Тёмный

Chanzo NI CCM!! TUNDU LISSU AMPA MAKAVU KATIBU NCHIMBI //Mateso YETU YAMESABABISHWA NA CCM 

Baharia TV
Подписаться 83 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@gililwise
@gililwise 28 дней назад
Kwa hili polisi mmefeli Kwa hili nasema hapana Hawa watoto waliopigwa ni Watoto ambao wametoka kwenye tumbo la mwanamke.hamjui cc tulioenda leba tunaumia mnoo tukiona wanaume wanawapiga watoto bila sababu ya msingi.hii ni Laana Kwa vizazi vyenu ninyi nyote mliowaumiza Kwa kuwapiga Mungu ninayemwamini atawashughulikia ninyi na Watoto wenu.
@prophetsamawiparapanda1856
@prophetsamawiparapanda1856 26 дней назад
8:58 Unajua police wa nchi hii mmesoma inawezekanaje kufanya kitu kama hiki. Si sawa msionee watoto wa watu wala kuwa piga, maana ninyi mna watoto wenu na hamjui wataishi maisha gani? Maana Wana ishi na Hawa Hawa raia. Msigombane na mnao ishi nao ikawa sumbua.
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 28 дней назад
Bwege nyahoza umelidhalilisha jeshi letu la polisi unamualibia afande kamiliusi wambura kupitia kamishna haji huku ukitambua mheshimiwa rais anasimamia 4R ilikuleta utulivu ndani ya nchi uchawa wako unaivuluga nchi *lazima uwajibike
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 27 дней назад
Miongoni mwa wanasiasa wakweli nchi kuwahi kuwafahamu basi ni Tundu Lissu, ni mkweli, mwadilifu sana na habadiliki nyeupe ni nyeupe na nyekundu ni nyekundu ila bahati mbaya kazungukwa na wasioaminika
@cyprianpetetmbonde6374
@cyprianpetetmbonde6374 27 дней назад
Huko mahakamani ndio kutamu wapelekwe wakanyooshwe
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 28 дней назад
Usingependa kujua kama Mhe Nchimbi anatoa maagizo kwa jeshi la polisi liwaachie kama nani naye akiwa mwanasiasa kama wengine?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 27 дней назад
CCM mmewapiga watoto viongozi kama hamuwezi kuheshimu viongozi wengine ninyi mnataka mkaheshimiwe na kusifiwa sifiwa?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 27 дней назад
Kama ni maneno ya mtu kwa nini wasinge mwita na kumuhoji?
Далее
Cute
00:16
Просмотров 3,7 млн
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 786 тыс.
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 62 тыс.
TUNDU LISU
5:39
Просмотров 36 тыс.
Cute
00:16
Просмотров 3,7 млн