Тёмный

Christian bella feat Hamisa mobetto - BOSS (Official Video) 

Christian Bella
Подписаться 299 тыс.
Просмотров 5 млн
50% 1

Christian Bella featuring Hamisa Mobetto's latest video BOSS.
More from Christian Bella:
Nishike: goo.gl/hS3e2Q
Nashindwa: goo.gl/7LozYo
Amerudi: goo.gl/WFO4Re
Ollah: goo.gl/8pKic4
Follow Me:
Facebook: / bella.chriss
Twitter: / christianbbella
Instagram: / bellachristian1
#BOSS #ChristianBella #HamisaMobetto

Видеоклипы

Опубликовано:

 

7 июн 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3,3 тыс.   
@blaiiisehakiza
@blaiiisehakiza 4 месяца назад
Like yako kama you're listening to this pist in 2024
@flornce123oganda8
@flornce123oganda8 5 лет назад
Wooooollliiiiiyeeeee team misa hoyeeeeee ngoma kaliiiiiii wow, najukuta mwenyewe
@josephinekwaselema5566
@josephinekwaselema5566 3 года назад
Wangapi mnaangalia hii Ngoma zaidi ya Mara tatu kwa siku kama mimi noma sanaaa 👏👏👏
@BrianKiprop-el6bg
@BrianKiprop-el6bg Год назад
niko hapaaa
@wasaoswaq
@wasaoswaq 8 месяцев назад
@halimafuketi8369
@halimafuketi8369 5 лет назад
Jamani n mm kutoka Kenya naomba like zenu wabongo
@Kulwasaidi
@Kulwasaidi 4 месяца назад
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 лет назад
Boss Bella na mremboTanzania nzima miss Mobetto 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@firstdanah8746
@firstdanah8746 5 лет назад
Wanakusema sanaaa mobbeto ila ww nimpiganaji sanaaa inshaallah utafika upatakapo
@danieljohnson6539
@danieljohnson6539 5 лет назад
Nimependa kinyama sehemu yako mobeto ulivyoimba félicitation madame chérie nalinga'kayo mingi,......!
@gloriamkenda6807
@gloriamkenda6807 3 года назад
Katisha mno💞💞💞👆
@elirehemalema6828
@elirehemalema6828 2 года назад
Yan
@josmamahushi1624
@josmamahushi1624 5 лет назад
Niko hapa kwaajili ya King of the best melody
@aminamaulidi1788
@aminamaulidi1788 5 лет назад
Namkuba sn hamisa ❤❤❤🙌🙌🙌hii sauti naweza kwenda kopea diriham kwa kwa Shekhe Zayd Dubai shukurani hamisa👍👍👍👍👍🙌❤❤❤
@irenenelson9072
@irenenelson9072 5 лет назад
Wako wapi team @hamisamobetto, wekani like twende pamoja 👍👍
@rebeccaungwa1787
@rebeccaungwa1787 5 лет назад
IRENE Nelson here
@benedictamaganga614
@benedictamaganga614 5 лет назад
Tupooooo
@shiraann632
@shiraann632 5 лет назад
👌👌👌
@nihalimohamed1875
@nihalimohamed1875 5 лет назад
Tupo
@ratiffahdolle9931
@ratiffahdolle9931 5 лет назад
Tupoooooooo
@winniewillilo8109
@winniewillilo8109 5 лет назад
Daadek Bella umeua ,mtabaki juuu na mobeto
@josephmakau7322
@josephmakau7322 5 лет назад
hapa nimemkubaliiiii mtoto wakike, sautiiiii nimeipenda hadiii ubooo una simama daaaah
@yuniabeli8492
@yuniabeli8492 5 лет назад
Duh
@denniskalisti2570
@denniskalisti2570 5 лет назад
Hahahahahaha
@mmn7480
@mmn7480 4 года назад
Kuma ww
@dorkaswandali4266
@dorkaswandali4266 5 лет назад
Uongo dhambi jaman. Hamisa kanogesha huu wimbo🔥🔥
@gamechanger9646
@gamechanger9646 5 лет назад
Hapo kwa kikongo Hamisa umenikumbusha Yondo Sisters 🔥
@reyca_v.i.p
@reyca_v.i.p 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@suziehennessy9829
@suziehennessy9829 5 лет назад
Ninacho jua hamisa umefanya kushirikishwa....kwaio dada jitahidi sanaa
@maggyashleymaggyjesusparte9452
salute from 254 💕💕💕💕much love Guy's 😘
@ndagoboystephan7242
@ndagoboystephan7242 5 лет назад
Kama na ww umeirudia ngoma hii kali mara mbili mbili twende sawa hapa
@nyishudodo7810
@nyishudodo7810 5 лет назад
mala kumi 😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Huyu ndo Misaaaaaaaaaa go go bae I love you 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Here for #Hamisa
@willison1066
@willison1066 5 лет назад
Big Zhumbe uko juu
@ashuraommary5684
@ashuraommary5684 5 лет назад
Kama Mr and Mrs vile mmpendeza nyimbo tam kama asari aishoshi kuitazama yani IPO👌📌
@tyrawanga568
@tyrawanga568 5 лет назад
Team hamisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nlikuwa simpendi lakini vnye yy hupambana na hali zake nampenda hamisaaa goooooooooo from 254
@attalebel
@attalebel 5 лет назад
Agaaaaa Hamisa umetisha. Hilo jamaa halihitaji comment balaa lake linaeleweka. slt
@mtetezimellody5161
@mtetezimellody5161 5 лет назад
Eh! Eh!Eeeh!!Bonge moja la pini like yako hapa kama umeikubali hii ngoma kutoka kwa King of the best mellodie CB
@nicoleli8098
@nicoleli8098 5 лет назад
Mtetezi Mellody gud
@laikatwaha8934
@laikatwaha8934 5 лет назад
Mtetezi Mellody yap
@jetrudayohana5090
@jetrudayohana5090 5 лет назад
Nampendaa misaa toka zamanii na sitamchukiaa mdadaa mzuri hayumbi waoooo bella nice kwa msapoti mtoto mzuri
@jumachingomanje6439
@jumachingomanje6439 5 лет назад
Bonge la ngoma... Wako wapi wanaosema missa hajui kuimba? 😥
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Mambo ni motoo jaman na mm naombeni like khaa kila cku nawapa nyie tuu
@chubeally5293
@chubeally5293 5 лет назад
Mashallah
@annatariq5378
@annatariq5378 5 лет назад
Husna Uthman hamisa amejitahid sana mara hii ameitoa sauti kwakwel
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
@Kids 💕CHANNEL Hahaha rahaaa kuona coment yako ina like😂
@emmanuelkakuru1977
@emmanuelkakuru1977 5 лет назад
Ngoma nzur
@richardmkandara3433
@richardmkandara3433 5 лет назад
King of best merrod of Tz Christian Bella
@ndagoboystephan7242
@ndagoboystephan7242 5 лет назад
Jamani bella kashindikana na huyu mwanamke ndo hatari kabisa yaani ni 🔥 mno
@rehemashelukindo3799
@rehemashelukindo3799 5 лет назад
Bella umefanya nmeanza kumpenda misaa kwenye kuimba dah big up to nyie
@brendagwembe9495
@brendagwembe9495 5 лет назад
mm siyo team hamisa ila leo nakupa like
@eutopiakavishe9326
@eutopiakavishe9326 4 года назад
Good song naikubali kinoumerh ...
@saidsongo4998
@saidsongo4998 3 года назад
Asante Bella nimeipenda.b
@pennynjoroge993
@pennynjoroge993 5 лет назад
Wow nashinda kurudia hii wimbo can't get enough of it ❤😘+254love
@nurumnyota8615
@nurumnyota8615 5 лет назад
Hongera Sana Hamisa hujamuangusha Christian bella,wimbo unapunguza stress❤❤❤❤
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 5 лет назад
Hamisa Safi Sana simamia saui hiyo hiyo wakati wa kimba nyimbo zako
@manchizemedia8060
@manchizemedia8060 5 лет назад
BELLA SHIKAMOOO!!!! MUNGU AKUBARIKI KWA KUWASAPOTI RAIA WETU CHA MSINGI USIBAGUE WAKUWA KAMPANI BROTHER BEBA WOTE TU KWANI SH NGAPI?????? DADA HAMISA BIG UP !!! UMEBEBWA UKABEBEKA.
@amlialoyce619
@amlialoyce619 3 года назад
Nakubali xaxana hamisa namini ipo xiku mungu atakuinuwa juu zaid ya apo I love you so March
@neemaernest8457
@neemaernest8457 5 лет назад
boss boss😍😍😍 hatalee sana
@bernis2579
@bernis2579 5 лет назад
Relistening hiyo part hamisa anaimba kilingala......wooow this lady is multi blessed
@enidajeremiah4102
@enidajeremiah4102 5 лет назад
Nyimbo Kali bro !!Ila kama kavaa sketi waliona tuungan
@husnahongeramwinjuma1436
@husnahongeramwinjuma1436 5 лет назад
good
@mercyromanus5033
@mercyromanus5033 5 лет назад
@@enidajeremiah4102 ni kawaida kwa Congo na ni vaz la heshma uko so nahc kavaa hvo cs wmbo wametumia kicongo pia
@elizabethmichael1431
@elizabethmichael1431 5 лет назад
wow! misa jiachie mama naona ss umeiva yani ngoma umeitendea haki yani utabaki kileleni 🔥
@nasmachunda8107
@nasmachunda8107 5 лет назад
misa de le boss hatareeee umetishaaaa kama nawaona haters wanavyoview kimya kimya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@stephanombamba2168
@stephanombamba2168 5 лет назад
Christian bella mtu mbaya sana hujawawi haribu kila ngoma ni🔥🔥🔥
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 лет назад
Uwiiii hamisa hii ngoma umeitendea haki 🔥🔥🔥🔥🔥👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 лет назад
Hamisa asiwepo mtu wa kukuvunja moyo wallah hii nyimbo umeitendea haki kbsaaaaa.... Mungu aendelee kukubariki na kukuinua viwango vya juu zaidi Amen🔥🔥🔥🔥🔥 Mliosema hamisa hajui kuimba tangulien sero tuwakute😂😂😂👌👌The real definition of madam Hero
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 5 лет назад
True there's big improvement, keep it up lady misa
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 лет назад
Yes dear
@kimsd2184
@kimsd2184 5 лет назад
Hakuna linaloshindikana chini ya jua .....kama unataka kitu jipe muda kuna muda Hamissa atakuwa top na waliombeza watashangaa
@anitangingo9598
@anitangingo9598 5 лет назад
Yani hamisa anazidi kukomaa kimuziki siku hadi siku
@rechomroso8179
@rechomroso8179 4 года назад
Sichoki kusikiliza hamisa unaweza sana moyo umeshaloa nyg nyg hatari sana
@wilsonsindavi7000
@wilsonsindavi7000 5 лет назад
Christian Bella uko ju mtuwangu. Napenda nyimbo zako sana#Nagharamia..
@annamahona5812
@annamahona5812 2 года назад
Mzuri zana
@omarykishoke5933
@omarykishoke5933 5 лет назад
Tatzo ni nyota au kutokuwa mzawa...like mingi kwa Bella 🙌🙌💥
@salvatory2987
@salvatory2987 5 лет назад
Kumbe hujui, Bella is a king of vocals 👑 in Tanzania, every Tanzanian knows and accept it. Tunamkubari sana.
@VijanaPowerTV
@VijanaPowerTV 5 лет назад
King wa ma melodies Likes za Bella tafadhali! 🔥🔥
@lukindoomary8616
@lukindoomary8616 5 лет назад
Vijana Power TV huyu jama anajua
@janethjoseph5293
@janethjoseph5293 4 года назад
hatamm nnam kumbali
@lennyfence183
@lennyfence183 4 года назад
Kali keeping big up
@giselebukembo6153
@giselebukembo6153 4 года назад
Super Hamisa Mobetto ayembi lingala kitoko makasi... Nina furah kubua sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿
@osiepsendvictorminyory301
@osiepsendvictorminyory301 5 лет назад
Dah yani wameendana kinoma hii hii hatare mmetisha sana nimelike hii ngoma kizoooooooteeeee
@josephineakinyi1493
@josephineakinyi1493 5 лет назад
Waliosema eti Hamisa ajuwi kuimba wako wapi?👆
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Hakuna,aliezaliwa anaweza kila kitu
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥tisha bela $misaaaa napendaga unavyonipaga mapachocho
@fatashkibz7421
@fatashkibz7421 4 года назад
Mi hukujuii hamisa t kwa nyimbo nan Ana kubali gonna like t twende sawa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@harmoniofficialtz6065
@harmoniofficialtz6065 5 лет назад
Nimependa ulivyo Anza Bella na kuitikia mbetto. We mdau Kama Mimi Kama umeufurahia njoo nikuonee
@wizdallas6282
@wizdallas6282 5 лет назад
Km me
@rahmaathman721
@rahmaathman721 5 лет назад
Harmoni Official yaan song 🎵 ni taaam jaman Bella and missa ni. Fire😍😍
@harmoniofficialtz6065
@harmoniofficialtz6065 5 лет назад
Yes nakubali
@bellaalis1272
@bellaalis1272 5 лет назад
Na penda sana iyi kwa lingala na france ongera sana hamisa
@bellaalis1272
@bellaalis1272 5 лет назад
Hamisa edela ivo
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 лет назад
Ngoma ya watu wa kujielewa # kenya twa kupenda bure hamisa
@sampalsa_Official
@sampalsa_Official 5 лет назад
Nimeisubiri kwa ham Sana baba, kazi kubwa sana baba big up Sana the best melody @Christian Bella kazi kubwa sana my brother
@betinaqueen4659
@betinaqueen4659 5 лет назад
RDC ON TOP🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 5 лет назад
Jamani jamani Misa kumbe unaweza hivi 👏👏👏👏👏
@angelmchomvu3775
@angelmchomvu3775 5 лет назад
Tutaambia nini watu.... Keep it up wapenz nyimbo nzuri
@mgubulilefamily531
@mgubulilefamily531 5 лет назад
Mtu akisema nyimbo mbaya huyo ni mchawi wa maisha, nice song mobeto God bless you, gonga like twende pamoja ❤
@bradakalufanya473
@bradakalufanya473 5 лет назад
Mimi ni mu kongomani🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ngoma ya bella,harmo na Diamond, namukubali hamisa kaniacha kieleweni na iyo ngoma
@maggyashleymaggyjesusparte9452
I love the vibes why lie 💕😘 Hamisa 🔥🔥🔥Christian Bella more 🔥🔥🔥🔥
@elienkanyema9242
@elienkanyema9242 5 лет назад
Nimeikubali Sana sauti ya m betto
@elienkanyema9242
@elienkanyema9242 5 лет назад
Nakukubali brother bella
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 5 лет назад
Nmerudi kwa Hamisa sasa hii umeimba vzr sana umeua kwa sauti yako nlikua nasubiri next song unakujaje but umenimaliza kwa hii misa big up sana..
@Kanicynjuguna
@Kanicynjuguna 5 лет назад
🤣🤣 mimi kwa misa sitoki
@fatmarashidfatmarashid4291
@fatmarashidfatmarashid4291 5 лет назад
Woow nimefurahi haki dada umeashida wasanii wengi sana but kwa kuwa roho mbaya ziko ndaniyao hawawezi kusifia umetisha dada tena sana endelea kupambana usisikize ya watu 😙😙😙
@blatterboy7898
@blatterboy7898 5 лет назад
Haaah nilikiwa sijaisikiza vzr kumamake ngoma kalii kisenge
@pyuritjuvenal7657
@pyuritjuvenal7657 3 года назад
Dah hamisa umepatia hap,! Sheri nalinga kayomigiieeh yoza limoba liyavinangaiih atabaliedise pambaeeh ngana kulinga kakayooh zhetem zhetem elepulivi motema nangaiih Kama na ww umekubali achia like
@miss-kitawa3254
@miss-kitawa3254 5 лет назад
Team misa like sijapata jomon mzee wa masauti hapo ndio ninapo mpendeaga Christian Bella🎶🎶💞😍😍😍😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹💕💕:🔝🎼🎼🎵🎵🎵🎵🎧🎧🎧🎙🔥🔥🔥
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 5 лет назад
ngoma kali sanaaaa
@ummunaaleicester4337
@ummunaaleicester4337 5 лет назад
@@rayanalhabsi8029 tupo
@issadady1351
@issadady1351 5 лет назад
Angely -kitawa 👌👌👌
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 лет назад
Thanks dear plz mk people view it on their phones❤
@mtamomtamo544
@mtamomtamo544 5 лет назад
Angely -kitawa
@roseirungo1950
@roseirungo1950 5 лет назад
Wooo wimbo mzuri hadi unakera 😋😋😋😋😋 Wale mliosema hamisa hawezi imba hiyo ni nyanyenu kaimba🙄 Manyoko nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 лет назад
Wamebaki midomo wazi na nyimbo tamu inawaingia taratibu
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 5 лет назад
Rose Irungo 😁😀😁😁😁😀😄😀🔥🔥🔥🔥🔥
@ashuraommary5684
@ashuraommary5684 5 лет назад
Team Misa Mupooo👌👍
@aloyceenhardnombo7604
@aloyceenhardnombo7604 5 лет назад
Guys mm nilitaman hamisa aimbe tangu mwanzo had mwisho daah mtoto mzur ana saut mashalaah
@aishajuma2604
@aishajuma2604 5 лет назад
Hamisa atabaki kua juu kileleni. chiiiiii💣💥💥💥
@yusraibrahim8218
@yusraibrahim8218 5 лет назад
DAHAMISA CHAUTUTUNDU UPO nakuonatu wazidikuwabuluza mtandaon WAOOO WIMBO MZULI DAHAMISA HONGERA🔥🔥✔
@RealMe-tn5dq
@RealMe-tn5dq 5 лет назад
I'm here for you Hamisa Mobetto Thumbs up mama Love you mama Continue aiming higher
@sarahkundy9411
@sarahkundy9411 5 лет назад
hv kuna MTU anapita siku bila kuangalia #Boss so nice song big up hamisa kuna watu wanasema ooooh hajui kwa hii umeuaa😘😘😘
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 5 лет назад
Sarah Kundy sanaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
@kakasijohari7461
@kakasijohari7461 5 лет назад
Hatari 🔥🔥🔥🔥🔥@Christian Bella &@hamisamobetto mtabaki kuwa juu ,chiiiiiiiiiiiiiiiiiiîi
@kashihamakaundama1653
@kashihamakaundama1653 5 лет назад
Bella tisha mbaya lazima wateteme
@fatmarashidfatmarashid4291
@fatmarashidfatmarashid4291 5 лет назад
Haki nimerudia karbu mara kumi nimependa dada woow hapa sauti mashallah
@alkkoparadise6866
@alkkoparadise6866 2 года назад
Mobetto my artiste 💪, yope'obandi'okumba lingala boye vraiment Na sepeli ya mingi proud of you 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Alkko
@salmafimbo7633
@salmafimbo7633 5 лет назад
Mnajua kuimba sana nimeipenda sana nasikiliza kutwa nzima napendaga unavyonipa mapochopocho
@hamzacedricole3673
@hamzacedricole3673 5 лет назад
Tatizo simba kaashia inama video sasa iyi aita trending San sababu simba kaashia video kamuharibia hamissa na fasi wallah
@nyishudodo7810
@nyishudodo7810 5 лет назад
yule kaka ana Roho mbaya hataki Hamissa na zari wafurahi hata siku zari alikuja Bongo arifika anachia vidéo yak ili watu wasifwatilie yake ila kila mtu ana nyota yake tutam saport tu
@laurie_lifestyle
@laurie_lifestyle 5 лет назад
Hamisa baby kasauti tu. much love from Dubai. Nipeni likes basi kaa unamkubali Hamisa
@ruthmaina7810
@ruthmaina7810 5 лет назад
Soo sweet voice 💋❤❤❤❤
@ruthmaina7810
@ruthmaina7810 5 лет назад
Hamisa nakupenda sana ❤sauti tu💋
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 лет назад
Thanks dear plz mk people view it❤👏
@priscaalphonsine2753
@priscaalphonsine2753 5 лет назад
lauryn kirimi ❣️❣️
@ndexclassic7695
@ndexclassic7695 5 лет назад
Dah! bonge la ngoma kutoka bongo
@beroyagospelchoirkahama1979
@beroyagospelchoirkahama1979 5 лет назад
Kwan mnakwama wapi na hiki kinyimbo chenu, yaan hata 1million viewers hamjafika. Wababe tumeshapindua meza kibabe kule #INAMA #MAAJABU Like zenu
@ibrahimsiwila8541
@ibrahimsiwila8541 5 лет назад
Hii ngoma iko pw kama umeielewa gonga like hapa kisha comment yeyote hapo
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 лет назад
Iko vizuri kila upande
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 лет назад
Kaimba kilingali sio kiswahili wako wapi waliosema misa hawez kuimba #mond #Rubi aibu yao
@kazamoyo7631
@kazamoyo7631 5 лет назад
Jamani kunawatu wameumbuka hapaaa. Wako wapi walosema hamisa mziki haumfai? Sasa kaalikwa ikulu kumuimbia rais. Wale wapiga majungu wamealikwa magereza kweli mungu humpa mtu kinacho mstahili
@jumachingomanje6439
@jumachingomanje6439 5 лет назад
Well said
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 5 лет назад
Mwarabu fighter Daaah kashaamua kama mbwai na iwe mbwai
@lincolnmaleko4847
@lincolnmaleko4847 5 лет назад
Kweli mbuzi iko tayarii hii nyimbo tamu sanaa yani natazama kila time❤❤
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 5 лет назад
Tajiri mubishiii, Obama, king of the best melodies, watoto ya canada. Great job brother.
@hyungtae318
@hyungtae318 5 лет назад
Kama umemuona Christian Bella kavaa sketi nyeusi gonga like hapa😂😂😂😂
@kibibijimmy8791
@kibibijimmy8791 5 лет назад
hiyo sio sketi ni kam misuli wanaume wakikongo wanavaa sio sketi unazozijua
@everlynemulongo7004
@everlynemulongo7004 5 лет назад
🤣🤣🤣
@benlyn8212
@benlyn8212 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@Tapleley
@Tapleley 4 года назад
😂 😂 😂 😂 😂
@marynoni7498
@marynoni7498 4 года назад
hahahahha mjinga kweli hahaha eti siketi nyeus
@braveliontv935
@braveliontv935 5 лет назад
Wowwww 😱😱😱😱 I made it , I guessed that over 1 million before August 2019 ,then congratulations to u singers 👍.
@esthermbilinyi3611
@esthermbilinyi3611 5 лет назад
Nice hamisa nyota inazidi kuwaka
@sbumwasinga3848
@sbumwasinga3848 5 лет назад
This song can cook beans in 1 minute🔥🔥🔥🔥
@DominicMyumbilwa
@DominicMyumbilwa 5 лет назад
hahahahaha, I Never Read a Comment Like This 🤣
@angelmchomvu3775
@angelmchomvu3775 5 лет назад
Hahaaa geez
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
😁😁😁😁
@aikakangalawe1846
@aikakangalawe1846 5 лет назад
😀😀😁😁😁😂😂🤣🤣🤣
@maryamngare9787
@maryamngare9787 3 года назад
Hahahaha
@mbwilaseifu6461
@mbwilaseifu6461 5 лет назад
Bella anajua Dada mobeto unajua cn nakuombea kwa mungu ufikie malengo yk penda xn ww
@mercykeino4194
@mercykeino4194 5 лет назад
Hupaswii kukaa kinyonge Ukiwa Na mm asante Bella #boss# Missa unajua mpaka unakwaza wengi walaiii.....huu wimbo Ukiwa Na uskiliza uku unaandika unaeza andika wimbo mzima...goo go missa Hutak vijana wa mujiniii
@msambyajohnlwango7491
@msambyajohnlwango7491 5 лет назад
I’m the first one ☝️ in USA 🇺🇸 Phoenix Arizona
@salehkashindibinmsambya1719
@salehkashindibinmsambya1719 5 лет назад
hahahahaha
@saidbrizy2142
@saidbrizy2142 Год назад
Hii nyimbo nimetafta jina lake mpaka kwa gharama, kwakweli ni Kali
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
sasa hapa hamisa uko vizuri ponge,zi kwako ndio vt twataka sio sikendo mbovu
@mercimerci9644
@mercimerci9644 5 лет назад
Cristian na hamisa much love from Kenya 🇰🇪❤❤
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 5 лет назад
GAME Over 🎼🎼🎼 🔥, wewe na kaka yangu Bella mtatuuwaaaa 😀😀😀😀❤️
@princegabytv7251
@princegabytv7251 5 лет назад
Kolabo inatrend mjini bigup mobeto + chrisbelah✈
@hadijasilima4115
@hadijasilima4115 5 лет назад
Hamisa umetisha my dear 🙌❤😘
@christianangelo4832
@christianangelo4832 5 лет назад
Wote mmebadilika... Mziki mzuri Sana. Big up kwa producer
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 лет назад
2:30 chéri nalingaka yo mingi ee yozali mobali ya vie na ngai atabalobi se pamba , nga nakolinga kaka yoo ...je t'aime , je t'aimerai pour la vie motema na ngai. Swahili version [ mpenzi nakupendaga sana wewe ndiye mwanaume wa maisha yangu hata wakisema ni bure mie nita kupenda wewe...nakupenda nitakupenda kwa maisha moyo(roho) yangu]
@gabrielshewio6599
@gabrielshewio6599 5 лет назад
Very nice verse I appreciate
@lubungatv3609
@lubungatv3609 5 лет назад
Tokoos
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 лет назад
@@gabrielshewio6599 thanks bro
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 лет назад
@@lubungatv3609 merci
@patrickwanyoike8685
@patrickwanyoike8685 5 лет назад
I dont know some guys hate on this chiq....shr is dope...n she got the voice from kenya n appreciating her big
@youngracemst9241
@youngracemst9241 5 лет назад
What a song 👏👏👏 Team 254 tushafika 💪💪💪💕💕💕💕😘😘
@gracerosi6179
@gracerosi6179 5 лет назад
Vionjo vya hamisa vinatumaliza🔥🔥👍
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 2 года назад
Dahhhhhhhh. Am speechless off you hamisa wachaa nilieee tuuuu😵😵😵😵
Далее
Косплей на ГОЛОВОЛОМКА 2!
15:20
Просмотров 382 тыс.
다리에 힘이 풀려버린 슈슈 (NG Ver.)
00:11
Просмотров 700 тыс.
Fally Ipupa - Mayday (Clip Officiel)
7:17
Просмотров 46 млн
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
Nakuhitaji
6:38
Просмотров 25 тыс.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Malohat
3:35
Просмотров 99 тыс.
Doston Ergashev - Kambag'alga (Official Music Video)
5:32
OG Buda - Сделай Мне Приятно Щас
2:24