Тёмный

UTACHEKA MBOTO ACHARUKA BALEKE KUTUA YANGA AZIZI KI ,CHAMA MASHINE YA KAZI, MBONA ATAMBULISHWI 

S500 TV
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@AlexMbagata
@AlexMbagata Месяц назад
Hongera mboto unajua kwenda na uhalisia wa mambo.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Nyie wachambuzi ni wajinga sana usajili wa Yanga 1 boka miaka 24, baleke miaka 23, Dube, miaka 27 Duke miaka 29, andambwile miaka 24 khomein miaka 25 ,ni chama TU miaka 32 wakati wao Kuna kagoma miaka 29, Awesu miaka 28 pia Banda ndie mchezaji ambae allkuwa na kipaji hakuna wa kufikia pale Simba lakini amefeli kindaaa
@user-hy2qw6gi3e
@user-hy2qw6gi3e Месяц назад
Makolo ni washamba tu, Ngoma ana miaka 43
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Месяц назад
Mbona dube hujasema ana miaka mingapi 😂😂
@IddiSulaiman
@IddiSulaiman Месяц назад
​@@laninjeje8290hujui kusoma ndugu😢 si umeandikiwa hapo miaka 27
@josephatn5040
@josephatn5040 Месяц назад
​@@laninjeje8290 Mbona amesema 27. Ulisoma comment kweli?!
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Месяц назад
@@josephatn5040 dube ana 32 sio 27
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Месяц назад
Wewe ndo Hamisa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 ila yanga ad mashabiki wa yanga mnaakili wandishi kama ao ndo majibu sahihi kwao
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy 29 дней назад
Amisa ndio nani we vipi
@user-wp9or7wh5s
@user-wp9or7wh5s Месяц назад
Uhakika botto upo sahihi kabsa kaka
@RashidiKuji
@RashidiKuji 19 дней назад
Yes vp have 😅😅
@careemdulla1629
@careemdulla1629 Месяц назад
Ligi ikianza ndio tutajua wazee ni Yanga au Simba
@irenemakundi-og9xg
@irenemakundi-og9xg Месяц назад
Tufanye wewe ndo hamisa
@marymoshi572
@marymoshi572 Месяц назад
Jibu safi kuhusu hamisa 😅
@RashidiKuji
@RashidiKuji 19 дней назад
Tupo 😂
@user-nm1jh3dy9n
@user-nm1jh3dy9n Месяц назад
Shambulio la aibuu😅😅😅😅
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Mie nasubiri dakika 90' zitaongea in'shaaAllaah
@MinkJoseph
@MinkJoseph Месяц назад
Ila bonto😂😂😂. Aya bhana baadae bingwa
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 Месяц назад
Hao ndowalikuwa machawa wa yanga nahao ndowalio wapa Gori hizo sasa mtajua hamjui
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 Месяц назад
Mausiano ni mausiano na mpira ni mpira kwanini mchanganye mpira mausiano
@issataslima9846
@issataslima9846 Месяц назад
tunaomba mrekebisha vizuuri mic zenu maaan nikero iko hivi ukivaa headset au head phone kinacho tokea linasikika sikio moja
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Xavi mtupu
@Niika870
@Niika870 Месяц назад
Wewe Domo karai, Chama ,Baleke, Manura, Inonga, walikuwa maduka ndani ya Simba wameondka
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Sawa mkubwa
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Mtasingizia sana wachezaji, mara baadhi ya viongozi walikazimisha kumweka Aishi. Sasa mkifungwa sijui mtasemaje?? Halafu hayo maneno wanawasikia, watawaonesha kama wazee.
@NunuKibene-mp2bu
@NunuKibene-mp2bu Месяц назад
By u
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
@@kolosii4351 Ali Kamwe hana dogo ataenda akawaoneshe
Далее
Вся Правда Про Хазяевов !
41:02
Let's do it! 🎂
0:41
Просмотров 4,2 млн