Kati video hii nimeelezea Camera lens Kwa Beginner Photographer na Videographer Muhimu kuanza nazo. Haijarishi unatumia Camera ya aina gani ila ni muhimu kuwa na lens katika makundi haya
1. Wide lens, Mfamo (10 - 18mm, 17mm - 35mm)
2. Just Wide mfano ( 25mm, 50mm, 60mm)
3. Telephoto lens Mfano (70 -200mm. 100 - 300mm)
Natumaini utakuwa umejifunza kitu, Kumbuka ku like, share na ku subscribe katika channel hii.
****SPONSORED BY PENTAGON STORE*****
/ pentagon_store
12 сен 2024