Ee Mungu naomba utupe ufahamu utuwezeshe kuzijua roho zidanganyazo maana roho zidanganyazo ni nyingi mnoo pekee yetu hatuwezi kushinda,! tunayaweza mambo yote katika wewe ututiaye nguvu, tutie nguvu Bwana🙏
Kama unajiamin na unamuamin mungu katk maisha yako hyu pindi uatmuon wa kawaid sna shikilia san maisha yako ulikuwa nao ni muhim kuliko kitu chochote mtu mweny pesa hatangaz pesa zke elewa