Mimi ni mkristo lakini wakuongea maneno kama hayo hawapo umenguza moyo wangu naomba angalau wananaume wangeelewa hayo maneno ubarikiwe sana naitwa beatrice
Dah hili limenigusa sana sheikh ❤ nami yalinikuta haya kwa mwanangu ila nimemsamehe mwangu kabisa hapa dunian mpaka mbingun japo leo sina family kwa sababu yake ila nimemsamehe kwakua nampenda mwanangu Allah ambariki sana na amsamehe kwa uwezo wake❤❤🙏
Yanayo nikuta kwenye ndoa yangu hila mimi umwambia mume wangu akuna kipya chini ya jua yote namuachia mungu uweza kuwa nimajaribu ana nijaribu mola wangu kumwambia mume wangu nakuachia mungu hatanilipa uwa nakosea sheikh