Watoto wa kiislamu lkn wamepoteza muelekeo mpaka inakuwa mtihani jamani, Allah atunusuru cc na vizazi vyetu maana......ama kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ya, chuchu Hans nilisikia kusa Kwa ana watoto wengine kama wawil Sijui vile kabla hajazaa na Rey kipind kile nilikuwa nasikia alikuwa anakaa kalibu na uwanja wa ndege
Tema mate chin hakuna anaependa itokee hvyo na akuna anaejua mbere jmn kuzaa kila mtoto na babake sio kwamba mwanamke maraya hpana ila tu ni changamoto zinatokea ikasema labda hyu kumbe mtu analake moyon