Тёмный

Chama, Bwalya walivyotumia miguu yao kuwatesa FC Platinum - CAFCL 06/01/2021 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 1,9 млн
50% 1

Tazama Chama na Bwalya walivyoihenyesha FC Platinum kwenye kipute cha Ligi ya Mabingwa Afrika dimbani Benjamin Mkapa.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Спорт

Опубликовано:

 

20 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 241   
@omarysemboja1303
@omarysemboja1303 2 года назад
Moja ya mechi Bora kabisaa kutoka kwa Mnyama Simba, Mtangazaji nae alikua Bora sanaaaaaaa.
@sittakibishi5019
@sittakibishi5019 3 года назад
Hiyoo miguu ilikuwa ni hatarii ndiyo maana walikufaa 👍👍Simba nguvu moja 💪
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 3 года назад
Maua yanamwagwa, pasi ambayo unaenda nayo paradise, this is another level, ASANTE MUNGU KWAKUTUSAIDIA TUKASHINDA MCHEZO HUU
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 3 года назад
They deserve congratulations! Big up chama simba supporters loves u.
@teslanewton8339
@teslanewton8339 3 года назад
Qq
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 3 года назад
Kilichofanyika kuanzia dak 9:40-9:52 ni Unyanyasaji wa kijinsia kabisa😂😂 CHAMA NA BWALYA🙌🙌🙌
@pj2jay158
@pj2jay158 3 года назад
Kama Barca mzee niliacha kushabikia timu za bongo ila simba imenirudisha kuishabikia
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 2 года назад
😂😂😂😂😂
@abuydewise
@abuydewise 3 года назад
Chama na bwalia wana chemistry nzuri sana uwanjani
@sunzumwanzazule9059
@sunzumwanzazule9059 3 года назад
Haaaaa
@zikirination6769
@zikirination6769 2 года назад
Mtangazaji alikuwa na vibe Sana😂😂😂😂🔥
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 Год назад
Nimekubali kuwa Simba nikubwa Sana Sana kuliko yanga
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 3 года назад
I love simba❤️❤️❤️
@DominicoBraisoni
@DominicoBraisoni Месяц назад
Naipenda simba sana
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 года назад
Kuna time simba watamu hatar mi yanga lakinindaah nawakubali sana uchezaji wa simba
@abuydewise
@abuydewise 3 года назад
One love
@samilsimon2792
@samilsimon2792 3 года назад
Ndotunaanza bado tunaederea 💓🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵 natutawakera
@zainabukhalid1964
@zainabukhalid1964 3 года назад
.
@godfreyswai467
@godfreyswai467 3 года назад
@@abuydewise 9iìikki
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Hii game simba waliupiga Mpira mwingi sana!!
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 года назад
Kwa utamu huu wa Simba chozi linaweza kutoka love much mnyama
@johnmadondolo6734
@johnmadondolo6734 3 года назад
)l)kg)s
@andersonbruno4133
@andersonbruno4133 3 года назад
Nakubali simba pambana mnyamz
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 3 года назад
Simbaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 3 года назад
Simba ikicheza mechi za kimataifa hapo Mkapa kuwe na aka "Theatre of dreams"
@samtomkilao6447
@samtomkilao6447 3 года назад
Simba inawapa xna viewers azam mpka ndo maana wanapenda kuipost😁 #nguvumoja
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 3 года назад
Wa mwanzo kukoment like zenu apa
@bupambafamilytv6827
@bupambafamilytv6827 2 года назад
WIDA
@kidirishajunior5297
@kidirishajunior5297 2 года назад
CHAMA17 🙌🏾
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 года назад
Daah acha tu
@adammj6258
@adammj6258 3 года назад
Tukio la Bwalya kuchomoka na Mpira kama Kipanga halivumiliki hata kidogo!!
@Sabeshauri
@Sabeshauri 3 года назад
Mimi naona tukalipoti polisi
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 3 года назад
Awareness ya kiwago cha juu sana.. ali Analyse situation akajua anatakiwa kusogea kuongea namba/Msaada
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 года назад
Hahahahahahahahahah tukaripot polis hili tukio sio zur kabisa kibinadam
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 2 года назад
Happy birthday triple C maestro ,
@piddykasembe9713
@piddykasembe9713 3 года назад
Wakooo Fireeeee 🔥🔥 Chama Na Bwariya
@daudbusanji2586
@daudbusanji2586 3 года назад
hii n Kali kuliko hata Ile ya nkana nmeielewa Sana hii
@2times273
@2times273 3 года назад
Kila Mwaka furaha zaidi na mabando ya Simba SC😁🦁
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 3 года назад
Ya moto sana mzee naomba tupate nyingne kma hii kwenye makundi
@samilsimon2792
@samilsimon2792 3 года назад
Daaaaa uhakika Yan hii nkari kuriko
@samilsimon2792
@samilsimon2792 3 года назад
Wataerewatu Wana jangwan
@musaking8838
@musaking8838 3 года назад
#nguvu moja simba sc
@marthakajiru2498
@marthakajiru2498 3 года назад
Yaani narudia kuchek hata kama nilucheck live marudio siyachoki mm Simba damu sana
@melksalvatory8685
@melksalvatory8685 2 года назад
Very good
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 3 года назад
Sio mnaomba like tu na nyie mlike sasa😀😀😀💥
@harrisonkapungu1918
@harrisonkapungu1918 3 года назад
bwallya na chama were in their pick 💯💯💯💥
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
,,,,were at the peak!!
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Год назад
Hii game Bwalya aliubonda sana
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Simba waliupiga mpira mwingi sana mechi hii,,,,kwangu Mimi wachezaji wote walijitoa ila cletous chota chama alikuwa "man of the match"
@mwitajohn6188
@mwitajohn6188 2 года назад
Hisia za utangazaji mpira pravoooo mpenja
@pierrerock.5949
@pierrerock.5949 3 года назад
Azam tv🔥🔥🔥
@aishaaisha5355
@aishaaisha5355 3 года назад
Hiligem chikwende akiangali.Lazima.aumie
@marcolugata5726
@marcolugata5726 3 года назад
Huku boko akizengeazengea hahaha raha saana
@bujumburatv2925
@bujumburatv2925 3 года назад
Red is on fire
@josephlikindasaro353
@josephlikindasaro353 3 года назад
Simba juu daima
@tryphonmwakimata8876
@tryphonmwakimata8876 3 года назад
Fantastic day and time
@tibeitajoseph6646
@tibeitajoseph6646 3 года назад
Game za wanaume usitume wavulana .....war in dar accomplished
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 года назад
Chama😭😭
@barghashally7791
@barghashally7791 2 года назад
Mm nishabiki wa yanga ila chama na bwaliya hawa watu ni zaidi ya motto
@sethjohnson7266
@sethjohnson7266 2 года назад
Hii ilikua moja ya mechi nzuri kwa Simba
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Год назад
Sven alikuwa bonge la kocha
@idrissgimb8204
@idrissgimb8204 2 года назад
I like this goal
@yasintasowani9928
@yasintasowani9928 3 года назад
This is how we do
@Sg_gamer200
@Sg_gamer200 3 года назад
simba ni another level
@johnandrea7372
@johnandrea7372 2 года назад
Mnyamaaa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 года назад
Mnanufaika sana na views za msimbaz
@2times273
@2times273 3 года назад
Acha wachukue views sisi tuchukue furaha😁
@abdulmwangu1298
@abdulmwangu1298 2 года назад
Naomba rally acheze namba yake 8 please he is the best
@ibrahimally5868
@ibrahimally5868 2 года назад
Mimi pia natamani sana hivyo,akikaa dimba la kati huwa anakiwasha sanaaaaa
@silverfox7630
@silverfox7630 2 года назад
Bwalya is better than chama
@dottohussein5360
@dottohussein5360 3 года назад
Sichoki kuangalia hii match
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Kabisa!
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 3 года назад
ahsanteeeeeeeeeee mnyaaaaa mnyaamaaaa
@elizabethkalinga8975
@elizabethkalinga8975 3 года назад
Pumzika kwa Aman mkapa
@gracesiwale7066
@gracesiwale7066 3 года назад
Nipe ni kupe mtangazaji huyu huwa namkubariki asirimia 100
@ibrahimmakame7272
@ibrahimmakame7272 3 года назад
Simba danger magulukwenda samwl
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 года назад
Abar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku karbuun mjifunze ingia RU-vid andika sir Binladen 786
@danielkandipaulo2223
@danielkandipaulo2223 2 года назад
Wao
@omaryally198
@omaryally198 3 года назад
Watangazji walinjoi sana mana furaha ilizdi kina
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Kabisa,,,,,,ila hata simba waliupiga mpira mwingi sana!!
@evaelex69
@evaelex69 3 года назад
Ibraa
@omaryally198
@omaryally198 3 года назад
@@jumakapilima5674 sana tu mkuu twawaombea huko nje mungu awasimamie bahat iwe kwao inshaallah
@faustinemussa6780
@faustinemussa6780 3 года назад
Yes
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 года назад
Dah jmn msimu uliopita Simba ilikuwa bora mnooo Mungu saidia msimu huu oia jmn dah
@anwaralimohd4883
@anwaralimohd4883 3 года назад
Simba
@carlosdeo9243
@carlosdeo9243 Год назад
Sana
@selemanndimbo3723
@selemanndimbo3723 2 года назад
Mozambique malawi
@eliasakilu8482
@eliasakilu8482 3 года назад
Wilda war in dar
@jacobmsiganga4121
@jacobmsiganga4121 3 года назад
Noma sana Simba...
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 года назад
Nani amekuja hapa baada ya Al Hilal kufungwa na mnyama Simba
@allenjoseph6953
@allenjoseph6953 2 года назад
Simba safj sana
@jescaachibod
@jescaachibod 2 года назад
Simba na azam
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 2 года назад
Huyu chama anajua Sana mpira .tuacheni utani
@paulokusekwa6502
@paulokusekwa6502 3 года назад
Hakka yesu anaweza
@faudhiaiddi9922
@faudhiaiddi9922 2 года назад
pass ya upendo kabisa
@irakozealexis351
@irakozealexis351 2 года назад
Nataka kujua jina la mtangazaji huyo bwan nampenda xaaana ten sana
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 2 года назад
Baraka mpenja
@morlovzeboy9610
@morlovzeboy9610 2 года назад
Mpenja saut radi baraka mpenja oyoooooo
@nicavicdavid4043
@nicavicdavid4043 2 года назад
ᵐⁱᵐⁱ ᵐᵖᵃᵏᵃ ˡᵉᵒᵒᵒ ʰᵘʷᵃ ⁿᵃᵘᵐⁱᵃᵃᵃ ˢᵃⁿᵃ
@pilabiliani9394
@pilabiliani9394 3 года назад
Show za mnyama 🦁 hazifai yaani unaweza kuweka keo bond na asiliwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋
@msaniialiy5949
@msaniialiy5949 2 года назад
I love you Simba
@valelianuspius-fe6xb
@valelianuspius-fe6xb 8 месяцев назад
Niliappreciate
@soccertv293
@soccertv293 3 года назад
Simba akicheza hiv mechi zote hakuna team yakutuzuia tusiipige 4G
@hasheemkaz2732
@hasheemkaz2732 2 года назад
Dah SIMBA kwenye ubora wetuuu. DAR ES SALAAM IS RED
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz Год назад
Ila Bwalya ilikuwa machine
@sarahrajabu9812
@sarahrajabu9812 3 года назад
Safi sana
@user-mn2il1pr4b
@user-mn2il1pr4b 3 месяца назад
❤❤❤
@matondokidaikidai1713
@matondokidaikidai1713 2 года назад
HiIiii ndo nguvu moja
@sage95_66
@sage95_66 2 года назад
Simba Sc🔥🔥🔥
@eliasakilu8482
@eliasakilu8482 3 года назад
Wilda war in datr
@morlovzeboy9610
@morlovzeboy9610 2 года назад
Xkuona comment za vyura😂😂😂
@magesachacha3897
@magesachacha3897 2 года назад
Jamani huyu Chama huyu dah kiukweli jamaa akiamua anajua sana mpira hii siku alicheza mpira mkubwa na wa kasi ya ajabu mno
@dazookman6417
@dazookman6417 2 года назад
kulikoni saivi huyo chama?
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 2 года назад
Simba jmn mtawaua hao planteum huwiii jmn simba washamaliza duhuu hii ni hatari mno jmn hii Simba ni level ingine jmn maajatuliyaona msimu uliopita wachezaji walikuwakitu kimoja hawaachi nfsi kbisa waliziba kila mhli safi safi Simba duhuu
@Dagaa_wa_mwanza
@Dagaa_wa_mwanza 2 года назад
100
@sheeealiy452
@sheeealiy452 2 года назад
2000
@emmanuelmashakaenos6652
@emmanuelmashakaenos6652 3 года назад
Simba oyeee!!!!!
@mohamedsembon1394
@mohamedsembon1394 2 года назад
The brain
@christinamsuya8857
@christinamsuya8857 3 года назад
Mechi ilikua tam jamaniiiii
@cheguevaratv2917
@cheguevaratv2917 2 года назад
Sina neno. Ninaitamani Club Bingwa mwaka huu
@amanfanuel623
@amanfanuel623 2 года назад
BILA CHAMA BLAZA..... NNAWASIWASI...
@eliapeter9196
@eliapeter9196 2 года назад
Claytous chamaaaa
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 года назад
WANAUMIA KUTOKA VISIT KIDIMBWI
@bakhariramadhani9399
@bakhariramadhani9399 3 года назад
Talifa ya habali
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 года назад
Chama na Luis warudishwe aise maana waliitendea slogan ya nguvu moja.
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 года назад
Mlicheza ile biliani biliaaaa simbaaa
@bilalysalum5638
@bilalysalum5638 3 года назад
Gol kipa kasimama kama anataka kuswalisha
@liberatusslyvanus916
@liberatusslyvanus916 3 года назад
Simba wanajitahi sana
@emanuelmfingwa7559
@emanuelmfingwa7559 3 года назад
Hatar
@innocentmchaky3183
@innocentmchaky3183 3 месяца назад
Ally kamwe akimsifia chama😂
@allyanton1366
@allyanton1366 3 месяца назад
😂
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 2 года назад
Kosa kubwa walilofanya watani zetu ni kutoa injini za timu.................haawataelewa but ndio hivyo.
@juliusmushi1405
@juliusmushi1405 2 года назад
Diamond
@charlesmwise4226
@charlesmwise4226 3 года назад
Simba nguvu moja
@tudziwenemmelo4967
@tudziwenemmelo4967 3 года назад
Hatar Sana simba
@piusmgweno2369
@piusmgweno2369 3 года назад
Regna
@josephdamiano7917
@josephdamiano7917 2 года назад
samba watuwanbayasana
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 3 года назад
*Hili kosilingepangwa mapinduz kunamtu alikuwa analia nyingi Sana*
Далее
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
6:24
Просмотров 10 млн
Мама хитрая😂​⁠​⁠@ladymilanapap4610
00:16
КТО ЭТО БЫЛ?
25:31
Просмотров 884 тыс.
FARUX RAIMOV AVJIGA CHIQDI - JAVOHIR🔥
01:01
Просмотров 975 тыс.
Argentina vs Ecuador penalty shootout highlights
7:19
Просмотров 4,5 тыс.
Baraka Mpenja Akilia Kwa Ajili ya Magoli 20 Bora.
20:13
Самый Безумный Спор 😱
0:42
Просмотров 591 тыс.