Тёмный

Chakra ya 6 | Third Eye Chakra | Chakra ya Nguvu za Miujiza | Hekima za Mafanikio | Meditation 

Rakims Spiritual
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Chakra ni nini?
Katika video hii utajifunza juu ya elimu ya chakra kama moja kati ya vituo muhimu sana vya safari ya meditation,
Ambapo kila chakra utaijua maana yake na faida yake pale utakapo ifungua mafanikio ni kwa kila mtu ambaye ni mwenye elimu za kiroho.
Wengi waliopo gizani kwenye elimu hizi basi utaona kwao mitihani na mambo mazito mazito hayaishi kwao.
Na kila panapokucha unakuta ni mtu mwenye mtihani mpya na mambo ya kusikitisha ambayo hupelekea wengine kufikia hatua ya kuamua kukufuru kisa tu kukosa maarifa.
Hivyo katika video hii nitakufundisha moja kati ya maarifa makuu kabisa yenye msaada mkubwa kwa maisha ya kila mtu na yenye muongozo mzuri katika maisha ya mwanadamu.
Vile vile usisite katika kufuatilia mafunzo haya kwani elimu ni bahari na ila manufaa kwa kila mazingira mtu aliyopo na jinsi unavyozidi kuiendea dunia na umri unavyozidi kwenda basi utatamani kama ungejua maarifa mengi sana kwa maana bila maarifa hakuna kitu kinaweza kuongozeka wala kwenda.
Hivyo siri ya kwanza kabisa ya mafanikio kwa mtu yeyote yule ipo kwenye maarifa kama huna maarifa wewe ni sawa na boksi na ili kuonyesha maarifa yako basi ni vema na ni bora zaidi yakawa na manufaa kwa watu wengi.
Kwa wageni basi channel na website zetu zinahusiana na maarifa salama ya juu sana kiroho na yenye faida kwa wengi na hasara kwa wachache ambao hata katika kutizama tu hawakuweza kuelewa kinahusu nini.
Kaa vema tuliza roho yako kuna mengi roho yako inataka kukwambia ambayo mwili na ubongo wako hazifahamu laiti ungeanza mapema kusikiliza roho yako basi ungependa uwe ni mwenye kuitaka shauri kwa kila hatua unayopiga katika maisha yako.
Kuna njia nyingi sana katika kuwasiliana na roho yako lakini most effective way ni kuongea na roho yako na kuweza kutulia na kuzikiliza roho yako.
Ifikie sehemu rafiki wa kweli baada ya Mungu wako basi iwe ni roho yako ukitambua maarifa mengi yaliyopo ndani ya roho yako basi utaweza kubadiri mengi katika maisha yako
Jina langu ninalotumia zaidi ni Rakims yaani Rakimz kwa wale ambao hamnifahamu vile vile kwa wale ambao ni wenye kuomba sana namba na mawasiliano yangu niwakumbushe tu ikiwa nimekupa au umechukua namba basi tumia sana mawasiliano ya ujumbe kupitia whatsApp ama voice note kwa maana ni bora zaidi kujibu kwa ufasaha kuliko kupiga simu wakati ambao sio sahihi kupiga simu. hivyo kuwepo na hekima ya mawasiliano hasa katika kupiga simu na vile vile ni vema zaidi kama mtu akitumia ujumbe mfupi kuliko kupiga simu
Kwa mawasiliano;
Email: Rakimsspiritual@gmail.com
WhatsApp: +255 783 930 601
Rakims

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@brightonjohnson
@brightonjohnson Год назад
Masha'Allah
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv Год назад
Mungu nae ni roho
@LeylaHussein-x4t
@LeylaHussein-x4t 2 месяца назад
Naamini
@BalakaJames-tj3iw
@BalakaJames-tj3iw 11 месяцев назад
Appreciate
@LeylaHussein-x4t
@LeylaHussein-x4t 2 месяца назад
Nipo teyari kupokee
@janethesron1111
@janethesron1111 4 месяца назад
Asante nimepata kitu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 4 месяца назад
karibu
@salmajuma6472
@salmajuma6472 8 месяцев назад
Mimi kila nikifanya meditation huwa kichwa kinauma sana kwenye paji nahis panavuta manaake nini
@jamesmbale2067
@jamesmbale2067 Год назад
Asante mwalimu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Karibu
@PeterChengo
@PeterChengo 11 месяцев назад
Je holi jicho hufanya kazi au lazima kilasiku uregelee holi zoezi?
@GeraldMagome
@GeraldMagome 9 месяцев назад
Unaweza kufanya hivyo mda wowote au?
@GeraldMagome
@GeraldMagome 9 месяцев назад
Kaka naomba namba
@denisjoseph-uj7dr
@denisjoseph-uj7dr Год назад
Kaka mimi ayo maelezo ya mwisho uliosema uwa yananitokea sana nifanyeje
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Rejea video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MWrjTqV3ovU.html
@JenniferJoseph-i9v
@JenniferJoseph-i9v 8 месяцев назад
nmependa somo lako, nmeanza meditation cku chache lakini kila nkianza kufanya meditation napiga sana miayo na machozi yananitoka sana cjajua kwann inatokea hvo?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 8 месяцев назад
Pole mkuu
@JenniferJoseph-i9v
@JenniferJoseph-i9v 8 месяцев назад
@@rakimsspiritual asantee why is that happening
@drpaulfullstop1332
@drpaulfullstop1332 Год назад
Hi brother njisi ya kufugua jicho LA tatu utuelezee
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Itakuja baada ya masaa mawili
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti 5 месяцев назад
Ndugu yangu rakims me naomba uniambie una patikana wp ili nije tuonane uso kwa uso plz me naishi kigambon na nakufatilia sana na kuna vitu vingi sana nipo navyo.naisi tukionana kilakitu kitaenda sawa🙏
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 месяцев назад
In shaa Allah wasiliana nasi kwa whatsapp 0783930601
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti 5 месяцев назад
nashukulu sana kwa hukalimu wenu mungu awazidishie mlipo pungukiwa inshaallah.
@danielrahma09
@danielrahma09 Год назад
Asnte sna bro nimesikiliza hii vidio nikama umeni ongelea mimi kabisa Ila samahan me naomba kuuliza kitu, sina mda mwingi kwenye kufanya meditation lkn kila nikifanya nasikia kichwa changu kinauma sana hadi nikimaliza naona kama nataka kuchanganyikiwa sielewi kwann inanitokea hii hali na kwann inatokea hivyo
@SamweliJoshua-t9o
@SamweliJoshua-t9o 9 месяцев назад
Chakra inapofunguka lazima uhisi maumivu
@lifestyleswithjollity5182
@lifestyleswithjollity5182 6 месяцев назад
Sijajua Kwanini hata kama sina usingizi nikianza kusikiliza video zako, usingizi kibao unajaa. Yaani nimeanza kukufatilia kwenye hizi chakra lakini napata shida kweli,, cjui usingizi unatokea wapi hata iwe mchana
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 месяцев назад
Huenda ukawa na spirit ambayo inakufunga kujua mambo mengi ya kiroho. Hivyo jitahidi kumtanguliza Mungu kabla ya kujifunza mambo mbali mbali ya kiroho
@GenevivPaul
@GenevivPaul Год назад
kaka cjaon chakra ya 5
@BruceBmBulugu-jd2jf
@BruceBmBulugu-jd2jf Год назад
Eti kk ukitaka kuamsha chakra unafanyeje
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Unafanya meditation
@BruceBmBulugu-jd2jf
@BruceBmBulugu-jd2jf Год назад
@@rakimsspiritual nikihitaji kufungua jicho la tatu lazima chakra zingine ziwe balanced
@PeterChengo
@PeterChengo 11 месяцев назад
Naomba number yako
@venisiuslyombo5286
@venisiuslyombo5286 Год назад
Je mla kaya naweza fanya meditation
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Ongea kiswahili rahisi.
@venisiuslyombo5286
@venisiuslyombo5286 Год назад
@@rakimsspiritual yani ganja
@MasPromise
@MasPromise 7 месяцев назад
Naomba number yako mwalimu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 месяцев назад
0783930601
@MoshiBoy-qi1mo
@MoshiBoy-qi1mo Год назад
Mm mbona nashidwa kufanya ata chakra ya kwanza
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Fuatilia meditation
@fistonmakopa598
@fistonmakopa598 8 месяцев назад
Naomba number yako
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 8 месяцев назад
0783930601
Далее
🔴 NTV LIVE | October 2024
Просмотров 1,9 тыс.
Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
56:27
Просмотров 76 тыс.
Mapenzi na Meditation pt2 @thexoshowtira .
11:25
Просмотров 1,3 тыс.
Meditation ya mafanikio | faida za Meditation
13:11
Просмотров 10 тыс.