#HiviNiKweli #MotownSanya #ChidBenz #NemboYaMtaa HIVI NI KWELI NI KILA JUMANNE SAA 03:00 USIKU MARUDIO JUMATANO SAA 08:00 MCHANA IJUMAA. SAA 04:00 JIONI JUMAPILI. SAA 08:00 MCHANA
Chidi Benz is one of a kind. The Best Rapper of All Times REAL OG. he is hilarious and serious at the same time Big Up Mo Town Sanya. One Love from +254
Hahaaa’ wabwia unga Ndo walivyo....!...Akianza kukuelezea madhara ya unga huku anakusihi usijiingize na ww’ unaweza kujiuliza Kwa nini Sasa yy ANAUBWIA...? ....hahahahaaa...!
Ismail Yusuph sio wabwia unga, watu wote wenye akili walijikuta kwenye ubwiaji wa unga, uvutaji wa sigara ama pombe watakushauri usijaribu hizo vitu kwa sababu ukishaingia hata kama hupendi na unataka kuacha kazi yake sio ndogo. Na hiyo ni kwa sababu hivyo vitu vina addiction strong hatari once you are in you are fucked up!
Mimi binafsi CHID BENZ namshabikia toka longtime lakin toka aingie kwenye madawa ikasemekana ameacha simuelewi kunaonekana Kama anatakiwa afanyiwe Counselling arudi Kama zamani kwani hata akifanya interview unaona anatatizo fulan Kama usiriasi haupo.Unakua hicho kipindi nikizuri Sana kinapromo Kali Sana so ndio hivyo
Jamani hawa wasafi ni wabunifu sana binafsi kuna muda fulani nilikuwa sijawaelewa ila sasa wako juu kwa ubunifu....chidy katisha jamani huyu jamaa ana akili sema basi tu
You are talented you are something else. Just to let you know even lily Wayne cant do that ..bro you are genius talented Tanzanian artist which African never witnessed yet ..believe me ..sit down and think twice .what you really want in life ..YOU ARE STAR BRO MUCH MUCH RESPECT BRO
Dah! Uyo nd Bughalee yan n producer mkali na n ktk maprodiuza ambao nawakubal sn ila ata kumjuwa cmjuw nd nmemuona leo naona yupo very simple, sema now upepo upo kw S2KIZZY na T Touch nd mana kapotea msela..
Every time the chidi beenz is a good artist, that's all because he has been Can music, despite having lost in the musical game but is still the salt of music in Tanzania.
Daaah!!! CHID BENZ ni BONGE la mtu jamani, yaani CHID ni BONGE la Rapa East & coast Africa...nimependa jinsi alivyoichafua hiyo Beat hapo Studio.... sijawahi kumchukia Wala kumchoka Chi, Chi, Chi ,Chi, CHID Beeeeenz
Jid benzi kiukweli kashuka sana sabab ayo yak anayotumia yamembadilisha anatakiwa ajitambue ili awez kukaa vizur katika gem y mziki big up sana chidi ww n msanii mkubwa ila inabid ubadilike