Kazi nzuri sana kaka zangu hivyo mambo kama haya yamekuwa magumu sana kwa kizazi cha leo,ila ndio hali msingi ulikuwa mzuri tu.zama zetu hizi .naskiza Aprili 2023 .
Mziki mkali na Tena mnene! Am From Machakos Kenya 🇰🇪. Ukweli husemwe, mghala muuwe na haki humpe, P Funk aka mzungu wa Bongo Records na Master J wa MJ Records put Bongo Flava on the map. P Funk and Master J aka Mchaga receive your Flowers 🌷. You are legends and pace setters of Bongo Flava, I CELEBRATE YOU LIVING LEGENDS. Am from Machakos Kenya 🇰🇪
Cha kale n dhahabu Respect saaana Bro.....!!! Infact wahenga wa bongofleva u where so cooperative..... En this was meaning of true love Almost nmewackia wasaniiwote maaruf wa kitambo Like John woker, Mr ebo na wengneo weng 🙏🙏🙏