Тёмный
No video :(

CHINA YAPELEKA MAJESHI YAKE URUSI| YATANGAZA KUWEPO KWA MATAIFA MENGINE KUUNGANA URUSI 

Maximum Tv Online
Подписаться 451 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 94   
@sharonyclement9457
@sharonyclement9457 2 года назад
Imekaa powa Pyongyang Viva Beijing Viva mosico Viva atauku mitaani tunaleta mapindunzi mapya yani Wana kuja Wana mapindunzi wapya daima tutapinga ubabe wanyonge wote tuungane
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 года назад
Mazoezi ya mgambo,waguse moto wa marekani waonemoto,hao wanaokula mizoga watapigwa mpaka watapike panya
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
Hilo jina tu eti Talimo ndio wale wale 🤣🤣🏃🏃 ili yamradi nawe u comment
@salehkombo8205
@salehkombo8205 2 года назад
Moscow
@jambiajuma7199
@jambiajuma7199 2 года назад
Kama Wana hitaji watu wakujitolea Mimi Niko tayari kwenda urusi kumsaidia Putin lengo kumkong'oli mnafiki na mgombanishi wa dunia.mnafiki Alie uwa viongozi wa africa
@elishantelekwa9793
@elishantelekwa9793 2 года назад
Hata mimi pia
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 2 месяца назад
utanipitia na mie naandaa mabegi
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 года назад
Umefika mda wa mataifa makubwa kuzifinya Nchi masikini zinazotegemea wazungu zitakufa njaa Maneno ya Mungu yanasema Amelaniwa mtu Amtegemeae mwanadamu maana moyoni amemwacha Mungu, Afrika tuache kutegemea wazungu,hiyo Ni Rana,
@sharonyclement9457
@sharonyclement9457 2 года назад
Mwana tupo pamoja mdukuzi wabongo tuna kupata
@wamburamaswe8073
@wamburamaswe8073 2 года назад
Hii ndoimekaa vyema wangu
@jumamalkio4210
@jumamalkio4210 3 месяца назад
Tumechoka kutungiwa Sheria wenyewe hawazifanyi hizo sherea
@metisonkajange8734
@metisonkajange8734 5 дней назад
mazoe hayo. yanazidi kuletasula. 😢 duniani. kwani. vita. dio ilioenea kwaviongozi wengi duniani na kilanhichi. ujiona nibebelu. kwachi zingine. ????????
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Год назад
ohooo NATO ,mmekwisha khakika
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 17 дней назад
Hapo ndo pazur sasa mana marekani amezidi kuonea watu sana na yeye ndie anae chochea mizozo duniani
@zawadimbusa3472
@zawadimbusa3472 2 года назад
Asante kwa taarifa
@donizzo9570
@donizzo9570 2 года назад
Aisee mmepotea wapi..? Habari zimeisha huko..?
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
SAFI komesha nato muuwaji wa viongoz wa africa wasio na hatia
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 года назад
Hawawezi kitu watapigwa kipigo cha mbwa koko
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 года назад
Marekani atawafanyakitu mbaya,
@EdwardNgogo-lg1zz
@EdwardNgogo-lg1zz 23 дня назад
God bless Russian president
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 2 года назад
Asante saana kwa taarifa
@ramirezsaane7444
@ramirezsaane7444 2 года назад
Big up sana broo upo vizuri
@eriasorina5119
@eriasorina5119 Год назад
Kwani mlienda wapi sioni apdate zenu siasa za kweti ni Elias
@erickzephania1030
@erickzephania1030 2 года назад
Urusi, China na N. Korea ni Mikwara tu, Marekani wanapajua lkn wanaishia kupiga kelele tu.. Wajaribu hata kupiga kombora mpakani mwa Marekani tuone
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 года назад
Mie nashangaa watu kama nyie marekani unaitwa mweusi sio nchi yako na bado unawatetea hao sijui unapenda mbooo zao?
@saidmathayo872
@saidmathayo872 2 года назад
@@nasseralhatmi1762 ww mbona unafirwa mkundu na baba yako mzazi hatusemi. Shoga mweusi we.
@omarsaid4702
@omarsaid4702 2 года назад
Marekani anamuogopa mrusi mbona ameshindwa Ukraine urusi ni supa power ataichkua Ukraine yote
@saidmathayo872
@saidmathayo872 2 года назад
@@nasseralhatmi1762 punguza ujinga fala ww, wale weusi kule sio kwao Kivipi. Si bora marekani wanaishi weusi wenzetu.
@yohanamasebo3478
@yohanamasebo3478 2 года назад
UNAONGEA KAMA MLEVI MAREKANI NAYE HANA UWEZO WA KURUSHA KOMBORA URUSI ITAKUWA NDO MWISHO WA MAREKAN
@amirinestory
@amirinestory 2 года назад
Vita ya tatu ya dunia inanukia,hizo Ni lasha lasha mvua kubwa inakuja
@kassuqutbi2199
@kassuqutbi2199 2 года назад
Kweli kabisa
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 года назад
Hakunakitu,kunamchezo marekani anawachezea hawa mabwege,urus,na China,anataka kuzishusha kiuchumi,ziwe masikini,ili azitawale,subr ucheke
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 2 года назад
@@geraldtarimo3210 we ndo umenena kweli kabisa exactly
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
Ndugu yangu Tarimo kitu kama hukijui ni bora uwe kimya usiwe una comment ujinga ujinga kwa mfano mm nipo huku UK 🇬🇧 yaani mpaka nakuonea huruma hii nikuonyesha kama umefunikwa kwenye mtungi na hujui kinachoendelea nnje pole sana ndugu yangu we kaa hivyo hivyo na ujinga wako hii ni kuonyesha huwa unakesha kuangalia 📺 za cnn na bbc tafuta kitu kinaitwa RT yaani Russia today 📺 ili uondoe matongo tongo kwenye mijicho yako
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 года назад
Kuwa UK hakumanishi kuwa na uelewa,kilamtu anaukomo wa uelewa wake,ndiyomaana kilamtu anauhuru wakutoa maoni kulingana nauelewa alionao
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 2 года назад
Kama wangap iv?, nimeisubir Sana iyo Bado n korea
@abdallahyusuph8715
@abdallahyusuph8715 2 года назад
Vita vya tatu Dunia vinanukia.
@jumamalkio4210
@jumamalkio4210 3 месяца назад
Huo ndio upendo wa dhati
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 года назад
Asante kwa taarifa Putin 🤛🤛
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 года назад
wanao comment ujinga vita ikianza huko America ndo mtajua kurud kwenu tena mnao ishi nchi za nje mkakimbia nchi zenu acha vita ianze kweli tuone mtakimbilia wap asa rangi nyeusi kila mmoja anze kujianda kurud aliko toka hi vita ikianza ndo mtajua kua wachina na Russia na iran India mwoto utakua balaaaa mnao penda America apo ndo mtaisoma number waswahili wanasema dilili ya mvua mawingu sasa hivi izo nchi zinajianda vita
@naimanjoshuazakaria2009
@naimanjoshuazakaria2009 Год назад
Weka mlio mwingine toa gunji gunji
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Sikumoja tutashuhudia kama walivyoshuhudia watu wa sodoma nagomola, vilevile wakati wamafuriko ya Noah tujitayalishe,!!!
@amiriforjesus8689
@amiriforjesus8689 2 года назад
Kabisa maana hizi nisiku za mwisho YESU KRISTO anarudi na razima kutokee vita kama arivyo sema nikikaribia kurudi taifa ritaondoka na kwenda kupigana nataifa ringine
@eliaelialugongo9617
@eliaelialugongo9617 2 года назад
Wacha kinuke
@pastorygeraz9582
@pastorygeraz9582 2 года назад
Asia's powerful 2new world order America nao wafanye kwao sio Korea ..watakoma wamaks na ukoloni
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 года назад
Haya viinchi vya kiafrika ndio vitajifia tu njaa zao vita ya mataifa makubwa ikipamba moto miongoni mwa mataifa makubwa na tajiri
@tinangimba8909
@tinangimba8909 2 года назад
Hakika
@elishantelekwa9793
@elishantelekwa9793 2 года назад
Hata hvo hatua hyo ilichelewa unganeni then perish manyangau
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 2 года назад
Mrusi na mchina ni masheitwani wawili
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 2 года назад
Na ww ni nan
@yohanamasebo3478
@yohanamasebo3478 2 года назад
MAREKANI JAMBAZI SANA ndiye shetani hao wengine ni wasafi sama nyakati imetabiriwa kwenye biblia soma ezekiel 38:7
@sadyrajabu9318
@sadyrajabu9318 2 года назад
Unaumwa nyie ndo mnaohitaji mapenzi ya jinsia moja
@johnabel4308
@johnabel4308 2 года назад
Unaongea2 maana hujui atakinachoendelea.
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 года назад
Acha wafinyane eeeyetu niatari mno yetu macho na masikio
@tinangimba8909
@tinangimba8909 2 года назад
Tuyaonapo haya tuchangamshe vichwa vyetu
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 2 года назад
Uwingi si kitu. NATO kiboko. Hawezi kukubali kushindwa.....
@martinemifuko71
@martinemifuko71 2 года назад
Marekani hawaijui kwakweli wanajihami tu
@mohammedbinjumaabinaweisal9188
@mohammedbinjumaabinaweisal9188 2 года назад
Wale walioshindwa pale Afghanistan na Syria ni necta sio NATO
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 2 года назад
Waswahili wanasema asiekubali kushindwa so Mshindani Ila sisi waafrica tujitahidi kwenye kilimo, ufugaji, na shuhuli nyengine za kiuchumi kwani Kuna dalili ngumu zinotukabili. Tusisahau kuimarisha ulinzi wa mmoja mmoja, jamii, taifa na kikanda kwani vita havichagui
@johngerald4677
@johngerald4677 2 года назад
Mikwala2 hamna kitu
@jabuhamisi4015
@jabuhamisi4015 2 года назад
Mabutu seseseko kukungwendu
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 2 года назад
Mnatoa faraja ulimwenguni napenda hizo taarifa zenu zina furahisha hao mabeberu yanaipata ukoloni umeisha
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Urus na China ninchi zenye utawala wakipuuzi kabisa Tena wanamkakati wakuangusha utawala wakiloma ,wanaoshabikia bila kuogopa/kutafakali tutakujakujuta,nasikitika sana!!!!!
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 года назад
Kwani roma ni nchi au niutawala ww ndio ujui ulipo sasa Dini yakweli iliyobaki ni orthodox ambayo ipo urusi Bible yao haikubadilishwa kama yetuyakiroma yakiroma kilasiku wanabadilisha vifingu mwombe Mungu akuonyeshe njia sahihi kwanza urusi akuna mashoga lakini roma wapo na israel wapo
@hilarylaurian7896
@hilarylaurian7896 2 года назад
Umenena ukweli. Warusi wanapinga New World Order ambayo Marekani na washirika wake wanataka kuileta itakayoongozwa na Ant Christ(666) ambayo inataka kuleta dini moja, serikali moja hadi jeshi moja. Warusi ndio watetezi wa mwisho wa imani. Wamarekani ambao kiasilia ni Freemasons wanaotaka kuleta NWO kwa kumshusha Kristo fake pale Israel wanawaona Warusi ni nuksi. Ila warusi watasimamia wanachokiamini
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
@@chazy7ya216 unapendasana dictator wewe nijamii yamaccm nimekwelewa,
@bertrandniyonkuru8523
@bertrandniyonkuru8523 2 года назад
Andka kinachoeleweka
@gervasexavery2977
@gervasexavery2977 2 года назад
Anatafutwa mtawala wa dunia MWENYE no 666 anakuja Wala si mda mrefu. lazima uwepo mlango wa kuingilia .
@alinekasinyabo4959
@alinekasinyabo4959 2 года назад
Urusi ime ishiwa nguvu ina itajaji msahada sasa hahaha 🤣🤣🤣🤣 Ukrainian nyama zingine zile za Kichina zina kuja kule kwenu ila mukuwe makini muzi vaccines kwanza mbele zikuye pigana Ukrainian juu zina yala Corona virus 🦠 American 🇺🇸 super power please Mufukuze ba immigration kwanu na ba Refugees bote muba fukuze juu habana shukrani bana ba Africa and student 👩‍🎓 bote mufukuze kwenu
@amarali05
@amarali05 2 года назад
Ukute huyu ni guy
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
Nahisi una firwa na mmarekani si bule ndugu yangu tena pole sana
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 2 года назад
Ndugu zako wa Congolese refugee's wamejazana huku tz NAO tunawafukuza,jipange
@jumaseif548
@jumaseif548 2 года назад
Ngoja niaze mazoezi kabisa maana uondo unakuja
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 года назад
🤣🤣
@jambiajuma7199
@jambiajuma7199 2 года назад
Kama Wana hitaji watu wakujitolea Mimi Niko tayari kwenda urusi kumsaidia Putin lengo kumkong'oli mnafiki na mgombanishi wa dunia.mnafiki Alie uwa viongozi wa africa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Hunaakili hujuwi maana yakuwepo kwa taasisi mhimu duniani,Au wewe unamatatizo kiakili,kuwakiongozi nikuonyeshanjia,unasumbuliwa naubinafusi hupendi haki
@jambiajuma7199
@jambiajuma7199 2 года назад
@@josephmakutano7067 nani hana akili? Ulitaka nishobokee Wenda wazimu kama wewe? Peleka uhanisi wenu huko.taasisi zakukomba Mali za wengine? Poyoyotu usie jielewa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
@@jambiajuma7199 wewe hunauwezo wakubuni chochote unategemea Nini zaidi yawazungu kujakukukomba, ujinga unakusumbua tu,
@EdwardNgogo-lg1zz
@EdwardNgogo-lg1zz 23 дня назад
God bless Russian president
@jambiajuma7199
@jambiajuma7199 2 года назад
Kama Wana hitaji watu wakujitolea Mimi Niko tayari kwenda urusi kumsaidia Putin lengo kumkong'oli mnafiki na mgombanishi wa dunia.mnafiki Alie uwa viongozi wa africa
Далее
URUSI yaonyesha silaha Hatari za kijeshi
3:10
Просмотров 644 тыс.