Тёмный

CUBA HAWAMTAKI MAREKANI WANATAKA AONDOE NYAMBIZI YAKE WAO WAPO NA PUTIN 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 34 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

19 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 Месяц назад
Mkuu huwa nakuelewa Sana jinsi unavyochambuwa hizi tafaruki za kivita na kisiasa vinavyo ulimwenguni. Hongera Sana kwa kutuelimisha, kutufunza na pia kutupa historia mbali mbali ulimwenguni. Tunakupenda Sana, ✌️✌️👍👍
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 27 дней назад
😊😊
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Месяц назад
Marekani watu wameshamchoka
@francismuhuga8158
@francismuhuga8158 Месяц назад
Hydrogen bombs zinamilikiwa na Mrusi husisahau na ndilo bom hatari na haribifu kuliko
@ALLYLUKONGE-ve2ci
@ALLYLUKONGE-ve2ci Месяц назад
Mr Putin huraaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx Месяц назад
Nyambiz ya marekan inaitwa herena na chuma ya urusi inaitwa black sea hata kama ni wewe ungeikubali ipi?
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Месяц назад
Herena ya nyoko
@peterchilumba739
@peterchilumba739 Месяц назад
Mwalimu makini kabisa
@songombingo9318
@songombingo9318 Месяц назад
Nakubali bro uko sawa kaka mwakilembe.#songombingo toka ukunda diani kenya❤
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏
@MahdouMomba
@MahdouMomba 18 дней назад
aiseeee, nakubali sana uchambuzi wako Mwalimu
@suleim505
@suleim505 Месяц назад
Umeeleweka vizuri san mchambuzi.
@hbdina
@hbdina Месяц назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇷🇺🇷🇺🇷🇺Serikali ya Tanzania huu ndio wakati wa kuweka maliasili/uchumi wetu mikononi mwa wa Tanzania ili tuwaaachie vizazi vyetu utamaduni huo Wawekezaji wa nje tuwe makini kwenye mikataba tunachoitaji ni ujuzi was tu hasa kwenye viwanda kwa hiya lazima wafanye kazi na Watanzania ili tuwaibie/tujifunze ndivyo China 🇨🇳 inavyofanya.
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 Месяц назад
Ni kweli kabisa. Wachina walianza tu hivi kiutani utani. Chini chini, walivyoibuka kila nchi zinatapatapa. Nchi tajiri hata maskini tunahaha. Matajiri wanashangaa huyu kamikaze hapa@?, si alikuwa maskini mpaka sie tulikuwa tunamsaidia!!. Sisi .maskini tunahaha atuhurumie na kusahau madhaifu yetu ili tuendelee kunufaika kutoka CHINA 🇨🇳. Nawaonea huruma sana WAKENYA, kweli kiongozi wao kawaingiza mkenge. Duuuhh!!!
@ammaherman3391
@ammaherman3391 Месяц назад
😂😂😂unaongelea Tanzania ipi mzee.
@user-nm2db7gg2x
@user-nm2db7gg2x Месяц назад
Nice
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi Месяц назад
Mwalimu Mola akulinde. Mtumbi kutoka Ujerumani
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Месяц назад
Sana wakuu tupo pamoja
@jeryjery8566
@jeryjery8566 11 дней назад
Nyie Bora muolewe tu kichwani hoples kbs
@HappyAlbatross-us3bg
@HappyAlbatross-us3bg Месяц назад
Ulimwengu WA sasa wameshamchoka muamerica
@JuliusKiria-j7i
@JuliusKiria-j7i 29 дней назад
Unachumbua vizur haya ma swala ya kisiasa na vita ila swali langu n kwa nn unaegemea sana upande wa rusia,North corea, kiufupi mataifa yaliopo kinyume na marekan
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm Месяц назад
Mmarekani nisawa na mashoga tu hampigani Hadi mungane mrusi ndio kidume Haitaji msada wowote
@pastorypatrick8140
@pastorypatrick8140 Месяц назад
Ety mpaka uingie mbinguni kwa mungu 😂😂😂
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Месяц назад
Nawapata kutoka sweden😂😂
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Месяц назад
Maandalizi ya vita ya tatu ya dunia yameshaanza ktk jimbo la Idaho nchini USA
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Месяц назад
Safiiiiiiii Acha uruss inyuke hao mashoga
@geoffreynyabigo7565
@geoffreynyabigo7565 Месяц назад
Kaka tukiongea Wacha matuzi kw viongozi,
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 27 дней назад
😊
@Nobengaphotographer
@Nobengaphotographer Месяц назад
Apo kwenye bangi bana mkuuu usiiweke 😂😂😂
@ameirkhalid1549
@ameirkhalid1549 Месяц назад
Mwalimu taarifa za ndugu wanao ishi Uk,wanasema kuanzia sasa Taa za bara barani na mitaani zitazimwa saa nne usiku ili kusave pesa na kupeleka ukrane ,Hali hii inaonesha kias gani Putin alivyo ifilisi Ulaya.
@jeryjery8566
@jeryjery8566 11 дней назад
Chanel ya vichaa 🤣 elezen kitu Kama mmeenda shule mnachekacheka ka shoga
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv Месяц назад
Huyu jamaa ni muongo kiwango cha lami
@suleim505
@suleim505 Месяц назад
Mwenye macho haambiwi tazama: nawewe usiwe kipofu kiwangu cha flaiova 🤠
Далее
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 3,5 млн
CHALAMILA APOKEA MELI YA KI VITA KUTOKA JESHI LA CHINA
7:20
Why are U.S. entrepreneurs flying to China now?
30:06
Просмотров 3,1 тыс.
IFAHAMU PARADISO YA DUNIA USWIZI
48:46
Просмотров 646
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 3,5 млн