Ukihitaji msaada wangu kuhusu : 1. Kufungua channel ya youtube 2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076 . RU-vid ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
brother yaani unafanya kitu kizuri sana kwa watanzania na watu wengine ambao wanaangalia channel yako ... kwa mara ya kwanza naangalia video yako yaani zile point ambazo ulizokuwa unazielezea zimenifanya ni.subscribe kabla hata haijaisha video... tunakushukuru... ila usituangushe na sisi kwa kutuletea video nzuri kama hizi ... Respect...
Thank you xo much my young brother! Really you are given us a good lesson! From to day I want to change and I will teach my all friends to follow this way.
Dah bro una akili za busara na kipawa cha kugawa kile ulichonacho kichwani wa vijana kama sis ambao bado tupo chin nimejifunza mengi mungu anisaidie nifate hizi nyendo Ubarikiwe sana bro