whozu na mobeto mkono makin na kaziii,nice dance,mnajua kuutumia vizr ukumbiiii,ila whozu uctakee kumtekenyaa diamondi, hapa ndo pakupzikiaa,mwanamke wakwanza wa bongo kumteka akili yake ni hamisa,so taratibuuuu fanyeni kazi bila kukuchiiii kuchiiiiiiii naaniiliiiuuuuuuuuuuuuu
Congratulation Hamisa hii ngoma umewafunga mdomo wale walosema huwezi.. Karibu County 001 Mombasa uje uwaburudishe waakazi wa Mombasa.Siku ya Mashujaa day.