Тёмный
No video :(

PUTIN aionya MAREKANI na wenzie! Adai atatoa silaha kwa nchi zingine ziwashambulie, kutumia NYUKLIA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 83 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 393   
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 2 месяца назад
Najua nchi ya urus haikupenda kuchukua watumwa inapenda sana haki kwahiyo natto wanachezea shilingi kwenye tundu la choo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Mbona kwa sasa watu wanakufa wakienda ulaya.Hadi sasa tuko utumwani tena tungekuwa tuko chini ya hao wazungu tungekuwa mbali sana kuliko kutawaliwa na hawa wakoloni weusi.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 месяца назад
NA UGANDA NAO WAPEWE HIZO SILAHA😂😂😂 MANA MZEE MUSEVEN NAE HATAKI UPUMBAVU😂😂😂.
@heridunia
@heridunia 2 месяца назад
mapema sana tunaomba mana kenya wanajifanya wao wanawapenda wamagharibi
@louangesid
@louangesid 2 месяца назад
😅😅😂😂
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili
@johnmwangi9231
@johnmwangi9231 2 месяца назад
Mungu awasaidie kwa gani? ni SAWA atoe hizo silaha,juu Putin Ako na shida na makafiri Hao wazungu dio wanafanya binadamu kumkufuru Muuba,nani analazimisha ushoga Gender equality Wizi wa mali ya wengine Mauaji ya watu bira hatia!
@mariaalenge2106
@mariaalenge2106 2 месяца назад
Swali kwako ndugu Putin ni mwehusi ahu macho yenu aya honi?mimi najuwa ni wao kwa wao akuna mzuri kati yao wote maana wote wana huwa watu wasiyo na atia ingekuwa wana malizana Marausi kwa Maraisi inge kuwa vizuri lakini wanao kufa ni rahiya Putin na wenzake wote vichwa maji tu
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Piga hao mashoga marekani ni washenz,dunia bila marekan ni amani mungu awaondoe marekani wanaitesa dunia
@officialBongoFlava
@officialBongoFlava 2 месяца назад
😂😂😂😂 kweli Akili una 😅
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 месяца назад
Ww dvoice na ww shoga au
@Jgjgjggjaieifhfv
@Jgjgjggjaieifhfv 2 месяца назад
D pambana n'a muziki achana n'a siasa marekani ni ovyio Sisi wa Congo 🇨🇩 tuna juwa match Zao n'a Rwanda
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
​@@Jgjgjggjaieifhfvpoleni ila muda utasema mungu yupo
@lakasid3860
@lakasid3860 2 месяца назад
Hii RU-vid ni ya hao Marekani saa wakiondoka sijui utatumia mtandao gani kutukana 😂😂
@pilotmadata5791
@pilotmadata5791 2 месяца назад
Alie sikia mbwa akibweka na mtoto akilia, gonga like hapa, ...
@RamadanPaul
@RamadanPaul 2 месяца назад
😅😅 nilikuwa natafuta hii comment 😅😅
@DjMswati
@DjMswati 2 месяца назад
@@RamadanPaul kaka unazingua😂😂
@afandechanel1507
@afandechanel1507 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 месяца назад
Huyu jamaa anahisabu rahisi sanaa
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e 2 месяца назад
Ni pumbav sema hamjui tu mpaka Leo wazungu washamuona Kama urusi ni dhaifu na Kama wangemsaidia Ukraine moja kwa moja bac Leo hii tungekuwa tunazungumza mengne
@issalyanali4119
@issalyanali4119 2 месяца назад
Sip kweli,,,,,siaha zaNATO zimechakazwa Sana uwanja was vita😂
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 2 месяца назад
​@@user-xl9so6jg1embona hawamsadii sasa huyo jamaa anawashirika wengi China, Korea kaskazini, Iran, Vietnam ni washirika wa Urusi huyo jamaa anatumia akili sana huyo hakurupuki kurupuki
@issalyanali4119
@issalyanali4119 Месяц назад
@@hafidhyakoub8369 silaha za NATO zimechakazwa mpaka zikapelekwa urusi wananchi wakapiga nazo selfie,,,wewe ulikuwa umelala Nini na usingizi,,,ahhh kumbe mwafrika Bado western civilization inakusumbua ikiwepo ushoga,,,,urusi kapigana vita nyingi ,,,,halafu,,,watu waliojaribu kugombana na Russia hawajawahi kuwa salama mfano Napoleon Bonaparte,,, Adolf Hitler,,,,sasa USA Ataweza wapi,,,kuhusu teknolojia ya vifaa vya kivita marekani mchumba TU ,,we ndo unamtukuza,,,,china ,,urusi,,,north Korea,,,wanaona america taifa la kawaida TU ,,SI kama wewe mwaafrikaaa😄😄
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 2 месяца назад
UYU MWAMBAA PUTIN HUWA NAMKUBALI SANA HAPA DUNIANI KUSHINDA RAIS YEYOTE YAANI
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 2 месяца назад
Msimpe kichwa vita haina macho uwa inageuka ni kuomba amani tu maisha ya hendere
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
@@MajutoElliasi USIMFUMBUE MACHO MJINGA 🤣🤣🤣ANAMKUBALI? AU MSHABIKI MAANDAZI TU
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 2 месяца назад
@@atutweve4160 hii dunia wote ni wapitaji tu kushangiria vita sio vizuri ni amanitu na upendo watu wanashingiria kwasababu ayako kwetu yagekuwa ni kwetu asige shagiria mutu
@minicooper9642
@minicooper9642 2 месяца назад
Wewe ndio mjinga Kama bado kaka sasahivi hujajua unwell wa Marekani kua ndio anaesababisha vita Finish basi wewe utakua mjinga.
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
@@minicooper9642 udini unasababisha vita sio mmarekani 🙄
@philemonyesaya4353
@philemonyesaya4353 2 месяца назад
Hii sio wala ya kushabikia nani ampige mwenzake, kwa sasa sisi tunaongea tu kua wazichape lakin tuombe mung sana haya yasije yakatokea maana kama kweli wakipgana basi hata sisi tutaifeel ile ladha halisi ya vita ya wakubwa, cha msingi ni kuomba mungu huu mgogoro uishe salama ili maisha mengine yaendelee...
@user-cf6qo9rs4f
@user-cf6qo9rs4f 2 месяца назад
Nakupenda sna dj smaa
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 2 месяца назад
M/mungu mlinde putin
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
HAWEZI HATA MUOMBE DUNIA ZIMA 🤣
@melkizedck
@melkizedck 2 месяца назад
Kweli Mungu amlinde putin maan amekaribia kufa.
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 месяца назад
Safi sana😂😂putin nakukubar mkuu
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 месяца назад
Apeleke silaha palestine na yemen
@AbdiBendera
@AbdiBendera 2 месяца назад
Nilisubira sana uchambuz wenu juu ya taarifa hii
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 месяца назад
Sana tu
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Месяц назад
Safii wazee
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 2 месяца назад
Sauti ya dhahabu shukrani mtangazaji
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili vita isitokee kwamana sio powa ujuwe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
Kule gaza mnongea au ni Ukraine tuu
@user-km4kb3xj3y
@user-km4kb3xj3y 2 месяца назад
Safiii wape
@noel3290
@noel3290 2 месяца назад
Hii ni shida kweli, we unasherehekea vita unathani hutaathirika? Fikiria tena
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
Mbona hamfikirii kuhusu Gaza
@festokasongi4537
@festokasongi4537 2 месяца назад
gaza acha wafe mbona auwazi kongo
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 2 месяца назад
Kuna jambo? Nahisi sio kuzuri hata kidogo. Maana najua nuclear sio kitu cha mchezo. Hii silaha mbaya kwelikweli inatisha vibaya!! Usiombe!!
@MosesiJemsi
@MosesiJemsi 26 дней назад
Urussi 🇷🇺 🇷🇺 wanazidi kuitilia vikwazo wakati marecani ndicho kichochezi cha vita. Mashabiki wa marecani ni wakoloni oya sisi kama wa Africa tuwe nyuma ya Urissi sawa mungu akubariki
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Kuna wapumbavu wakati vita vinaanza walaizani urusi atashindwa hawajui kua marekani hana silaha za kuizidi Urusi bali ana maneno na porojo nakutishia vitaifa vidogo
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
Weeeee tusubir tuone 🤣
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Sasa kwani urusi kashinda?unaota nini ww
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Urusi bado hajashinda na wenzake washamweka kwenye tageti na akijichanganya tu wanammaliza.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Urusi hana uwezo wa kupambana na NATO hata kidogo
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz hata hivo 😉
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 2 месяца назад
Si awashe 🔥 tu! Kwann anasem iv na kutokutekeleza
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 2 месяца назад
Huyu ndie kiboko wa marekani
@atutweve4160
@atutweve4160 2 месяца назад
🙄🙄🙄
@josephelias7364
@josephelias7364 2 месяца назад
Hii sasa ndo inaitwa COLD WAR
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 месяца назад
Time wii tell
@Khalid-oi9qb
@Khalid-oi9qb 2 месяца назад
Awape tu
@KenethNdingo-tm2gc
@KenethNdingo-tm2gc Месяц назад
Vita hivi hakuna mshindi.pengine mungu aingilie kati adhari zinatupata zote.wanadamu wengi wanakufa.
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 месяца назад
Absolutely 💯 💯 💯
@YusuphLiyanga
@YusuphLiyanga 2 месяца назад
Sns mnatisha kwa habar
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 2 месяца назад
BABA WAPELEKEW HAMAS, HEZBOLLAH MIFUMO YA ULINZ NA SIRAHA KALI NA MAELEMENT NA BULLET PROOF, NA VIFARU ALAFU TUONE KUMANYOKA HAO MASHOGA WANAOJIITA TAIFA LA MUNG YAAN BABA UKIWAPA SIRAH KM WAO WANAVYOWAPA UKRAINE NAKWAMBIA VIBARAK WA MAREKAN WENG MAJI WATAITA MMA KUMANYOKO ZAO
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 месяца назад
Yaan ata urusi mwenyewe hathubutu kuanzisha vita ya moja kwa moja na israel maana wale wana uwezo na akili ambayo sio ya kawaida
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Mwamba Putin namkubali sana
@melkizedck
@melkizedck 2 месяца назад
Urus wamechoka, vitisho tu.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 месяца назад
​@@melkizedckhivi wewe upo kwenye dunia hii au ndio umeanza kurumia smartphone leo inamaana huoni anavyo itembezea kichapo dunia mpaka wanalia kilio cha kuku😅
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
@@stevenlugojeremia2323 watamkoma mwamba
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 2 месяца назад
Mtakatifu Putin wamemwaga mboga,we mwaga ugali.Kama mbwa Wacha iwe mbwa kiumane mpaka kieleweke tata.Bhita ni bhita ntakutemego.Ulabhugabhwi.Marekani ni mrisha TU.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
,swedy swedy kama mbwayi na iwe mbwayi 😅😅😅😅😅😅
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 месяца назад
Mtakatifu tena????
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 месяца назад
Nafurah sana mwislam unavyomsifia mkristo
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 2 месяца назад
​@@Maxpaul-oi8pw Hamna ajabu kumsifu mkristo kwani ajabu ikiwa utafanya wema basi utasifiwa ili mradi humkashifu mungu au ushawahi kumsikia putini akasema ushoga,freemanson, au shetani ndio mungu wake tulia kijana soma usitafute chokochoko
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 2 месяца назад
​@@melanialeonard4031mtakatifu kwasababu hajawahi sapoti ushoga kama wale wengine
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 месяца назад
so raia wa urusi ni bora kuliko raia wa Ukraine
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 месяца назад
Uliza Zelensky kwanini anatumiwa ili kuiandama urusi ,hata kama nini niweke siraha mlangoni kwako utafanyaje.
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 2 месяца назад
Yeah uko sahihi urusi ni bora zaid ukihitaji shule mm n mwalim
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 месяца назад
@@yusuphmashallah3732 sihitaji shule yeyote kwako unae ona mrusi hana haki ya kujilinda dhidi ya wanao taka kuweka missile mlangoni kwake,pili huwezi kua mwalimu wangu labda uniambie baada ya mapinduzi 2014 ukraine kwa nini iliua maelfu ya warusi walioko Donbas na mariupol .
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 месяца назад
Bro sky tupe gps ya hii topic 🙏
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 2 месяца назад
Mwnangu putin usisahau nami kunipa hata bomu moja la nyuklia
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
Athumani kakaangu unalipeka wapi au g......
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 месяца назад
@@MiriamAbdallah😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 месяца назад
Tena kalipue israhell mamae
@user-ju4md1yq6o
@user-ju4md1yq6o 2 месяца назад
Safi sana wachambuzi... Putin ana experience ya vita hakuna wa kumtisha apeleke silaha jule parestina tuongee mengine
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 2 месяца назад
Mwenye uzoefu anaogopa silaha za masafa
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 месяца назад
Putin anatumia sana akili,,, tuombe mungu tu putin amekataa vita kuanzia mda sana wanamtaka ,,ila mungu is with you
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 месяца назад
Kiduku km namuona anavosubiri kifurushi chake cha gawio
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 2 месяца назад
Safiiiiiiiii
@abdullahhilalabdullahalmug3168
@abdullahhilalabdullahalmug3168 2 месяца назад
Putin yupo Sahihi kabisa
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 2 месяца назад
wapewe au wahipige wingereza napia waige marekani napenda iyo
@user-gh4mg2wn8y
@user-gh4mg2wn8y 2 месяца назад
Faza watandike hao mashoga wa magharibi
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 2 месяца назад
Na hawa mashoga wa kwetu vipi kule mafia
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 2 месяца назад
Oya huyu jamaa kwanni tusimpe uraisi wa mataifa yote huyu jamaa anajuwa hesabu
@hamishatibu699
@hamishatibu699 2 месяца назад
MWAMBA XNA PUTIN Namkubali xna VIVA RUSIA
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 2 месяца назад
Awape silaha yemeni na houth uone watakavyo choma dunia
@uwimana6533
@uwimana6533 2 месяца назад
Vita uwanjani imeshindana inakua tena zenlekys kushambulia urusi 😂😂😂😂
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 месяца назад
wakati unaanza kuipiga Ukraine ulizan Dunia itakaa kimya
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 2 месяца назад
Ila sidhan Kam Ukraine anauwez w kishambulia
@fredymushy9674
@fredymushy9674 2 месяца назад
Marekani kubwa sana akuna wakuwasumbua
@MauaLucas-st6be
@MauaLucas-st6be 2 месяца назад
Kwahiyo urus ni ndogo
@meckmussa1840
@meckmussa1840 2 месяца назад
Kabisa
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 2 месяца назад
Apewe hizo siraha kwanza Iran Cuba na Syria
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Piga nuklia mzee time Time befor
@adamfungamwango4640
@adamfungamwango4640 2 месяца назад
Hivi hii vita haijaisha tu!! Kila siku jamaa anaonya tu!!!
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Mm yangu macho tu sipo upande wowote
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n 19 дней назад
Mzee wakumbuke na Alishababu
@koudrashabani1912
@koudrashabani1912 2 месяца назад
Ndio Na inshallah Atafanye vizuri Huu Akishindwa Ulimwengu inaharibika Sana Sana Sisi wa Afrique Na Asie Tutakuwa watumwa wa kwanza
@user-rq8zq1mf7u
@user-rq8zq1mf7u 2 месяца назад
Maneno mengi vitendo ziro hakuna wakumshinda us
@academicsite8524
@academicsite8524 2 месяца назад
US alishamchunguza Putin na hakuna nchi inapigana kwa akili na tafiti kama USA
@meckmussa1840
@meckmussa1840 2 месяца назад
Kabisa aisee
@elikundangoye7633
@elikundangoye7633 2 месяца назад
Mwamba huyuuu.lazima NATO wakaee
@jackhans7708
@jackhans7708 2 месяца назад
Kiufupi mmarekani safari hii ameyakanyaga
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
kivipi na uku raia wake wako salama
@Dr.O-md1hy
@Dr.O-md1hy 2 месяца назад
Tunaomba na makala kuhusiana na silaha maaana tunaziskia tu Lakini tunawakubali sana
@AshaDany
@AshaDany 2 месяца назад
Vita ya dunia inakuja
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 2 месяца назад
Putin ni mtu asiyekiwa na masihara
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
Amefanya nini toka vita ianze mbona ni maneno tu
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c 2 месяца назад
Poga hao wafe manyangau
@aziza9093
@aziza9093 2 месяца назад
Pige mashoga hao
@Gulfnas1
@Gulfnas1 2 месяца назад
The situation is getting worse than ever...
@davidsika5292
@davidsika5292 2 месяца назад
Hizo ni mbwembwe hana lolote huyu...huyu na harmonize hawana tofauti kabisaaa
@meckmussa1840
@meckmussa1840 2 месяца назад
Kana mikwara tu aka
@Saidkhel
@Saidkhel 2 месяца назад
Mwambie huyo mume wako mmarekan aguse apo unazani maneno hayo angeongea rais wa inch nyengine marekan angekuwa asha shambulia lkn marekan mwenyewe katulia kimya anaogopa anagawa siraha kila siku lkn wapi Putin siyo mchezo huyo bro
@davidsika5292
@davidsika5292 2 месяца назад
@@Saidkhel huyo putin mme wenu ni muoga saana saanaa ni mtu wa kiki nyingi Swala la siraha za nyuklia nchi nyingi wanazo ila wapo kimyaaa hawapendi tu maisha ya kiki kama ya korea kaskazini ni urusi Nchi zenye nyuklia ila hazina kiki hizo ni Mbabe mwenyew USA, GERMANY,CHINA, UK, CANADA,FRANCE,SPAIN,SOUTH KOREA,ITALY hadi South Africa wanategeneza, je wajua nchi yenye vinu vingi vya nyulia ni ipi??
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e 2 месяца назад
​@@Saidkhelvita ni akil siyo kupigana Kama vibaka huyo Putin siku ukija sikia kafa hamtakaa muamn kabsa marekani ni taifa kubwa sana na lenye teknolojia kubwa sana na Kama wangeamua kumsaidia Ukraine waziwazi bac mpaka Leo hii tungezungmzia Mambo mengne mpaka sasa urusi kashaonekana dhaif kwa kushindwa kumalza vita na nchi dogo ile
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 месяца назад
Acha waliuee
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 2 месяца назад
Nani ss mbona usomeki
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 2 месяца назад
The greatest of all time
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 месяца назад
Wape na cuba wawanyoshe marekani pale ndo karibu
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 2 месяца назад
Ndio maana hakusema Tampa nani ila nchi nyingi zitakuwa za kiarabu
@Gulfnas1
@Gulfnas1 2 месяца назад
​@@soudmoshmnyika5813 Cuba pia ina asilimia kubwa tu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Tayali
@salimwanga
@salimwanga 2 месяца назад
Good hope for Africa.❤🎉🎉
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 2 месяца назад
🇹🇿❣️🇷🇺
@hijazhija316
@hijazhija316 2 месяца назад
Hisabati
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 2 месяца назад
Asichelewe sasa maña ulaya tyr washampa ukrein na yy asichelewe
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 месяца назад
😂😂😂
@magigesabai8674
@magigesabai8674 2 месяца назад
Maneno tu amna kitu hapo huyu urusi hii vita awezi kushinda
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 месяца назад
Putin 🎉🎉🎉
@abdullahnassor9433
@abdullahnassor9433 2 месяца назад
ili kumfahamisha tu mchambuzi kuwa, silaha zote zikiwemo vifaru vya Abrahams wamepewa ukraine lakini wanajeshi wa Ukraine wanakiri kuwa vifaru hivyo vilitengenezwa kwa ajili ya kupigana na watu wenye silaha ndogo ndogo vifaru hivi kwa kweli havina maana nyingi sasa hivi vinawasilishwa moscow kwa ajili ya watu.
@elvira9325
@elvira9325 2 месяца назад
Sauti ya sns inanikosha unajua kusimulia hadi kero, msukuma watu piga kaz
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 месяца назад
😂😂😂😂😂amna kila kitu si afanye kama anajikubali
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 месяца назад
Anatoa tahadhari ,, msije kusema hajaonya
@SalickSuleiman
@SalickSuleiman 2 месяца назад
Im warning USA
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 2 месяца назад
Uyo mbwa vipi😂😂 nae anajambo lake asikilizwe
@MankoWeitala-pe7mi
@MankoWeitala-pe7mi 2 месяца назад
Putini❤❤❤
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Kuna jimbo kule marekani linaitwa alasaka ni mali ya urusi ile na itauchukuliwa wameanza wenyewe putin atamaliza
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 месяца назад
Ilishauzwa hiyo
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 месяца назад
.. "pumba tupu!..." Hahaaa
@almasbakari5359
@almasbakari5359 2 месяца назад
Fredrick bundala🔥🔥🔥
@HansChuma
@HansChuma 2 месяца назад
Toa baba we are already Tired with America marekan niwashenz navibaraka wake
@kiatu
@kiatu 2 месяца назад
Aimalize kwanza Ukraine ndio ashindane na Marekani. Kuvimba tu.
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 месяца назад
Sa anashindwa we unavyoona kweli???😂
@Saidkhel
@Saidkhel 2 месяца назад
Tatzo hujui Ukrein yuko vipi na urusi iko kama Zanzibar na tanganyika kwaiyo huwez piga nchi nzima maana Zanzibar kua wabongo na wazanzibar na urusi na Ukrein ndivyo ilivyo
@GregoryModaha
@GregoryModaha 2 месяца назад
Naanzaje kumpinga kuhusu Hilo nawakati anawashuulikia mashoga yaan kwa Vladimir Putin watakunywa maji kwenye karai, namtegemea sana uyu mwamba kwa usalama wa vizazi vyetu
@MOHAMEDMGONDWA
@MOHAMEDMGONDWA 2 месяца назад
PUTIN safi sana ww unakemea ushoga lakin hao marekani na mashoga wenzie wa magharibi wanashabikia ushoga na wamefikia kuwaambia viongozi wetu wakubali ushoga ili wapewe misaada
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 2 месяца назад
Hili swali la mwamba Lina zaidi ya utata.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Urusi anatapatapa.sasa ukiwapa hizo silaha hao wa nchi nyingine si nao wataangamizwa.Acha kuwasababishia wenzako matatizo,pambana na hali yako.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 месяца назад
Anawaingiza mkenge wachachatwe anataka kujua kama ni mtiti au hawajiwezi
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 месяца назад
Hvi unamfuatilia Putin vizuri, hapendi vita cuz anajua madhara ya vita hata kama atashinda vita,kwa uwezo wa kijeshi Putin peke ake ,bila washirika wake anawazid NATO,sembuse aungane na mkorea
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
@@YustaMfugale putin hana uwezo wa kuipiga NATO hata kidogo.Hata yeye mwenyewe Putin anajua uwezo wa kuipiga nato hana.
@YustaMfugale
@YustaMfugale 2 месяца назад
@@MathewNathan-yb2bz hvi unajua nchi inayoongoza kwa kumiliki silaha za nyuklia ni nchi gan ,, okay not only Putin Kam Putin anamiliki vifaru vya kivita 12000, while NATO wote wanamiliki vifaa 8000 ,Yan 12000 hyo bado anapika vingine,Putin anachohofia sana ni matokeo ya vita uhakika wa kushinda anao 100% kama angekuwa anawaogopa nadhan hata vita ya Ukraine asingeanzisha ila ni mstaarabu wa kufikria mbali,, NATO wanaona Putin anakwenda kuwaangusha vibaya kiuchumi ndio maana wanamtafutia sababu Putin namna ya kumuangamiza ili watimize Yao Kam utawala wa Dola,,na neo colonialism
@user-sl8bu3we1m
@user-sl8bu3we1m 2 месяца назад
​@@MathewNathan-yb2bzwewe subili uone vita itakavyo malizika . Hivi wewe mpaka sasa huoni na hata husikii ? Urusi kwanza anapigana na mataifa mangapi uvyo jua wewe ?
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x 2 месяца назад
Smaa mwongo yani leo unsema hamas ni wa iran si ulitudanganya ni wa izlael
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d 2 месяца назад
Mashoga huwa wanaunga mkono mashoga wenzao pasina haya
@MnyongeMuganza
@MnyongeMuganza Месяц назад
💯
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 2 месяца назад
Fanya hivyo urusi dawa ya moto ni moto
@user-xo9we4yx1c
@user-xo9we4yx1c 2 месяца назад
Mungu mlinde puttin
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 месяца назад
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@babumrisha
@babumrisha 2 месяца назад
Inatakiwa awape Alqaeda au Al shababu hizo zilaha, tuuone huo mtanange...
@chirezaasende4247
@chirezaasende4247 2 месяца назад
Huyu dj small hapendi inchi za mangaribi kbs
@djsma255
@djsma255 2 месяца назад
Ukizipenda wewe inatosha
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 2 месяца назад
Nani kasikia mbwa
@ErickMwashambo
@ErickMwashambo 2 месяца назад
Alie skia mbwa akibwe weka comment
@khamisomar889
@khamisomar889 2 месяца назад
Hapa kwa smaaa ndo nakubali, habari inachangamka
@colmanlesulie250
@colmanlesulie250 2 месяца назад
Hivi ni Vita so Ukraine naye anahaki ya kushambulia, Why Putin anatumia Silaa kutoka China, North Korea, Iran sasa na yeye akae mkao wa kula.
@ALIMANIZIGIYIMANA-yd7jc
@ALIMANIZIGIYIMANA-yd7jc 2 месяца назад
Putin yaipe silaha nzito Burundi kama izo iwape somo mabeberu
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz 2 месяца назад
Acha uruss iwatandike hao maboyo
Далее
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 18 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 18 млн