Тёмный
No video :(

MISO MISONDO Haya ndio MAFANIKIO aliyoyapata, Afunguka/SITAKI WANAWAKE/WANAPOTEZA MUDA" 

Rick Media
Подписаться 869 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

DJ wa Singeli aliyepata umaarufu sana mitandaoni MISO MISONDO amefunguka Mafanikio ambayo ameyapata kwenye muziki mpaka sasa. Misondo amesema kuwa kwa sasa anamjengea mama yake nyumba lakini pia amejinunulia gari jipya.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#MisoMisondo #Singeli #UmepigajeHapo

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@mcvituz1103
@mcvituz1103 5 месяцев назад
Namtabiria miso misondo atatoboa zaidi kweye campaign yaan 2024-2025
@judithkisavanga7244
@judithkisavanga7244 Месяц назад
Focus kwenye kazi yako misooo misondo
@SwaibaRashidi-us7ux
@SwaibaRashidi-us7ux 4 месяца назад
Mungu akuzidishie barakaaaa tele na akuwekee wepesi Kwa jambo lolote ulifanyalo
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 5 месяцев назад
Mungu ni mwema go go go go gooo misomisondo God bless you bro
@user-ps4oc3nt3u
@user-ps4oc3nt3u 2 месяца назад
Hongera kaka unaonekana huji ckii kazi nzur mung akutang liye ❤❤❤
@ntakamlengajonas9565
@ntakamlengajonas9565 5 месяцев назад
Hongera Sana kijana kwa bidii. Huyu mdada Yuko vizr anajua kuhoji
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 4 месяца назад
Yaani yupo vizuri Sana mungu amjadilie aende mbele zaidi
@songweairport7602
@songweairport7602 5 месяцев назад
Mtangazaji una uliza maswali vizurI saaaaana...BIG UP.... Mungu akufikishe mbaliii
@TonnyGoima
@TonnyGoima 5 дней назад
Miso misondo wakiwa mpwampwa
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 5 месяцев назад
Congratulations young man!
@HamisiMchehe
@HamisiMchehe 2 месяца назад
Miso misondo usimsahau collazy kweny life lako mzeee
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 5 месяцев назад
Huyu kijama anajibu vizuri sana nimependa majibu yake mungu akutagulie
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 5 месяцев назад
Smart guy keep it up
@TrebaMagambo
@TrebaMagambo 2 месяца назад
Dogo anaakili mingi sana
@koffianodichisesa238
@koffianodichisesa238 5 месяцев назад
Hongera Yako misomisondo
@methodikipanga969
@methodikipanga969 5 месяцев назад
Hongera sana mwamba
@MwesigeJames-vk7lo
@MwesigeJames-vk7lo 5 месяцев назад
Congratulations 🎊🎉 🎉🎉❤gay
@frankmtani6179
@frankmtani6179 4 месяца назад
Live brother big up
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 5 месяцев назад
ayo mambo mnayoongea yawe yakwel sio leo na kesho ooh gar sijuil lipo wapi nyumb ile nilipew nisimamie
@SteriaMizimu
@SteriaMizimu 3 месяца назад
Nmependa majbu yako ❤❤❤
@user-ss4ei8wt5g
@user-ss4ei8wt5g 5 месяцев назад
Inapendeza mzee mapambano yaendelee
@shedracktarimo9410
@shedracktarimo9410 5 месяцев назад
dah big up san miso misondo 🎉
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 месяцев назад
Hizo ndio akili mwanangu ongera sana❤❤
@mrsinia3064
@mrsinia3064 5 месяцев назад
Mungu ni mwema... hongera sana miso misondo grow up my blaza 🎉🎉🎉🎉
@Kifyasi
@Kifyasi 4 месяца назад
Namkubali miso
@TalentShowtv317
@TalentShowtv317 4 месяца назад
Big up brow✌🏿
@AbdallahMtopa
@AbdallahMtopa 3 месяца назад
Watanzania hatuna ukabira
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 месяца назад
Tuikombolele njangu, nnepeyo.✌️
@saidimbinga5159
@saidimbinga5159 4 месяца назад
Very professional answers 🎉
@OscaramandusVicent
@OscaramandusVicent 5 месяцев назад
Dj wetu ndani ya lukuledi
@user-ii1tc7gt9r
@user-ii1tc7gt9r 5 месяцев назад
Ila we dogo ni noma unajibu kimakini sana
@JosephatMushi-ne9hn
@JosephatMushi-ne9hn 5 месяцев назад
Mtangazaji nilidhani SALAMA J
@jumaalexmasuke2096
@jumaalexmasuke2096 5 месяцев назад
Jmn tulishauliwa tutoke magetoni tukabisha aya ss 😂 mwanetu katoboa ss
@yohanakipako7934
@yohanakipako7934 4 месяца назад
😂😂😂😂 dah umenichekesh sana
@braggadachu1723
@braggadachu1723 5 месяцев назад
Tupo umri sawa😂miaka 24 ila mimi bado nakula kwa mama dinga ya baba nipo zangu chuo mwaka wa tatu shahada ya usimamizi wa biashara nasubiri nikimaliza ndo nianze kujitafutiaa pesa yangu
@vdhhhgduue3577
@vdhhhgduue3577 5 месяцев назад
Mashaallah hongeraa san kza utapata tuu ridhiko yako
@braggadachu1723
@braggadachu1723 5 месяцев назад
@@vdhhhgduue3577 ata mchumba sina mpaka natamani kuwahi kuoa mapema
@stn4873
@stn4873 5 месяцев назад
Usiwaze kijana kwenye maisha hakuna kuwahi wala kuchelewa, kila kitu kitaenda sawa tu.
@braggadachu1723
@braggadachu1723 5 месяцев назад
@@stn4873 nashukuru kwa kunitia moyo
@DanfordSimon
@DanfordSimon 5 месяцев назад
Ww ni msumbuvu endelea kupoteza muda uko uje tukutume uku mtaan unashangaa miaka 24 njo ushangae Zaid
@basumaadam2686
@basumaadam2686 4 месяца назад
Eti hutaki wanawake kuna mishangazi ya taifa dogo inakusibir soon itaanza kukupigia misele😂😂😂
@user-ic8oj1fy7q
@user-ic8oj1fy7q 4 месяца назад
😅😅😅😅😅 yaani nimecheka mno
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 4 месяца назад
Jamaa hana papara kujibu maswali. Ana ulizwa swali analijibu kiufasaha na kutulia.
@Hajra-oe7te
@Hajra-oe7te 4 месяца назад
Good boy
@user-be8or3tu4h
@user-be8or3tu4h 4 месяца назад
Mshikaji wangu mengine unadanganya wewe nyumbani ulikuja kupiga mziki kwa laki na60 milioni wapi😆😆iyo milioni ndo unapata uku town
@eddyempire9797
@eddyempire9797 2 месяца назад
Katunyoosha et 😂😂😂
@abubakaralliy8435
@abubakaralliy8435 5 месяцев назад
Wale makoti wenzako umewanulia japo vimet lkn
@KastorLubava
@KastorLubava 4 месяца назад
Dah ndo hivo
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 5 месяцев назад
Mtangaza tumia kiswahili ndio lugha yako adhiymu!
@isamony58
@isamony58 4 месяца назад
Lakini msisahau nyumbanii
@jabiligwenje
@jabiligwenje 5 месяцев назад
Unajibu inavyo taxiway nom
@mkavinatv7397
@mkavinatv7397 5 месяцев назад
@djhajiztz
@djhajiztz 5 месяцев назад
DUA NENE
@Johmadinitz
@Johmadinitz 4 месяца назад
HESHMA YAKO MAJIZO
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 5 месяцев назад
Anaakili mno huyu mtoto
@msenaSimba
@msenaSimba 4 месяца назад
hilo gari kwa Zanzibar nikituko ila nakukubal sn ndugu pambana 🎉pambania kombe unaweza
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 5 месяцев назад
Hutu mtangazaji analeta ukabila hatuna ukabila tz
@hamzamanyerere3202
@hamzamanyerere3202 5 месяцев назад
Alafu acheni ujinga
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 4 месяца назад
Dog anazungumza vizuri
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 5 месяцев назад
Nimechka kidogo et sitaj wanawke....
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 5 месяцев назад
ange SEMA sijakua tayari kuoa mwanamke sio et sitaki wanawake wakati yeye mwenyewe alizaliwa na mwanamke,mbona mnapenda kumtukana mungu utasikia demu nae sitaki waume nyokoooo hiyo tundu mungu alikuumba nao yeye hakua na akili hiyo lidude unao mwanaume mungu alikua mjinga nzuri zaidi akakupea hisia ambao ikakupanda unakua kama mnyama hujielewi mpaka hiyo maji litoke nando unatulia etii sitaki wanawake 😡😡😡
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 5 месяцев назад
@@nyembomajid1262 kabsaa umeongea kam watu 1000 amekosea sana kusema hvyo juu ashazishika za misondo so anajigamba nae kiasi acha tumuone uko mbel ya safari yke.......
@user-cf4dg7se5j
@user-cf4dg7se5j 4 месяца назад
Amesema kwa sasa akimaansha mwanamke permanent ila kugonga anagonga si mwanaume bhana😅😅😅😅
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 4 месяца назад
@@user-cf4dg7se5j 🤣🤣🤣 kumbe kunaniliyuuu yumo nilidhn pia uko ataki kumbe twampat...ilaa singesem hivyo angetafuta neno tu akaban hile huwa nisiri yko ww mwenyew
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 4 месяца назад
@@nyembomajid1262 kbsaa kma kajisahau tu...alf kumbe kwenye michwano yumo...bado hjasema ....
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 4 месяца назад
Mbona mtangazaji unakomalia ukanda sana,,ubaguz huo
@KastorLubava
@KastorLubava 4 месяца назад
Upige mwing
@user-nz4kr1xj5p
@user-nz4kr1xj5p 5 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲💘💘💘🇴🇲
@Hajra-oe7te
@Hajra-oe7te 4 месяца назад
Good boy
@Hajra-oe7te
@Hajra-oe7te 4 месяца назад
Good boy
Далее
🔴#LIVE: PERFORMANCE FUNGAA MTAA DAR ES SALAAM
19:59
Просмотров 139 тыс.
MWANAFUNZI MALAYA
13:01
Просмотров 1,1 млн