Тёмный

Chakra ya 7 | Crown Chakra | Chakra ya Utukufu | Hekima za Mafanikio | Meditation 

Rakims Spiritual
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@duojoseph5065
@duojoseph5065 Год назад
Ni kweli lakini sisi ni Mfano wake Mungu
@piusitarimo9676
@piusitarimo9676 Год назад
Nakuelewa sana kiongozi hapa kwenye chakra umenisaidia nilitamani sana kujua lakin video nyingi tatizo ni lugha nashukuru kwa kutuelimisha .Nasubiri kwa hamu xana jinsi ya kuzifungua na kuzi balance na maarifa Mengine Mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Amin akubariki na wewe na familia yako.
@TigerGabrielsaint
@TigerGabrielsaint Месяц назад
Minakubali sana kbs❤❤❤
@fivechannel7607
@fivechannel7607 9 месяцев назад
Asante ndugu yangu umenifumbua kitu na kuniongezea kitu leo ihi chakra kwangu ni active barikiwa sana
@bongatv25
@bongatv25 6 месяцев назад
Asante kwa darasa naomba kujifunza jinsi ya kufungua cha chakra
@AriellaCubahiro
@AriellaCubahiro 3 месяца назад
Jambo kaka Mimi nimwanaume usione plofil ya mwanamke nimeazimwa sasanimefatilia chakra zete kwahiyo lipi SoMo lakusoma ili Ninde kwamustali tuilimishe kaka asanteee
@Asiyedjali
@Asiyedjali 5 месяцев назад
Ukweli ww ni marufu kwakufundisha Mungu akuinuwe
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 месяцев назад
Asante mwenyezi Mungu atubariki sote.
@brightonjohnson
@brightonjohnson Год назад
👏stay blessed kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Na wewe na familia yako pia
@brightonjohnson
@brightonjohnson Год назад
Amiiiin kaka
@Eddone-cc1hs
@Eddone-cc1hs Год назад
Daaaaaaaah ahsante kak nilijaribu kutoka nje kiroho nikafanikiwa kwenda benki kuchukuwa pesa pasipo kuonekana adi rahaaaaaA
@duojoseph5065
@duojoseph5065 Год назад
Wewe jamaa ni kweli
@helenapaschal74
@helenapaschal74 9 месяцев назад
Kaka samahani kupitia hii meditation naweza kumuona mbaya wangu au mtu mwenye malengo namimi katika maisha yangu?
@mkandarasitv9532
@mkandarasitv9532 Месяц назад
😊😊😊
@nedrongusi
@nedrongusi Год назад
Nipe namba Whatsapp ili unifundishe kufungua jicho la tatu
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 2 месяца назад
Mwalimu nimefika Apo kwenye yasaba nazitumiaje ili zinisaidie yanizije kwenye ualisia
@KOMBAJohn-ow8jj
@KOMBAJohn-ow8jj Год назад
Naomba namba yako tuwasiliane nimejifunza haya mamb 2019 but ad sasa natapatapa tuu sijapata mwalimu wakunijenga vizuri
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Asante... kwa sasa sina darasa private ila nafundisha hapa
@BruceBmBulugu-jd2jf
@BruceBmBulugu-jd2jf Год назад
Mwalim nikifanya meditation marambili kwa sku moja ni sawa
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Ni sahihi hata ukiweza mara 3
@zainabusabas7421
@zainabusabas7421 Год назад
Kaka ebu niambie hii no 7 inamaan8sha nini sababu hata nilivyo pata kaz nje ilikua 2017 na nikabdili kazi pia nikanza tena tarehe saba yani kiufupi no 7 iko na mimi san
@innocentcareen818
@innocentcareen818 Год назад
❤❤
@HildaGerald-xq4dc
@HildaGerald-xq4dc Год назад
Mwalimu samaan kidogo hapa sja kuwelew niksha sema ayo maneno matano yuz ras min nki yamaliza nifanyeje tena kuweza kufanikiwa kwaaraka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Ukimaliza subiri matokeo
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Kaka tufundishe unafayavipi ili kuzifunguwa
@joramgabriely4924
@joramgabriely4924 Год назад
Huna group la WhatsApp ndugu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Hapana kwa sasa sina.
@NiyibiziPovinavdony
@NiyibiziPovinavdony 8 месяцев назад
Tufanye aj kuhusu kuzifunghua
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 месяцев назад
Endelea kufuatilia channel hii utajifunza zaidi Asante.
@wandedalushi2984
@wandedalushi2984 Год назад
Mgeni hapa group watsap lpeade
@SabatoMazani
@SabatoMazani 6 месяцев назад
Mwalim mawsliano yako wap
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@HassanMuhidin-y2n
@HassanMuhidin-y2n 11 месяцев назад
Mimi nataka nijuwe jinsi ya kuzifanya zote izo 7
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 2 месяца назад
Fatilia kila mafundisho kwanzia mwanzo unauliza swali lililo humu mtu kukufundisha kupitia message
Далее
Сделка 😂
00:27
Просмотров 185 тыс.
Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
56:27
Просмотров 76 тыс.
MEDITATION NA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO ( TAFAKUR ).
6:45
Сделка 😂
00:27
Просмотров 185 тыс.