Тёмный

Salama Na Masoud Kipanya 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@SamsonJohn-f8h
@SamsonJohn-f8h 3 дня назад
Salama, naomba Umtengenezee Masoud Kipanga more episodes, if possible huu utaratibu uwepo kwa vichwa vingine kama hivi. Ukiweka part 1 na 2 peke yake, kuna madini mengi tunakosa... Hii ya Masoud nimeiangalia zaidi ya mara kumi, ila bado sijaichoka, na napata new lesson every time i watch it... Mlete tena MASOUD KIPANYA tafadhali
@culturestoriez6397
@culturestoriez6397 18 дней назад
huge..fan...sana..wa..hiki..kipindi
@samirmswahili
@samirmswahili 2 месяца назад
Alipoongelea mtoto imenigusa sana mungu awafanyie wepec watoto wetu wagonjwa mimi hua najiuliza ninapoona wanzangu watoto wao tofaut na wangu😢
@omarrwamuza3222
@omarrwamuza3222 2 месяца назад
Asante saaana Salam Ka kualika hiki kicwa kiukweli namkubali saaaana
@TUMAINIMWILILA
@TUMAINIMWILILA 2 месяца назад
Salama mwambie brother masoud vp kuhusu pesa zetu kwa yule mwamba..!
@salumchande2702
@salumchande2702 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 2 месяца назад
Salama upo vizuri dadangu nimekuwa nakufuatilia,lkn nakubali kazi zako.mwenyezi Mungu akusimamie dadangu
@Topcentclassic
@Topcentclassic 2 месяца назад
nimekuwa proud tu kusikia kumbe role modol wangu ana vinasaba vya iringa
@HenryMwamasage
@HenryMwamasage 2 месяца назад
geneous,ila @salamajabir hako ka soundtracks backup kana hadhi ya reggae umetisha👏👏😅😅
@Cosmas_General
@Cosmas_General 2 месяца назад
Huyu mwamba anajua sana👊👊🫡
@johnraymond6602
@johnraymond6602 2 месяца назад
SHUBAAAMIT ZAO💥💥💥
@EdwardAnthony-c7u
@EdwardAnthony-c7u 2 месяца назад
Tunaomba Show mpya, hii ni ya Mwaka uliopita
@salehmakungu3238
@salehmakungu3238 2 месяца назад
back to the work
@Paplick9
@Paplick9 2 месяца назад
Best ever 🐐🙌🧠 salama
@حكايةغد
@حكايةغد 2 месяца назад
hata mimi Mzee wangu hajui miaka yangu ukimuuliza kwa ghafla
@salmanyangasa1171
@salmanyangasa1171 2 месяца назад
Madini mengi nimeokota kwa hiki kipindi chenu
@shabanponera2895
@shabanponera2895 2 месяца назад
Inahitajika part2 ya huyu mwamba
@allykamila3445
@allykamila3445 2 месяца назад
Kumbe hii ni ya mwaka 2022?
@AdnanMbaehmahmoud
@AdnanMbaehmahmoud 2 месяца назад
Huyu mwamba ni darasa
@HamadAlex
@HamadAlex 2 месяца назад
Tulikumis sana Salama
@Igauf3
@Igauf3 2 месяца назад
Another option nikuinvest kwenye KP motors as earlier investors. Wengi watalalamika mbele ya safari ikitoboa. Mfano ni Nala.
@matwerangulichedr3985
@matwerangulichedr3985 2 месяца назад
simply masoud is genius
@jumbekibindo3021
@jumbekibindo3021 2 месяца назад
Salama napenda kipindi chako
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 2 месяца назад
Loo!!! Views 10k kwa wiki moja??? Watanzania tunataka maudhui ya aina gani? Kwanza najuta sana kuchelewa kutazama hii video. Ubarikiwe sana Salama.
@mayassahmtumweni
@mayassahmtumweni 2 месяца назад
safi kwa kurudi
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 2 месяца назад
Thanks for you guys back again #SalamaNa
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 2 месяца назад
Hapo kwenye Laki 2 Uso wa masoud unasema weeeeh lakimbili yangu nimpe mtu kwa kuomba tu ha ha ha ha ha
@seliankibasisi5047
@seliankibasisi5047 2 месяца назад
Huyu mwamba ndio mwenye akili zaidi Tz
@innocentpius8083
@innocentpius8083 2 месяца назад
Labda anakuzid wewe tu😅usiseme Tz ujawajua watu wew …uyo ni umaaruf tu
@willenmtafungwa1920
@willenmtafungwa1920 2 месяца назад
Na huwez kuwa busy kila siku unabishana kuhusu Simba na Yanga ukawa na akili na uwezo wa kufikiri na kuwaza mambo ya msingi.
@cooperinsurance819
@cooperinsurance819 2 месяца назад
salama na is back @kituo kinachofwata kwa Eliud Samweli
@mwasonkambi7207
@mwasonkambi7207 2 месяца назад
Hii mbona kama ni ya muda mrefu
@kaba7911
@kaba7911 2 месяца назад
Kazi nzuri sana ku exchange ideas on mental health and money 📈🧘🏿‍♂️
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 2 месяца назад
Asalam Aleykum. Salama kipindi chako ni SUPERB. Andaa pia MADA INAYOHUSU MICHANGO HASWA YA HARUSI, imekuwa ni too much mpaka tunashindwa ku- save.
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Месяц назад
Ivi kwanini salama usiwe unakata vipande kidogo kidogo ukavipost tiktok ili kuvitia watazamaji wengi?maoni yangu tu
@kwisa4899
@kwisa4899 2 месяца назад
yani ukajiwekee pesa kwene mfuko wa jamii labda UTT uko kwene mfuko kunashida kubwa sana
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 2 месяца назад
Salama, Michango yenyewe imekuwa ni KAUSHA MAJI
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 2 месяца назад
Masoud kila kitu kinachotutokea duniani kuna stages tunapitia na ya kwanza kabla ya 'kukubali' (ambayo ni ya sita) ni hiyo ya kuwa ya kujiuliza " kwanini mimi'.
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 2 месяца назад
😂😂😂, au unashtukiwa tu mtu anapozaliwa
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 2 месяца назад
😂😂😂. so fun.
Далее
Five Feet Apart - Anchor
4:14
Просмотров 1,3 млн
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 39 млн
Mkasi - S01E03 Masoud Kipanya
25:38
Просмотров 113 тыс.
Viral Video of a Man's Crazy Job Interview
16:02
Просмотров 1,3 млн