Тёмный

Canon au Nikon ? | Vitu vya kuzingatia ukitaka kununua Camera 

Richstar
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Hapa nimeelezea vitu vya kuangalia unaotaka kununua kamera
1.Sensor size
Sensor zipo za aina mbili, Full frame camera na Clopped camera sensor
Full frame zina fanya kazi vizuri zaidi kuliko clopped
kwa sababu zinapiga picha Sharp, HD, Na pia hata sehemu yenye mwanga hafifu hupiga Kazi mfano wa full frame ni Canon 5D, Mark II, Mark III, Mark IV, Can 6D na 6D Mark II, NIKON D810, Nkon D750, Nikon D5, Sony Alpha A99 II, Pentax K-1
Full frame ni (36 X 24mm) CHINI YA HAPO NI CLOPPED MFANO canon 7D, 550DNK
2.Resolution
Kuna Camera zina uwezo wa kushoot 4k na kuna nyingine 720P Ila ushauri wangu chagua camera yenye uwezo wa angalau 1920x1080 kama hutoweza kununua 4K
3.Frame Rate
Frame rate ndio kitu muhimu pia hasa tunvyooandaa music video na movies Frame rate inachangia sana kwa kukudokezea
Chagua camera yenye frame rate kuanzia (24fs, 25fs, 30fs na 60fs)1080 Japo kuna camera zinapiga hadi 90fs yaani hii inashhot slow motion bila editing
4.Upatikanaji wa Vifaa vya kamera huusika
Kwa upande wa tanzania kwa sasa watumiaji wa Canon wana unafuu sana kupata vifaa vya camera hizo mfno lens, Battery,Hood, Flashlight tofauti na watumiaji wa Nikon, Sony, Lumix nk, Hawa huwalazimu wanunue nje ya nchi
5.Uwezo wa kudumu na kuhimili mikiki mikiki
Kuna badhi ya kamera zikikiingia vumbi tu zinakufa, kuwa makini lakini pia kuna camera hata uingie nayo baharini haifi yaani hii inakuwezesha kushoot hata ukiwa unanyeshewa na mvua mfano, Canon, Sony zipo zenye uwezo huo
JIULIZE Utaenda upande Upi NIKON, CANON,SONY Au LUMIX ?
Kai kwako Ukipata jibu usisahahu ku subscribe

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@kivurugeintertainmentprese1681
@kivurugeintertainmentprese1681 2 года назад
Nc
@Notepad_TV
@Notepad_TV 5 лет назад
Nimependa hii, soon I will start my own tutorials ,nimefurahi kuona umefanya pia
@restorationpentecostalchur7028
@restorationpentecostalchur7028 3 года назад
Well done Bro, nimependa sana uelimishaji wako, Asante sana
@fasanitzfasanitz9631
@fasanitzfasanitz9631 5 лет назад
Asante kaka mungu amekuleta maksud na umetambua uwepo wko ubarikuwe kaka
@emmanuelofficialtz7333
@emmanuelofficialtz7333 6 лет назад
ninajivunia kukujua bro, umenitoa ujinga mwingi sana kwa kichwa yangu, be blessed
@dismasmassawe1470
@dismasmassawe1470 2 года назад
Kwa hiyo Nikon sio nzuri kwa kazi
@RJHOPETV
@RJHOPETV 7 лет назад
Ahsante sana kiongozi
@robinedson
@robinedson 7 лет назад
asante sana rich i hope mi ndo nlikuuliza hilo swali kaka asante sana
@brycejayden818
@brycejayden818 7 лет назад
Asante kaka kwa kujitoa....GOD bless yah!!!unaeleweka sana
@RobbytheTrainer
@RobbytheTrainer 6 лет назад
Asante sana bro Rich
@abking6352
@abking6352 4 года назад
Mark ii
@arakeilameck4909
@arakeilameck4909 5 лет назад
Asa broo vip kuhusu bei zake kwa hapa Tanzania,canon
@ramacchenay3170
@ramacchenay3170 4 года назад
Samahani br0 canone 700D Uwezowake vipi katika kazi au nindoqo sana
@ramacchenay3170
@ramacchenay3170 4 года назад
Asant3 sana kaka maana um3kua kw3tu nitaa ambay0 anawaka katika kuhakikisha nd0t0 za vijana zinatimia munqu azidi kukupa h3ri juu yak0
@mkqualityit_technology3406
@mkqualityit_technology3406 4 года назад
ni hivyo viwili tu kaka, big up kwa elimu
@alutepro
@alutepro 3 года назад
Nimekuelewa sana kaka rich
@puregamers4215
@puregamers4215 5 лет назад
Canon 80d na 6d mark 2 IPI ni nzuri
@alberthothetraveler
@alberthothetraveler 7 лет назад
Hapo umetusaidia sana Naulizia bei za Canon camera
@mjrvideoproduction5794
@mjrvideoproduction5794 Год назад
Asante sanaaa
@dukeonlinetv7633
@dukeonlinetv7633 5 лет назад
nakufatilia saana ila mm naomba kujua zile effect ambazo zianendana na bit yaan bit likipiga na video nayo ina popu
@thomastv8225
@thomastv8225 6 лет назад
brother nashukuru sana naitumain nimejifunza vyema mm ni wanafunzi ktk hii ishu jitahid kupost mara kwa mara nitakuwa na ww mpaka nijifunze zaidi
@big-tv4508
@big-tv4508 6 лет назад
kama nataka uniuzie hiyo canon yako utanifanyia ngap?
@VIPBOYS123.4
@VIPBOYS123.4 2 дня назад
Inakuaje bro mimi nikona d5 2 Canon ilifutwa folda yakendani haitaki
@richcameraman9038
@richcameraman9038 3 года назад
Kaka used kamera naweza kupata Niko mara ,musoma ya laki 4.5
@Richstartz
@Richstartz 3 года назад
Unaeza pata
@richcameraman9038
@richcameraman9038 3 года назад
@@Richstartz so taipateje kunifikia huku
@costantinomabula7040
@costantinomabula7040 4 года назад
Shkran sana. Nahitaji kuwa professional photographer, lkn bajeti yangu sio kubwa nadhan naweza ku afford canon EOS 550D. Je itanifaaa katk upigaji wa picha na short video ili niweze kuwa na uelewa kdg ktk upigaji wa picha na kuijua camera kbs
@patientGrevislay
@patientGrevislay 7 лет назад
wow. awesome asantesana kaka nimejifunza vitu vizuri
@jamesmartine4188
@jamesmartine4188 6 лет назад
Cannon eos 750 bei gan
@ndaisengazoya8793
@ndaisengazoya8793 Год назад
We jamaa wakitambo Sana asee madini Yako hayana shaka
@deejaycruz3308
@deejaycruz3308 5 лет назад
Canon D1100 Iko Vp Kwa Picha Quality Na Video Kak
@moshihome8053
@moshihome8053 7 лет назад
Rich naomba nisaidie link za adobe pamoja na link ya flstudio my brother..
@petroomwisongoo5576
@petroomwisongoo5576 3 года назад
Boss nimeipenda sana hii video shukrani sana ila upatikanaji wa Nikon vifaa vyake saiz si umerahisishwa kidogo tofauti na ulivyo upload hii video miaka minne nyuma boss au bado kama zamani vifaa shida kuvipata boss
@Richstartz
@Richstartz 3 года назад
Vinapatikana
@shebbydetallenteed.8010
@shebbydetallenteed.8010 5 лет назад
Bro kiukweli nina ndoto za kua kama ww naomba unisaidie mahali ambapo naweza nikapata elimu hii,nisaidie pls bro
@mrcelebrityy9834
@mrcelebrityy9834 5 лет назад
Nikon complex p520 IPO vzur mkuu
@hezroncjuma1089
@hezroncjuma1089 2 года назад
Asante Sana Kaka kwa somo zuri uko pande zipi?
@EvgLeonidas
@EvgLeonidas 7 месяцев назад
Good
@Richstartz
@Richstartz 7 месяцев назад
Thanks
@sheldajuma-ys5dh
@sheldajuma-ys5dh Год назад
Naomba no yako boss
@hamismasoud8808
@hamismasoud8808 4 года назад
vp kuhusu 1200d
@deejaycruz3308
@deejaycruz3308 6 лет назад
Nikod D5300 Vp Iko Sawa Kwa Picha Quality
@deejaycruz3308
@deejaycruz3308 6 лет назад
Bei Ya lens Ni Kuanzia Ngp bro
@directorevo4378
@directorevo4378 6 лет назад
Nakukubali sana kaka Kutoka moyo napenda sana kuedit Picha na video
@mudrickmudrick5215
@mudrickmudrick5215 6 лет назад
Nataka kunnua Nikon D5300 vipi iko vizuri?
@pluginaccount4677
@pluginaccount4677 4 года назад
Richstar hiyo mic si unaweza kurekodia music kwa kutumia fl studio ukiwa na PC yako kama ndiyo bei gani ? Naweza kuipataje ? Nakubari sana Nazi yako kaka nami pia mwanafunzi wako
@pluginaccount4677
@pluginaccount4677 4 года назад
VP inarekodiiii au we ushatumia kurekodia mtu
@pluginaccount4677
@pluginaccount4677 4 года назад
Richstar thanks braz
@rckilada5916
@rckilada5916 6 лет назад
rich nilikuwa ntak kununua camera je CANON EOS T6 na CANON EOS T5 ipii bora kwa video
@shebyshow6264
@shebyshow6264 Год назад
Dah, ahsante xana kaka ila ningepata namba yako ningefurah xana coz kuna vitu nataka nikuulizie kaka.
@newttechog75
@newttechog75 5 лет назад
Bro cannon 6D vip ipo sawa na bajeti yake sio mbaya sana inasimama kama bei gani
@tonnyofficial6772
@tonnyofficial6772 2 года назад
1200000
@nathokakingamuz2540
@nathokakingamuz2540 5 лет назад
naomba kujua ni computer ipi au ya ukubwa gani labda ya kapuni flani ambayo ina faa kueditia video maana nimeona wengi wana tumia Apple computer
@mosesmsemne8253
@mosesmsemne8253 6 лет назад
Kaka naomba tusaidie na bei ya camera eos canon d550 naweza pata kwa bei gani tafadhary
@christiangwilla4702
@christiangwilla4702 2 года назад
Elimu nzuri sana hii,kama hauna group la WhatsApp?
@khalfanshaib908
@khalfanshaib908 6 лет назад
Kamera ipi rahisi kwa kushoot film
@derulodriplord2914
@derulodriplord2914 2 года назад
Nifanyie sonny X7 kuhusu video inazingua sanaa
@dericdeogratius9079
@dericdeogratius9079 7 лет назад
Kaka Jahbless yo....🙏
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 6 лет назад
Unapendeza ukiwa unaongea live mzee mwenzangu
@lathsawit9272
@lathsawit9272 6 лет назад
Bei za hizo camera zikoje?
@hfv1907
@hfv1907 4 года назад
Samahani kwamaswali yangu sasa nimepata Nikon D500 itanifanyia vizuri?
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 7 лет назад
Ntakutafuta private coz naona unameng yakunifunza brother ila endelea na moyo huo huo nipo pamoja na ww pia andaa tutoria juu ya kuangalia studio monitor speakers nzur and cheap
@kijapaulnaftal3777
@kijapaulnaftal3777 2 года назад
Bei gan hiyo canon.
@chemshatv677
@chemshatv677 Год назад
Nivipi wana shut video ima clip kwakutumia 50d
@contryboyphotography8217
@contryboyphotography8217 5 лет назад
nikon 810 sh ngp kwa dar slam
@Kayumbatv
@Kayumbatv Год назад
teacher tufundishe kuseti camera ili itoe picha kalii
@kidulimstaarabu1536
@kidulimstaarabu1536 6 лет назад
Rich nilikuw nina shida ya lens
@KingKhan-us8dt
@KingKhan-us8dt Год назад
Fanya basi kama vipi utuunge kwenye group ili tuendelee kumeza madini
@MzeebabaYeba-bb2nc
@MzeebabaYeba-bb2nc Год назад
Camera ya canon kwa tanzania ipo bei gan mana mim nipo msumbiji mkowa wa cabo de legado wilaya ya palma naitaji kujuwa bei ya camera
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 года назад
Asante sana. Bado nahitaji namba zako mtaalam
@davidtesha4931
@davidtesha4931 4 года назад
NaKubali san
@ImaniChoir-uy3kp
@ImaniChoir-uy3kp Год назад
Hizo kamera za Canon/Nikon unaweza kuzipata kirahisi hapa Tanzania sehemu gani Naomba jibu na huwa zinafaa kwa wale tunao taka kutumia kwa kushoot kwaya?
@YulithaMallya-ud4cw
@YulithaMallya-ud4cw Год назад
Je
@hassanmayenje7224
@hassanmayenje7224 5 лет назад
Kaka na itaji kuonana na ww nakupata wp
@mejatvcomedy
@mejatvcomedy 2 года назад
Oy brohh naomba unisaidie kitu nahitaji bei ya vifaa ambavyo vinaweza kunisaidia kwakutumia sim tuu
@milajikaa2796
@milajikaa2796 2 года назад
Mimi naitaji camera
@kamotetv4941
@kamotetv4941 5 лет назад
Kweli kaka
@sastv9226
@sastv9226 4 года назад
Canon 400d ni nzur??
@karamazeclan1808
@karamazeclan1808 6 лет назад
nahitaj lens ya nikon bro
@magretangel5242
@magretangel5242 6 лет назад
Umetumia kamera gani kushoot hii video?
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Год назад
Mac3 bei gani?
@moontv281
@moontv281 5 лет назад
Frame rate nini hiki
@yussuphsabury6990
@yussuphsabury6990 7 лет назад
KAKA RICH NASHIDA N A HIYO NIKONI USED SIAJAJU NI BEI GANI MAAA KWENYE CM SIKUPAti
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 лет назад
Jamaa hajibu suala la bei ili uende shop
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 лет назад
@@Richstartz anaulizia bei ya hizo kamera mfano zile zinazotoa picha hapo hapo
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 лет назад
@@Richstartz canon na printer yake bei gani namaanisha mpya nampiga MTU picha hapo hapo anapata picha yake
@lucasgeorge1713
@lucasgeorge1713 6 лет назад
awaaaaaa nlikuw cjui kabs Ku make beat lkn kuptia hii som how xaiv najarbu kidog Chanel imenfundisha kwel
@khalidndemo4386
@khalidndemo4386 7 лет назад
Vip Canon 60D inafaa
@tafcotv7649
@tafcotv7649 6 лет назад
Habari kuna jamaa anataka kuniuzia canon sx 510 je naweza kuitumia kurecord video nisaidie nijue
@evaristtv7157
@evaristtv7157 4 года назад
Je unawezaje kujua kwamba camera ina HD yake ni ngapi?
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
Uliza hio camera ina Shoot resolution ipi na frame rate ipi. HD ni 720, FULL HD ni 1080,
@evaristtv7157
@evaristtv7157 4 года назад
@@Richstartz ooh pia umezungumzia upande wa sensor ya lenzi kwa mfano unataka kujua quality yake unaicheki vp? Mimi natumia Nikon D3300
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
@@evaristtv7157 Pitia Hapa itakusaidia www.dpreview.com/reviews/nikon-d3300
@sikulumbwetv5200
@sikulumbwetv5200 2 года назад
@@evaristtv7157 broo
@benmosethe-rival-one45
@benmosethe-rival-one45 4 года назад
Nahitaji kujifunza kutumia camera
@salumkanuni9745
@salumkanuni9745 4 года назад
Broo nahitaji namb yk
@TunduComedyFamily
@TunduComedyFamily 4 года назад
Ndugu hyo canon mark 3 uliyoshoot kwa dk 90 bei yake ipoje madukani hapa tz.
@tonnyofficial6772
@tonnyofficial6772 2 года назад
2500000
@YulithaMallya-ud4cw
@YulithaMallya-ud4cw Год назад
Nina swali
@Richstartz
@Richstartz Год назад
Uliza
@mwana_afrika
@mwana_afrika 5 лет назад
Mm Nahtj camera, nawza nikapata kwa Bei gan camera kushoot, kwa Bei ya chin kbs sh Ngp, hyo Canon ndo Nahitaji Sasa, Huwa Bei gan🤔🤔🤔
@mwana_afrika
@mwana_afrika 5 лет назад
@@Richstartz Naomba Namb Yako ya wasp
@mundhirkhamis5731
@mundhirkhamis5731 6 лет назад
Kaka mm nataka kununua canon 100d kwa picha vp ipoo ziruy
@gakamedia214
@gakamedia214 4 года назад
🌷🌷🌷🌷🙆😝🔥🔥🔥
@sundaygeorge2200
@sundaygeorge2200 2 года назад
Maelezo yako hayajakaa VIZURI,jiandae kwanza ndipo ufanye,bado kuna vitu unachanganya au hauvijui vizuri kingine maelezo yako hayafiki mwisho,pia ungetenga upigaji wa Picha za Mnato na za Video maana kuna tofauti kubwa hapoo? AHSANTE.
@Richstartz
@Richstartz 2 года назад
Asante kwa maoni yako
@AbubakarMilan
@AbubakarMilan 3 года назад
CLOPPED !!
@sangraphics7040
@sangraphics7040 7 лет назад
hii canon 5D used ina range bei gani??
@lutwizotv3529
@lutwizotv3529 5 лет назад
Rich Canon 7D kwa video iko poa USD? na ina bey gan nisaidie au kama sio nzuri uniambie nichukue ya aje
@lutwizotv3529
@lutwizotv3529 5 лет назад
7d kwa video vp
@lutwizotv3529
@lutwizotv3529 5 лет назад
Lens nzuli ya kwa video nikiwa na 7d ni yaaje mkuu
@dvjkada4873
@dvjkada4873 6 лет назад
jee 60d nayo no full flem naipi sifayake
@nyajirvisualmedia6985
@nyajirvisualmedia6985 6 лет назад
Kaka mm nataka ninunue canon 500D je, ni nzur pia kwenye picha za mnato???
@nyajirvisualmedia6985
@nyajirvisualmedia6985 6 лет назад
Richstar je nashauriwa kutumia lens gan ili nipate picha nzur???
@nyajirvisualmedia6985
@nyajirvisualmedia6985 6 лет назад
Asante kk
@Shuugan
@Shuugan 4 года назад
Bei uja sema tusi tapeliwi 🤣
@isumbizeyn983
@isumbizeyn983 4 года назад
Kaka mi nataka Camera Quality kabisa Kwa ajili ya kushoot Movie, Filam Quality kabisa, naomba nitajie Jina la Camera
@holyaltar4511
@holyaltar4511 4 года назад
tafuta canon 5d mark 4,canon 1xd mark 2, 3 kama unataka camera nzuli kabisa ni canon 1dx mark 3 ila ina bei gali kama 15.000.000tz canon 5d mark 4 ni 5000.000tz,canon 1dx mark2 7000.000 tz ila unaweza ukazipata hapo tanzania kwa bei chini na hio nimekuelekeza,asante sana
@ANGOMWIL
@ANGOMWIL 2 года назад
@@holyaltar4511 namba yako
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Unapost vdeo maswal hujib au unawatangazia soko wauzaj wa camera aina ya canon na sony😒
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
Ulizwa swali lako, Hao wote washajibiwa. NAKUJIBU kisha nafuta comment
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
@@Richstartz conon D7 sh ngap mie nataka
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
@@jaklinifaustini4259 unamaanisha 7D au ?
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
@@Richstartz canon 5D
@Richstartz
@Richstartz 4 года назад
@@jaklinifaustini4259 3M
Далее
It was hard 😂
00:15
Просмотров 1,3 млн
Dropping In from the Clouds 🌁
00:17
Просмотров 848 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 3,6 млн
Мама знает где все документы
00:21
Jinsi ya kutumia Smartphone kama Microphone
6:16
Просмотров 12 тыс.
My camera settings on the D5300 - Tips and Tricks
22:30
It was hard 😂
00:15
Просмотров 1,3 млн