Тёмный

CHID BENZ ATEMA NYONGO BAADA YA KUTOKA NDUKI BASATA,WASANII WACHAWI,KAFARA,USHETANI,NIMEDHULUMIWA 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 4,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 7 дней назад
Hupo sawa chidy.bongo wachawi sna,alafu ni watu wakupritendy kwa watu kuwa wazuri na wanasaidia watu.wakati wanawaumiza watu kwa kusema victim ahitaji msaada au anakimbia msaada au asaidiki kumbe kashindwa kumsaidia hili ajisafishe anajifanya yy mwema Ila victim ndio asaidiki ili mladi asitokee wakumsaidia,sasa hiyo ndio mbaya bora umeshindwa kumsaidia muache usimualibie.
@issachibangu6075
@issachibangu6075 6 дней назад
Chini benz 🔥
@dullahzebuffa
@dullahzebuffa 6 дней назад
Pole brother
@mussaomary6626
@mussaomary6626 7 дней назад
Pole mzigua mwenzangu wazigua haturembagi kwa Babu tu hukumu yake ataipatia
@kiongozicharlie
@kiongozicharlie 4 дня назад
Chid beenz tupige kulijuani KWAAJILI yao kaka
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t День назад
Wahandsh mmekoma hapo kojo linauma yan unalibana mpk unahis mickio inafanya NZEEEE
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 День назад
Kinacho mponza chidi ni kuishi ki uchid .. wakati anatakiwa kuishi ki raahidi
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 5 дней назад
Akili mingi sana uyu jamaa🎉🎉🎉🎉
@fgtz5277
@fgtz5277 6 дней назад
ILA WAANDISHI MNA KAZI NGUMU NYIE JAMANI, MUNGU AWAINUE JAMANI. YAANI MTU ANAONGEA KWA MUDA USIO NA KIPIMO, NYIE MPO TU, HAHAHA
@hafidhali4336
@hafidhali4336 6 дней назад
😀😀😀😀😀😀😀😀
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 3 дня назад
Haki yako haipotei itacheleweshwa tu
@magesawambura3041
@magesawambura3041 6 дней назад
Kipa katoka asee Dah!
Далее
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,2 млн