Tunda man.... I'm here your one fan from kenya.... Kuna ngoma yako moja siipati kabisa... (tunda ft buibui nenda).... Please upload hii track. #tundaman
Nipo Urambo Nakumbuka nilitwa kwenye Mahafari Ya form four Tabora Boys nilipiga pikipik nikawahi tukiwa DK music aka Music mnene Ma dj waliokuwepo walikuwa wamechemka nikapita zangu studio nikaburn CD hii ndio ngoma ilijuwa imefika nikashika Nuwmark 88 nikatashika kipaza nikajitangaza ukumbi mzima wa Tabora boys ulishangilia nikawapa Menu yangu ya mziki huku kwa mbaaali Saut ya huu Wimbo we nililetewa Viroba wala sikujua vimetoka wapi😂😂😂