Тёмный

CHINO "SIKUMUUA NDUGU Yangu Nipate UTAJIRI "/Adai AMEMALIZANA na MARIOO/Aonyesha MAGARI yake MAPYA.. 

Rick Media
Подписаться 858 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Развлечения

Опубликовано:

 

4 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@KhadijahRamadhani-mw3wh
@KhadijahRamadhani-mw3wh 3 месяца назад
Kilam2 nanyota yake🎉🎉🎉 kaka zidi kuwashangaza❤❤❤ chino
@user-tr8kz6wc1j
@user-tr8kz6wc1j 3 месяца назад
Wewe ndiyo wa kwanza chino sijaona kama wewe honqera sana chino haijalishi humepataje hayo yote hayatuhusu ❤❤❤❤❤❤ chukua mau Yako nimekupenda Bure munqu nipe na Mimi niwe kama chino
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 3 месяца назад
Wabongo sisi tuna ulemavu mkubwa sana kifikra, wanawaza upumbavu tu eti uchawi kwani bila ushirikina huwezi kufanikiwa? Au Mungu hawezi kumtajirisha mtu? Acheni uvivu hizo mawazo ni ya umasikini, ndo unakuta wanaita viongozi wa dini wachawi, yani wamejawa na ujinga kwenye ubongo wao
@AllyMwakasabaje
@AllyMwakasabaje 3 месяца назад
Tishaa Chino ❤ bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RashyTzOfficial
@RashyTzOfficial 3 месяца назад
Mungu akiamua kukubaliki broo vi2 vinaondoka2
@salimbilali5174
@salimbilali5174 3 месяца назад
This gentleman if he takes it seriously he'll gonna take over simba
@MalengaEchumbe-sz1tx
@MalengaEchumbe-sz1tx 3 месяца назад
Huyo Ex ndo hana siri kubwa jama 😢😢😢 HELA unatowa wapi CHINO MMMM KWA MUZIKI NGANI KWANI????
@hollymore4904
@hollymore4904 3 месяца назад
Kuna manamna..hela hizo hapana
@Msafirimakini
@Msafirimakini 3 месяца назад
Ningekuwa simuogopi mungu hizi gari ni kitu kidogo sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tigejuma9865
@tigejuma9865 3 месяца назад
Wanasema kutangulia CIO kufika....bila Shaka mario ameona hii....n mbn hajapost? Watangazaji mtafuteni mario...ako n mengi xna ya kuongea😅
@NengaJulenge-yi4fd
@NengaJulenge-yi4fd 3 месяца назад
Chino kaka mungu akulinde uzidi kusaidiya vijana wengi na mungu azidi kukupa mafanyikiyo
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 3 месяца назад
Jamani kaheni mkijuwa mziki wa sasa huna hela msihangaliye youtub 2, izo show anazo zitaja hapo kwa wiki mwamba anauwezo wakujingiza 50M kwa mwezi ivyo awezi ivyo mafanyikio yake niya ukweli sana 100% pia kakuhambiya bajet yake ili apate ku save . ❤
@prezzyvassach3218
@prezzyvassach3218 3 месяца назад
Mil 50 Kwa Week Ni Uongo Kaka Show Zake Ni Friday Saturday Na Sunday. Na Una Fikiri Show Moja Ana Lipwa Million 10?? 😅
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 3 месяца назад
@@prezzyvassach3218 alisema M10, 8,hadi 5 anachukuwa Asa ukipiga hesabu kwa wiki anahingiza M20 kwa mwezi anazo ngapi Bado youtub na mitandao mingine. Matangazo bro wanahaki Alafu izo gari zake ni zakawaida sana sema tz watu awajishushi hadhi ila izo gari kwa apa usa iyo jeep aiwezi nunuwa $20k iyo bmw ndo kabisa aina pesa wala
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv 3 месяца назад
Ww chino hizo hela unatoa wapi? Mi staki kuamini bhana sababu Marioo anaimba sana na mangoma yake yanaenda lakin unamzidi. Sasa hapo inakuwaje??
@esterpaul5856
@esterpaul5856 3 месяца назад
Ni maajabu hayo 😅😅😢 katowa wap hizo pesa?? Sio kwel
@Officalnaph
@Officalnaph 3 месяца назад
maisha ni siri kubwa na fumbo , hivyo tuangaliee tu
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 месяца назад
Utajiri una siri kubwa😂😂😂😂😂
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 3 месяца назад
Mafanikio ya mtu yanasir kubwa sana
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 3 месяца назад
Katoa wap uyo katoa mwenzie kafala
@pavillonmarguerite7634
@pavillonmarguerite7634 3 месяца назад
Chino bro wewe ndomimi washangaze zaidi waku fikirie vibaya waho ndowa nafanya ivo bro pamoja sana
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 месяца назад
Kama Ayo mambo watu wanaongea huyafanyi mungu Ndio mwenye macho fanya kazi ✊
@user-iu1ki5ts2e
@user-iu1ki5ts2e 3 месяца назад
Chino nakukubalii bloody yangu Sema dah utajiri wa gafla toka ufiliwe na best yako yaani Naona Sasa hivii utashindanishwa na daimond plantnaamz utajiri
@boscopeter6183
@boscopeter6183 3 месяца назад
sio UFILIWe sema Ufiwe ..unatuchanganya kaka 😁
@Sizza26
@Sizza26 3 месяца назад
Big
@Tg.7_7
@Tg.7_7 3 месяца назад
Sacrifices do pay!!
@babuafya3446
@babuafya3446 3 месяца назад
😂😂😂 chino bhana wew content so kuandikwa negative ni kawaida
@GermainMukengere-zx9lc
@GermainMukengere-zx9lc 3 месяца назад
Chino wanama
@AliFundi-xr8rg
@AliFundi-xr8rg 3 месяца назад
Chinno unapenda ku show off
@user-nq5iz3vy3p
@user-nq5iz3vy3p 3 месяца назад
X wangu nitamnunulia baiskeli
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 3 месяца назад
🔥💪💪💪
@Lisbonofficial
@Lisbonofficial 3 месяца назад
Chino kidd 🫡🫡🫡
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 месяца назад
Iko siku ya mungu itajulikana,hakuna haram inayodumu milele
@user-fg3nj1bg5n
@user-fg3nj1bg5n 3 месяца назад
Mhhhh ukakasi
@SalimAli-iw5kv
@SalimAli-iw5kv 3 месяца назад
Neema wa piliz
@ConstanceKarisa-yq7qc
@ConstanceKarisa-yq7qc 3 месяца назад
Twambie unatoa wapi pesa
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 3 месяца назад
Vijana tuache tamaa ya pesa ya halaka, uzuli malipo ni apa apa
@user-dv8cd1up7v
@user-dv8cd1up7v 3 месяца назад
V8 Iko wap
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 3 месяца назад
ni huu mziki tuu au kuna mziki mwingine
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 месяца назад
Hapo sasa
@user-pw5qh6fv1w
@user-pw5qh6fv1w 3 месяца назад
Kuna kanamna hpa chino 😂😂
@aloyceJeshi-vt2oe
@aloyceJeshi-vt2oe 2 месяца назад
Chino wanamani
@jaykaris
@jaykaris 3 месяца назад
Huyu Jamaa nahishi anatumika na watu. Hivi tanzania kuna washwash?
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 3 месяца назад
Wabongo tunafeki sana dah sema mtawaogopea wajinga si wengine tunajua mnapataje izo mali
@timelessdaddy.2542
@timelessdaddy.2542 3 месяца назад
We illuminati Tu mbona hujanunua kabla mwenzenu kufa kenge ww
@user-ee8jo3qt4h
@user-ee8jo3qt4h 3 месяца назад
wabongo acheni ufala uyu hana menegiment inayo kula pesa sa anakosaje pessa
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 месяца назад
Chino kazi yko mziki bdo Iko chiniii huo utajiri apanaaa😂
@furahachuma9039
@furahachuma9039 3 месяца назад
Huo wivu sasa
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 3 месяца назад
Waongo sana ndomana mziki wabongo aukui we ata matangazo ana izoshow za asilimia ndo zimpe utajili uo tukija kustuka wasanii wote washakuwa mashoga
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 месяца назад
@@furahachuma9039 hamna wivu kaka ila liangalie pia ww,
@user-uc8vm6to5x
@user-uc8vm6to5x 3 месяца назад
Jamn tafteni ela Kwa njia za kihalali hata Mimi ningekua na tamaa za hela kama hizo ningekua nazo sababu brother angu anazo pesa zaivo mpaka zingine hajui aziganyie Nini so tafteni ela Kwa njia salama
@MarkoMasamu-xh4sx
@MarkoMasamu-xh4sx 2 месяца назад
Oi nyoosha mchongo
@Inzaghi809
@Inzaghi809 3 месяца назад
Muchawi
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 3 месяца назад
Kawe mchawi na ww
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 3 месяца назад
kaa naye karibu akutoe kafara wee jipeleke tuu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 месяца назад
😂😂
@pinkyg8861
@pinkyg8861 3 месяца назад
Anagawa zawad kwa ex kwel freemason
@iddymohammed1890
@iddymohammed1890 3 месяца назад
Abasi anauliza ana nyimbo ngap na show anafanya wap ?
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 3 месяца назад
Wanaokata chukia na kumaind wote wanatombw akil ila ukwel Ni kwamba vijan wanauza matako na yanalipa kwasas kwa mwenye weled Zaid wakufikiria wataelew na wanajua kipato cha mziki wetu kwasas matako yanawalipa
@shuzashadyproduction8438
@shuzashadyproduction8438 3 месяца назад
😂😂😂 jau kis*ng*
@shuzashadyproduction8438
@shuzashadyproduction8438 3 месяца назад
😂😂😂😂😂 Jau kis*ng*
@maxdesignspro
@maxdesignspro 3 месяца назад
hii alinambia director mmja kwamba kutrend ni rahis ila wengiwao wanaliwa sana
@MosesAntony-gh4yt
@MosesAntony-gh4yt 3 месяца назад
Yani toka ajari apate afe yule jamaa Kawa na maokoto cha ajabu ile ajali chino hakupata majereha
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 3 месяца назад
Hahaha kweli Tako dili mjini Lkn daah acha nitembee kwa mguu Tako langu nibak nalo
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 3 месяца назад
Nabado atawaliza umeonwapi utakiri wawiki mbili ivi
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
LAZMA TUSHTUKE BANA,,GHAFLA SANA😊
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 3 месяца назад
Kuna kitu sio bure
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 3 месяца назад
Ww ni tako una jitetea ili iweje
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 3 месяца назад
Msanii unata tangazo show tu ndo zikupe izo gari mmh wasanii wabongo bado sana ndomana tunalogana kinomanoma
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 3 месяца назад
gar ulio mnunulia mamaako na babaako liko wap au ndo unawaza madem
@farajmohammed
@farajmohammed 3 месяца назад
Kumbe freemason n kweli 😅
@donhussle948
@donhussle948 3 месяца назад
Umemtoa mwenzako kafara .. Na waambiwa KILICHO NA MWANZO KINA MWISHO .ww ww utaanza lia kuwa freemason yataka kuuwa mwisho .mziki gani walipa hvyo mbna twadanganyana waimba wanunua magari bei hiyo tusidanganyane ..sema kuna nguvu za giza ndani yako or nyuma yako ..20% alitueleza nguvu za giza lazima uwe ndani yake
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 3 месяца назад
Hlf alikuwa mbele hakuumia ht wenziwe wamekatika viungo hd leo hawajapona vizuri yy anatanua tu freemason
Далее
Which national team are you rooting for at Euro 2024?
00:17
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
Beautiful game!😍
00:20
Просмотров 1,5 млн
Power of science !! #shorts #explore #fyp
1:01
Просмотров 56 млн
Walking can get boring 😎
0:25
Просмотров 27 млн