Тёмный

BWANA WEWE NI MWEMA- Boaz Danken ft Eliya Mwantondo  

BOAZ DANKEN
Подписаться 275 тыс.
Просмотров 242 тыс.
50% 1

#GloryandHonortoJESUS
BWANA WEWE NI MWEMA Means ooh Lord your GOOD
Karibu Tutangaze wema wa BWANA WETU YESU PAMOJA, HALLELUYAH
Ninaamini Kuna uponyaji na Kuinuliwa sana katika Kumtaja YESU na Kazi alizozifanya Duniani kwajili Yetu
MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama na wanaoendelea kusimama kwa Sadaka zao za fedha na Maombi kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hizi Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu; Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Muda, Fedha na Maombi.
Music Arranged & Directed by Apostle Sephone Sospeter
Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimutuo
First keys: Sephone Sospeter
Second keys: Samwel Sospeter
Third Keys: John Ntete
Fourth keys: Augustino Batista
Drums: Shalom V. Mbuke
Percussion: Pastor David Silwimba
Bass guitar: Amani Victor
Lead guitar 1: Haggai Makuzo
Lead guitar 2: Erick Chitungo
Saxophone: Dickson Maige
Back Vocals From BMCC PRAISE TEAM
Event Coordinated by Kelvin Mbeveta
Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
*Audio Captured and Mastered by Chosen Records Int’l #SamMboya
*Video Captured and Mastered by Cyber Pic #Sylvester
*Sound By #SoundSolution Moses Edard
*Sound Engineer: Gad Mwanga
*LED screen: Elly Jo
*Lights By Nyakalo Stage and Lighting Com. #DavidSengati

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 353   
@astediaalistides1701
@astediaalistides1701 Год назад
Kama umebarikiwa na huu Wimbo gonga like hapa
@user-gu7mw8zs6c
@user-gu7mw8zs6c 24 дня назад
Bwana YESU asifiwe kaka Boaz samahan kaka nilitaman unisaidie kutu kama itampendeza MUNGU
@huldamichael4445
@huldamichael4445 10 месяцев назад
Ukashuka ukaacha enzi Mbinguni kuja kunibadilisha maana wewe ni mwema........ ooooh
@deomichael6071
@deomichael6071 Год назад
Bwana Yesu asifiwe, Mtumishi Boaz, Wakati tukiendelea na utumishi huu wa kumtumikia Yesu Kristo Bwana wetu; muenende (Waebrania 12:15 "mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu") Maana imeandikwa (Ktk 1Timotheo 2:9 "Wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kuwasitiri" - Mavazi ya binti zetu hapo yanapaswa kutoshika miili yao. WALAWI 19: 27 Msinyoe denge... 1WAKORINTHO 6:20 Sasa basi mtukuzeni Mungu katika miili yenu. MAANA BAADA YA UTUMISHI HUU SISI WENYEWE TUSIJEKUWA WATU WA KUKATALIWA.
@puritycherotich8591
@puritycherotich8591 8 месяцев назад
I believe in the blood of Jesus...can change my sister ..we don't know which world is working in ...I believe thru his mercies my sister will change in Jesus name
@ElizaMgelwa-sp5op
@ElizaMgelwa-sp5op 3 месяца назад
Kwakweli Mungu ni mwema,,,,,Baba zidi kubarikiwa kwa huduma njema kwa watanzania
@samsonkihwele6544
@samsonkihwele6544 Год назад
Wewe ni kizazi cha kusifu na kuabudu Mungu alituletea wewe kaka. Asante kwa wimbo mzuri . Naombeni Like Zenu kutoka South Africa Hapa.
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@stellamakweta2182
@stellamakweta2182 Год назад
Wema wa Mungu ni waajabu haufananishwi hata theluthi ya mwanadamu
@elizabethabilia7843
@elizabethabilia7843 Год назад
Halleluyah bwana wewe ni mwema
@agreypaul2069
@agreypaul2069 Год назад
Hakika Mungu Ni Mwemaa
@juniorjephter7749
@juniorjephter7749 Год назад
Kweli bwana amejawaa msamaha ni kweli hatustahili Ila bwana ametustahilisha ....... Baba ubarikiwe Sanaa Sanaa sanaa
@wiltodnaftari9954
@wiltodnaftari9954 Год назад
Tunabarikiwa sana sana sana Bwana wewe nimwema
@elizabethjohn710
@elizabethjohn710 Год назад
Ni kwa huruma zake Ata sasa tunaishi Kwa nguvu ya Damu ya Yesu iliyo mwagika msalaban
@tusiimerwihura634
@tusiimerwihura634 Год назад
Bwana wewe ni Mwema😭😭😭🤲🤲🤲Bwana wewe ni Mwema uwiii😭😭😭🤲🤲
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo Please share kwa wengi ukiweza
@EfraimEzekiel
@EfraimEzekiel Год назад
Hallelluyah hakika Mungu ni mwema sana
@joshualivaim3998
@joshualivaim3998 Год назад
Wewe ni mwema
@theresialubida161
@theresialubida161 Год назад
Wema WA MUNGU hauchunguziki dam za wanyama hazikuweza Ila Dam ya Yesu. Ilishinda🙏🙏🙏🙏🙏🛐🛐🛐🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 MUNGU Azidi kuku paka mafuta
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Glory and Honor to Jesus please share to many
@mwlkimath1539
@mwlkimath1539 Год назад
Haleluya njooni tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu
@wilsonagutu8435
@wilsonagutu8435 Год назад
Glory to God
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo asante sana
@ntibahezwaharuna9507
@ntibahezwaharuna9507 Год назад
Nyimbo kama hizi zinanifanya niutafakari ukuu wa Mungu kwa kina zaidi, nagundua fika kabisa Mungu wetu ni mwema vile haangalii wingi wa makosa yetu majira na nyakati zote juu yetu
@worshiplibrary7157
@worshiplibrary7157 Год назад
To the worthwhile person seeing this, your dream is not dead. Don’t allow the past and current pains and hurts stop and define you. You’re more than a conqueror. Rise up and put yourself together. Keep pushing your future depends on it. I wish you all the best in life ❤.
@emmanelson8509
@emmanelson8509 Год назад
🇰🇪
@gladysbusisa8411
@gladysbusisa8411 Год назад
Ameeeen
@dianakombo5178
@dianakombo5178 Год назад
Ameen 🙏🙏🙏🙏❤️❤️
@Dee_Handa
@Dee_Handa 9 месяцев назад
Thank you, I needed this 😩
@AgnesWanjala-l6w
@AgnesWanjala-l6w 3 месяца назад
Bwana wewe ni mwema kwangu siku zote.
@gladysbusisa8411
@gladysbusisa8411 Год назад
Nini kingenibadilisha Mimi, aaiii Kama sio Damu ya Msalaba! This a one song that I sing along with understanding...Jesus be glorified!
@omanyujapheth4295
@omanyujapheth4295 Год назад
Upako huu🔥🔥🔥
@lukakamau9498
@lukakamau9498 Год назад
🇰🇪Kenya Loves you sir: Boaz
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Glory and Honor to Jesus please share to many
@nicholausrwezaura1971
@nicholausrwezaura1971 Год назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@anithajaphet4587
@anithajaphet4587 Год назад
Bwana wewe ni mwema ni wimbo umenisaidia sana hata siwezi kuomba nasikiliza wimbo
@nicholaskamoni285
@nicholaskamoni285 Год назад
Bwana ni mwema hakika
@leviwebi7248
@leviwebi7248 Год назад
Mungu ni mwema kabisa
@user-vx7jh8px2w
@user-vx7jh8px2w 10 дней назад
Hakika wewe ni mwema mungu wangu
@elisiakaale6674
@elisiakaale6674 Год назад
BWANA wewe ni Mwema DAMU yako yatosha.
@wilfredcharlesmusyoka3361
@wilfredcharlesmusyoka3361 4 месяца назад
worship in its fullest. Mungu awazidishie jameni!!!
@ErnestMillinga960
@ErnestMillinga960 Год назад
Nyimbo zako zina utukufu, zinasisimua
@sophiakoine2264
@sophiakoine2264 Год назад
Wewe mwema bwana.....
@simonlomayani5743
@simonlomayani5743 Год назад
Bwanaaaana wewe ni mwema,, wewe ni mwema
@ambindwilehosea6837
@ambindwilehosea6837 Год назад
Naamini alie ndani yako nimkubwa mnoo Huduma yako niuponyaji kwa wengine nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu akupege hekima utuwema upole unyenyekevu naazidigi kukuinua leo kesho na hata milele. Amen kangi nunu akanikifwani
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@prophetmaxmbise6196
@prophetmaxmbise6196 Год назад
Nakuombea Viwango na pia Nakupenda Sana Naamini MUNGU pekee ndio Msaada wako.....
@samwelbakari6691
@samwelbakari6691 Год назад
Ubarikiwe kwa wimbo huu umenibariki Sana. Samwel Niko Tanga
@estershija899
@estershija899 Год назад
Nakupenda mno kaka Boaz namtukuza mungu kwa ajili YAKO...ubarikiwe mno na mungu azidi kukuinua viwango hata viwango
@fridadenis
@fridadenis Год назад
Umejawa msamaha Yesu 🙌🙌🙌🙌 Good music good video everything so good upako ni mkubwa mnomno
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@hefsibatv5027
@hefsibatv5027 Год назад
Mungu ni mwema sana kwetu tuzidi kushuka
@collinsnyakwarodipo2490
@collinsnyakwarodipo2490 Год назад
Kwa hakika Bwana ni mwema anafanya makubwa
@enockwatitwa5516
@enockwatitwa5516 Год назад
Wewe ni mwema Baba,wema wako unaonekaka majira yote.
@butwawestonmwailubi
@butwawestonmwailubi Год назад
Oooh hallelujah hallelujah Glory to God Mubarikiwe watumishi wa Mungu Kazii nzurii Mungu AZIDI kuongezekaa katika huduma yenuu... 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@estermathias8354
@estermathias8354 Год назад
YESU aendelee kukutumia usirudi nyuma vyimbo zako zinatubariki
@paulmathias6882
@paulmathias6882 Год назад
Wema wa Bwana ndio unaotuhifadhi na kutupa heshima, mtumishi Mungu akutunze tuu
@reginawanjiku1176
@reginawanjiku1176 Год назад
Wewe ni mwema Sana Baba yangu
@terryndutamungai7173
@terryndutamungai7173 Год назад
🎻🎻🎷🪘❤️💃 Bwana wewe ni Mwema, Wewe ni Mwema,Wewe ni Mwema💃❤️🪗🪗🥁🪘
@aliceraphael2516
@aliceraphael2516 Год назад
Mungu awabariki mnooo kwa huduma hii njema ni ombi langu Mungu awapeleke viwango avitakavyo
@philemonojuondo7874
@philemonojuondo7874 Год назад
Wow finally,, this song I just love ,God you are good
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@dianarosemachange2782
@dianarosemachange2782 Год назад
Mungu akubariki Sana mtumushi wake,azidi kukutumia apendavyo
@georgekabugi8358
@georgekabugi8358 Год назад
Wewe n mwema bwana🤞🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@theresialubida161
@theresialubida161 Год назад
Yupo anaye penda kerere NI MUNGU wetu
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 Год назад
Maadui hawana nafasi. Maana MUNGu nimwema Sana moyo wangu umeingiwa na furaha
@ambweneobadiamwasongwe
@ambweneobadiamwasongwe Год назад
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu.... Kazi ya Baraka sana na mafuta mengi
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo asante sana Kaka
@boscocosmas4674
@boscocosmas4674 Год назад
Barikiwa San kaka kazi nzuri utukufu kwa Mungu
@gabrielmwale591
@gabrielmwale591 Год назад
Amen,hakika Mungu ni mwema
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa wengi ukiweza
@natashalameck6843
@natashalameck6843 Месяц назад
Ooh lord
@Isaac_sityaloss
@Isaac_sityaloss Год назад
Bwana ni mwema Sana katika maisha yangu,,, na ni kwa wema wake nko Hai,,, siangamii
@jeromemsagala1220
@jeromemsagala1220 11 месяцев назад
Mungu azidi kukupaka mafuta ya rohoni mtumishi.
@elimringimafole2602
@elimringimafole2602 Год назад
Hakika Mungu ni mwema mno,,barikiwa mtumishi Mungu azidi kukutumia
@robailikuyani2055
@robailikuyani2055 Год назад
Powerful
@careendeni6580
@careendeni6580 Год назад
Kila nikiona wimbo umehusika nafurahia moyoni na kusema utukufu ni wake MUNGU wetu aliye juu. Barikiwa sana.
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Glory and Honor to Jesus please share to many
@elkanakilumbe
@elkanakilumbe Год назад
Wema wa Mungu ni kubwa mno kwangu.. Hakika sikustahili kukupata mimi niliyemwenye dhambi kiasi hiki. Lakini Mungu kanihurumia kanionyesha Wema wake.. Ahsante na ubarikiwe mtumishi wa Mungu @boazdanken_worship_minister
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@mitchelnjeri7023
@mitchelnjeri7023 Год назад
Hakika ni kwa huruma za Mungu ninaishi Leo. Mungu akuzidishie zaid mtumishi wa Mungu
@tabbywanjiru9651
@tabbywanjiru9651 Год назад
Ahsante Mungu wangu wewe ni mwema
@aloycekaguhi7959
@aloycekaguhi7959 Год назад
Bwana wewe ni mwema🔥🔥
@damianiselevester1003
@damianiselevester1003 10 дней назад
Mavazi yanaendana na anachokiimba
@kingdomwealthtz3770
@kingdomwealthtz3770 Год назад
Bwana Wewe ni Mwema wewe ni Mwema👑
@lilianshirima8429
@lilianshirima8429 Год назад
Roho Mtakatifu aendelee kukupaka mafuta mtumishi
@twitikemwamundela2393
@twitikemwamundela2393 Год назад
Asante Mungu kwa wema wako nyakati zote
@nawikemwasamboma5510
@nawikemwasamboma5510 Год назад
MUNGu mwaminifu sana napenda kumsifu
@jacklinemmochi6433
@jacklinemmochi6433 Год назад
He is a good God. l am the girl that He has shown mercy
@dottokomanyasoke2544
@dottokomanyasoke2544 Год назад
Bwanaaaaa weweee nimwemaaaa wewe Nimwemaaaa 🙏
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@dixonmaige
@dixonmaige Год назад
Oooooh! 🙇🙇🙇🙇🙇🙌🙌Hakika BWANA YEYE NI MWEMA SANA.
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Glory and Honor to Jesus please share to many ukiweza
@dixonmaige
@dixonmaige Год назад
@@boazdanken Ndio Baba nafanya hivyo Baba.
@anandepallangyo4177
@anandepallangyo4177 5 месяцев назад
ni mwema ni mwema sana♥️♥️♥️
@everlinejelenga8376
@everlinejelenga8376 Год назад
Amen 🙏🙏
@victorvm3063
@victorvm3063 Год назад
Amen🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Utukufu kwa Mungu
@rachelmalimbwi1748
@rachelmalimbwi1748 Год назад
Barikiwa sana mtumishi wa Kristo,natamani nami kuwa napata taarifa ili niwe nashiriki ibada hii
@bernadetabukhay938
@bernadetabukhay938 Год назад
Hizi nyimbo ni nzuri sana na zinabariki. I wish wangeacha kuongea in btw uje tu wimbo bila mwimbaji kuongea maneno mengi. Uje tu wimbo
@mussawilson6972
@mussawilson6972 Год назад
Hallelujah Bwana ni Mwema
@shikuthedrummer4772
@shikuthedrummer4772 Год назад
Yupo mmoja anayependa kelele 🔥🔥🔥🔥
@marthaamoit4422
@marthaamoit4422 Месяц назад
Ni mwema kila wakati .
@rodrickmwashuya7062
@rodrickmwashuya7062 Год назад
Tena sana anapend kelele zawatakatifu wake mme barikiwa sana watakatifu wa mungu
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@ShieveEbere
@ShieveEbere Год назад
powerful
@viviankanyiri4593
@viviankanyiri4593 Год назад
Yesu ni mwema
@emmaandrew3298
@emmaandrew3298 Год назад
Ni kwa wema wako tu hatuangamii Bwana wewe ni Mwema 😭😭😭🙌🙌🙌
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu Kristo please share kwa weng
@agnesmdeizi3832
@agnesmdeizi3832 Год назад
Wewe ni mwema baba
@brianmutemi1
@brianmutemi1 Год назад
In deed He's too good for He doesn't treat us as our sins deserve. Yu mwema Mungu wetu
@nedroseakinyi9898
@nedroseakinyi9898 Год назад
Singing ni "kwa wema wako hatuangamii"i remember lamentation 3:22
@caroloscarofficial564
@caroloscarofficial564 Год назад
Bwana Wewe ni Mwema
@joshuajustustz
@joshuajustustz Год назад
Ni kwa wema wako tu hatuangamii 🔥🔥🔥🔥
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Utukufu na heshima kwa Yesu please share kwa wengi ukiweza
@samacha1987
@samacha1987 Год назад
Boaz God is taking you into another level of His own Glory....... endelea kunyenyekea mbele za Bwanaa nakuona katika viwango vya juu Saana... Much love 🇰🇪🇰🇪
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Год назад
BWANA wewe ni mwema 👏👏👏👏
@naomymacharia8955
@naomymacharia8955 Год назад
BWANA WEWE HAUTAONDOKA, EVER PRESENT FRIEND
@isaacwangui
@isaacwangui Год назад
Nakuru Kenya tumeupokea wimbo vyema🇰🇪
@marygati4688
@marygati4688 8 месяцев назад
Ewaaa❤
@ChistianIrakoze
@ChistianIrakoze 2 месяца назад
2024❤❤❤❤❤❤ watching 👀
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 Год назад
Yesu ni mwema sana Mbarikiwe sana brothers #Boaz ft Eliya
@japhethsmith-te5ut
@japhethsmith-te5ut Год назад
Aki Huyu Mungu ni mzuri
@mariamalima3092
@mariamalima3092 Год назад
Bwana Wewe ni mwema🙏🙏
@cliffordhungu8807
@cliffordhungu8807 Год назад
Wow may GOD BLESS your work my brother
Далее
Decompress small game, have time to play it!
00:35
Просмотров 11 млн
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
BABRAH PERES - MWEMA (New Level Live Recording)
11:37
Просмотров 296 тыс.
SRM & Boaz Danken- Bwana Wewe Ni Mwema (Live Recording)
11:38
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 60 млн
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 26 млн