Тёмный

CHECHE NYINGINE ZA ALLY KAMWE KUELEKEA MECHI DHIDI YA COASTAL UNION ARUSHA 

Yanga TV
Подписаться 707 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@kolosii4351
@kolosii4351 17 часов назад
Kamwe mwambie Aziz k tunamis kusikia " Aziz kiiìiiiiiiiii" tunaomba kesho walau tusikie mara 2.
@marystambuli8045
@marystambuli8045 16 часов назад
Namwombes sana Dube kesho afanye vzr
@AminoKhalif
@AminoKhalif 15 часов назад
Oyeeeeee Ali kamwe kazi nzuri mungu awabariki wachezaji wetu 💚💛💚💚💚💛💚💚💚💚💚💚
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 13 часов назад
wachezaji wangu pendwa aziz ki, pacome chama, maxi na dube na wengine woote kesho mungu awape macho ya kuona lango akaondoe mauzauza yote ktk mcchezo wa kesho wapate matokeo mazuri nguvj za giza ktk uwanja nazikataa kwa jina la Yesu kristo wa nazareti alie hai nawafunika damuni mwake wachezaji wote amen
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 13 часов назад
Amina
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 16 часов назад
Tunawatakia kila la heri Ila dube na azizi na pakome tunaomba magoli yenu please 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@MaikoKaniki
@MaikoKaniki 13 часов назад
Mungu simama Nas katika mchezo wa kesho amina
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 17 часов назад
Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@edmundhenrykagimbo9776
@edmundhenrykagimbo9776 2 часа назад
Mwenyezi MUNGU ibariki Dar Es Salaam Young Africans Sports Club! Ipate ushindi mnono!
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 14 часов назад
Mungu atatusaidia tutashinda AMIN
@patridabernard9148
@patridabernard9148 10 часов назад
Mungu ibariki Yanga mungu wabariki wachezaji wote kesho tushinde
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 16 часов назад
Kesho inshaalah Aziz ki afunge😊😊😊😊😊
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 14 часов назад
Jamani washambuliaji wetu Mungu awajalie macho ya kuona lango hapo kesho na awaondolee uchovu ndani ya miili yenu ili mkashinde 🙏
@hafia.056
@hafia.056 13 часов назад
Twendeee all iwe none stop let's all give our sleff very very good stuff 👍 at all the times yes wananchi Green 💚 and yellow 💛 oyeee hayaa
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 15 часов назад
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko ushindi mwingi inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 16 часов назад
Mungu awajalie afya njema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MariamZanzibari
@MariamZanzibari 16 часов назад
Allah awape afya njema na ushindi inshaallah
@IbrahimMohamed-c3c
@IbrahimMohamed-c3c 17 часов назад
Let's go citizens 💚💛🖤
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi Час назад
Leo dube atafunga inshaallah namuomba mungu amjaalie na asisti itoke kwa chama au kwa azizi k.🎉🎉
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 13 часов назад
Maadui ni wengi sana Allah atulinde 🙏🙏🙏🙏
@NeemaMohammed-s1o
@NeemaMohammed-s1o 16 часов назад
Mungu atawajaalia kila la kheri wachezaji wetu wape nguvu
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 16 часов назад
Kila la kheri mpate ushindi jumamosi 🎉🎉🎉🎉
@SaidAkili
@SaidAkili 13 часов назад
Inshaallah Allah bless your team
@SaraRobert-io8xv
@SaraRobert-io8xv 13 часов назад
Kwaiiiii mihayo kesho tunafungwa mungu tusaidie tufunge maaan
@goodluckmdagachule3339
@goodluckmdagachule3339 14 часов назад
Jaman mwambieni kocha wamchezeshe nkane wamp mda kama mzizi ameweza kupenya na nkane atapennya mpeni hata dk 15 Kila mechi
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 16 часов назад
Stephen ki Aziiz afunge
@NeemaRashid-z2i
@NeemaRashid-z2i 15 часов назад
Dube mpelekeni anakoabudu church boy
@hafia.056
@hafia.056 13 часов назад
Sisi wanaYanga one billion supporters tunasema tuko sawa sawa i mean coach stuff and all players and us all supporters tuko safi eeee halafu kubwa kabisa tunasema Youngs Africans oyeee let's saying all oyeee
@yusuphally6420
@yusuphally6420 16 часов назад
Kesho ni Dube day
@abdalahchipangula4476
@abdalahchipangula4476 13 часов назад
Kwli kbsa
@AnnahAnnah-g8t
@AnnahAnnah-g8t 13 часов назад
Kila raheli tim langu pendwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 4 часа назад
3 points muhimu
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 15 часов назад
Point 3 muhimu ila mjitahidi sana kwenye safu ya ushambuliaji hasa pale katikati inashida mtumie nafasi kwa ufanisi na Dua msisahau pia kesho ningependa dube au balekhe waanze
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 14 часов назад
Kesho tunashinda goli 4 kwa coast union CHUKUA maneno yangu
@nikelaJimson
@nikelaJimson 9 часов назад
@joycemmassi5046 ,Amina
@KondoNgoma
@KondoNgoma 14 часов назад
Mungu saidia yanga tupate ushindi
@eliusSirai
@eliusSirai 14 часов назад
Nawatakia ushindi yanga Africa
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 3 часа назад
Diary ashauliwe aache kujisababishia kadi za njano. Lakini wachezaji wafundishwe sheria za mpira za ndani na nje ya uwanja hasa kudaka mpira anauacheza na mguu halafu anaushika tena na mkono
@mwanahawatemba3243
@mwanahawatemba3243 13 часов назад
Lakini mbona timu tulizofunga kwa shida timu zingine wanazifunga kirahisi Tena magoli mengi jamani tunakwama wapi
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 13 часов назад
kumbuka yanga inaksmiwa sana my friend usisahau ilo
@ZaydShafii-v2n
@ZaydShafii-v2n 16 часов назад
Afya njema kwenu
@Omari-b8z
@Omari-b8z 14 часов назад
Pamoja
@HECHYBOY
@HECHYBOY 17 часов назад
Ahaaa am first today
@Fatma-jt6zn
@Fatma-jt6zn 16 часов назад
nawaombea kheri yanga yangu washinde
@OmaryMajivuno
@OmaryMajivuno 11 часов назад
❤❤❤❤❤
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE 2 часа назад
wapingwe tano
@EliainenyiMosha
@EliainenyiMosha 4 часа назад
Kikao Cha sirini Kuna watu huko mtaani wanatoa bahasha kwa refa ili tufungwe 🤣🤣🤣🤣
@ombeneliakim1414
@ombeneliakim1414 2 часа назад
Azz k sikuiz apigi mashut.kwann
@renatusngeleka6059
@renatusngeleka6059 13 часов назад
Semaji leo unapiga Mihayo tuuu
@AthumaniNgonyani
@AthumaniNgonyani 14 часов назад
Mambie aizijii mbona hafungi hataki tofusikora mwaka huu maana anacheza kiwago chachini sana
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 часа назад
Kila la kheri leo
@D.kapulwa2002
@D.kapulwa2002 16 часов назад
Boka apunguze kufanya faulo💪💪
@martinsimon9299
@martinsimon9299 15 часов назад
Boka amekuwa na reaction mbaya kwa waamuzi , tukikutana na mwamuzi mwenye temper, tutakula umeme..
@YusphNgoro
@YusphNgoro 10 часов назад
Kila la heri wachezaji wetu
@HappyRobert-bu3lu
@HappyRobert-bu3lu 3 часа назад
mimi nawaomba mabeki wa yanga pambaneni ili mmusaidie goli kipa
@KherDogo
@KherDogo 16 часов назад
Ndio nkuuu
@michaelpetro1961
@michaelpetro1961 4 часа назад
Yangawtafungagolitano
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 16 часов назад
Ally hukulala kaka mbona una bayer sana
@amanizavala
@amanizavala 17 часов назад
Utopolo
@hafidhiabdullah3172
@hafidhiabdullah3172 17 часов назад
Utopolo mama yako
@VictorKahangwa
@VictorKahangwa 13 часов назад
Hivi utopolo tafsiri yake ndo machampion wa nchi ?
@ndumeabdallah5105
@ndumeabdallah5105 15 часов назад
Nimemuona ally kamwe akiwa na fatiki pia!!!
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 412 тыс.
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 234 тыс.