwita Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Amina
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 15 часов назад
Uyu mzee inaonekana ni mkolonii wa zamnii skuizii haipo ipoo mkurya gani wa mjini anakua hivoo looh😢😢
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 18 часов назад
Mzee hayo mambo ya kurithiwa hamna siku hz jamani😭
@JeminAbraham-f1o
@JeminAbraham-f1o 17 часов назад
Poleni yan kuna vistu uwez kuvivaa..Hila tunaanin mungu yupo
@PillyKassembo
@PillyKassembo 7 часов назад
Poleni sana jamani ndugu zetu Biharusi pole sana jamani Mungu awape nguvu na faraja moyoni 🙏🙏
@GenoMrosso
@GenoMrosso 17 часов назад
Huo ujinga ulishapitwa na wakati mzee hakunaga huo ujinga R.I.P kaka mwita
@MsAggie5
@MsAggie5 13 часов назад
Ndo nashindwa lol
@julianaedward4535
@julianaedward4535 5 часов назад
Wanaona uchungu mahali yao daah so sad
@rasheedmbaraka7199
@rasheedmbaraka7199 17 часов назад
Poleni sana..lkn msimchagulie mume tena..acheni hizo mila bana za kizamani
@MdemuEmilio
@MdemuEmilio 7 часов назад
Muacheni binti wa watu amlilie mume wake acheni kumchagulie mwanaume,habari za kurithishana mke ni za kizamani acheni kupelelea maradhi binti wa watu.aisee😊
@agathaleonard5974
@agathaleonard5974 18 часов назад
Poleni sana Wana family na bi harusi wetu wote mungu awafunge mkanda wa uvumilivu
@estachengula3902
@estachengula3902 16 часов назад
Pole mwari inauma sana mtazame mungu atakutia nguvu na kukupa faraja teni jipe moyo dada
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 19 часов назад
Poleni sana ndugu zetu inauma sana
@linahmissanga4206
@linahmissanga4206 17 часов назад
Pole kwa wafiwa jamN
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 19 часов назад
Pole sana mwari najua maumivu unaypitia unayajua ww pekeyko pole tena pole sana mungu akupe nguvu
@AfricaQueen
@AfricaQueen 19 часов назад
😳😳🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️😭😭😭😭😭Dah! Poleni sana sana dah! Mungu wape nguvu wafiwa hasa huyu mwari 🤲🤲🤲Mungu amsimamie kwa kipindi. walipendezana sana jamani😭😭😭😭😭😭
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 18 часов назад
Hatari jamani 😢😢😢😢😢😢😢wachawi washachukua kafara😢😢😢😢😢😢yaani wachawi mtu asifanikiwe kidogo tu kafara 😢😢😢😢😢😢rip kaka wa watu
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 19 часов назад
Tunaishi lakini maisha ya Kiroho yana mambo mengi sana ,ukute unaoa mwanamke kumbe kuna maagano hatari unayaingia bila kujua
@kamarhelo
@kamarhelo 18 часов назад
Acha Imani potofu mpuuzi wew kama hivyo ndoa isingekua sio ya kheri isinge fungwa
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 16 часов назад
Umesahau wenda yy aliahd wanawake wengne ksha kawaacha wakamshughulkia.
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 16 часов назад
​@@FatumaJumanne-p4dndio
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 16 часов назад
@@OmanOman-ns3iw Mthan kfo kpo na hakkmblk 2ombe hatma njema halw jambo bla mungu kuptsha 2mtangulze kwa kla ha2a maana wema wanaomba na wabaya wanaomba.
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 15 часов назад
@@FatumaJumanne-p4d nikweli ndugu
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi Час назад
Dah ama kwel kifo hakina huruma
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 7 часов назад
Jaman hapo anajaribu tu kuelezea mila za kwao maana kila kabila lina mila zake kasema halazimishwi 😢😢
@Timoclement
@Timoclement 14 часов назад
Mwita Kila nikikumbuka tulivyokuwa chuo siamini hata Rip
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 14 часов назад
Inalilah wa inalilah rajuhun Apumzike kwa Amani 🙏😭😭😭😭
@DM_15
@DM_15 7 часов назад
Ile sehemu inakonakonahiv pia barabara ni nyembamba hasa baada ya kupita pale dampo kunakonakali , mimi mwenyewe niliwahipata ajali pale nikiwa naendesha kuna mwamba alikua kasi akashindwa kontrol chombo chake. Ni Mungu hakuruhusu yatimie tuliumia , nisehem sorafiki
@rosemarykimath9337
@rosemarykimath9337 16 часов назад
Ni kumwomba Mungu mno mno hatupo salama kabisa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 15 часов назад
Dah maskn poleni sana 😢😢
@oswardrupiah5510
@oswardrupiah5510 18 часов назад
nimepokea kwa mshtuko mkubwa sana taarifa ya msiba huu, pole sana kwa familia, pole sana shemeji angu, wadau woote wa Unga ltd SDA Church poleni sana. R.I.P (Resurrections Is Promised) Mungu awe mfariji wenu mkuu.
@samwelmsongoa1861
@samwelmsongoa1861 15 часов назад
❤ to
@suzanne9517
@suzanne9517 15 часов назад
Poleni sana na Mungu awatie nguvu
@julietthomas2566
@julietthomas2566 7 часов назад
Familia poleni Sana Hakika ni huzuni,lkn huyo binti bado ni mdogo sana atapata mwingine tu hapo baadae akipona
@MariyaAntooni
@MariyaAntooni 18 часов назад
Dada pole sana dada angu
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 5 часов назад
Jamani kurithiwa tena😢
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 5 часов назад
Poleni ni uzuni kweli😭
@celinamosha9420
@celinamosha9420 19 часов назад
Poleni sana
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 14 часов назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 poleni
@Rich-wo
@Rich-wo 6 часов назад
Tumrudie Muumba wetu jmn…huko nje hali si shwari kbs
@rosenoah2190
@rosenoah2190 2 часа назад
Iiiiiii eti hatutamlazimisha akipenda atabaki hakuna kumrithi
@asifiwewisayi8580
@asifiwewisayi8580 Час назад
Hata siamini kama Mwita Amefariki jamani juzi tu tuko wote leo haupo duh
@CrepinaKatundu-uj7xk
@CrepinaKatundu-uj7xk 19 часов назад
R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.
@gracemil9714
@gracemil9714 6 часов назад
Ndio baba
@jennet6484
@jennet6484 19 часов назад
Ma ex hapo wana typing na ku delete....
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 16 часов назад
Yaan pcha haij wanaweza sema kkowap
@jennet6484
@jennet6484 14 часов назад
@@FatumaJumanne-p4d 😀umeona eeh pengne wapo nyuma ya picha
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 14 часов назад
@@jennet6484 🤦‍♀️kuomba MUNGU kwakwel
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 17 часов назад
Poleni sana wafiwa, Rip Mwita
@sekelaswebe4340
@sekelaswebe4340 16 часов назад
Ila watangazaji duuuh ni huzuni
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 19 часов назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 EE YESU WANG jmn😢😢😢😢😢
@fridamwenda5728
@fridamwenda5728 3 часа назад
Baba huyu hayupo kwenye hii nchi yetu Tanzania acheni akaolewe na mume atakayempenda. acheni hizo mila potofu
@AshaTozili
@AshaTozili 18 часов назад
Hii hali ni ngumu hasa Kwa biharus MUNGU ampe nguvu na faraja
@fridamwenda5728
@fridamwenda5728 3 часа назад
Baba huyo binti ni mtu mzima acha achague maisha yake huenda na hawa wanaume wana changamoto sana.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 16 часов назад
Mtamchaguliaje mtu ambaye siyo chaguo lake? Vumilieni tu Mungu ataleta njia.
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 6 часов назад
Haya mapiki piki kwanini hamtaki kuachana nayo
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 18 часов назад
😢😢😢
@GenoMrosso
@GenoMrosso 17 часов назад
Huo ujinga ulishapitwa na wakati mzee hakunaga huo ujinga R.I.P kaka mwita
Далее
Handsoms😍💕
00:15
Просмотров 6 млн
FUMANIZI KWA ALIYEFUMANIA| PART TWO 2
25:07
Просмотров 3,2 тыс.
KAUSHA DAMU | Full Movie | DONTA TV
28:54
Просмотров 1,7 тыс.