@Amina Said 🤣🤣🤣 hii ni shida kwa kwel mana uku ni mwanaume wake wa kwanza ndo aliezaa nae kule ni single wanalea tuu mtoto. Aya wacha waendelee kutuzungusha tuu
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 hata mimi ndio maana nikashangaa nikamuuliza kumbe aliumwa nini maana hata maximum alipohojiwa alijibu huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu na hata kwenye global alijibu hivyo nilipomuuliza aliumwa nini sijajibiwa kwenye chenel alizihojiwa alitaja huo ugonjwa ndio sababu iliyomoelekea kukatwa miguu