Тёмный

CHUTCU IMETOA SIKU MBILI; WAKULIMA WANACHAMA KUJIANDIKISHA 

Chunya Dc Online
Подписаться 482
Просмотров 270
50% 1

Chama Kikuu cha Ushika cha Tumaku Chunya (CHUTCU) wamepanga kutumia siku mbili kuhimiza wanachama wake wote kuhakikisha wamejiandikisha kwenye Daftari la Mkazi kwenye vitongoji wanavyoishi wao pamoja na vijana wao wanaowasaidia kutekeleza shughuli mbalimbali za kilimo cha Tumbaku wilayani Chunya
Meneja uendeshaji wa CHUTCU Ndug Juma Shinshi amesema CHUTCU ni kawaida kwao kuiunga mkono Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha wananchi wa Tanzania wakiwepo wananchi wa Chunya wanapata huduma stahiki
Shinshi amesema viongozi wa CHUTCU watakuwa kwenye ziara ya siku mbili ya kutembelea vyama vyote vya ushirika ili kuhamasisha wanachama wao wanajiandikisha

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
NAH UH
00:17
Просмотров 2,5 млн
WACHIMBAJI  WA DHAHABU CHUNYA WABURUZANA MAHAKAMANI
4:19
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31