DAAH! MPOKI Alivyomvunja Mbavu MO DEWJI - "Tusitafuteni Uchawi"
Ni usiku wa tuzo za MO umefanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa klabu ya Simba, Moo Dewji, ametoa tuzo kwa wachezaji wa klabu hiyo katika vipengele tofauti tofauti....
Usiku huo umehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa soka akiwemo Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, muigizaji Aunt Ezekiel, Mwanamitindo Hamisa Mobeto na wachezaji wote wa klabu ya Simba.
Mchezaji Bora Mdogo wa Mwaka - Rashid Juma
Mchezaji Bora wa Mwaka - John Bocco
Mfungaji Bora wa Mwaka - Meddie Kagere
#MOAWARDS
Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
29 май 2019