Punguzeni Maneno wa tz timechoka mnaongea mnoo na dariri ya Mtu muoga ni hiyo kuongea ongea Maneno miaka nenda Rudi watamzania wanazidi kuumia Kama hamiwezi kupambana kisiasa. Waacheni Ccm watawale milele. Mbona wenzenu wanaongea na vitemdo juu. Ninyi miaka nenda Rudina bwabwaja Maneno tu. Tumechokaaaaaaa