Тёмный
No video :(

Dakika 10 Za Maangamizi - BANDO MC | Planet Bongo 

EastAfricaRadio
Подписаться 506 тыс.
Просмотров 544 тыс.
50% 1

#Dakika10ZaMaangamizi #EARadio

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 397   
@oscarmuhumenya1345
@oscarmuhumenya1345 4 года назад
Unaweza ukafaa njaa cku ya msba ako wakapika pilau kama umeskia kipande icho gonga like twende sawa
@johnizoboy
@johnizoboy 5 лет назад
The best rappers waliotisha zaidii.. 1. Manengo 2. Chuma boy 3.Bando Mc 4. Category
@kulwamkole7400
@kulwamkole7400 5 лет назад
baraka john hapo kwenye 1 . anakaa dizasta vina mfuatilie man
@msimbanimohammed4586
@msimbanimohammed4586 5 лет назад
Bila kusahau Cado kitengo Nacha
@crystopherjoenas
@crystopherjoenas 11 месяцев назад
𝙲𝚑𝚎𝚔𝚒 𝙳𝙺𝚣𝙼 𝚢𝚊 𝚂𝚝𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚅𝚒𝚗𝚊
@official_alipipitz347
@official_alipipitz347 5 лет назад
shy town city stand up for upcoming super hiphop star!! aiseee siamin mach yang kama kuna mtu alienimwagia maji kweny birthday yang leo anaskika eastafrica fm😂😂 nakubaliiii xana
@kagileman5798
@kagileman5798 4 года назад
Nimegundua marapa wengi wanamtaja Diamond kweny ngoma zao
@archduke4564
@archduke4564 4 года назад
Kweli kbs
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 10 месяцев назад
Japo ao ma k hawataki kulisikia jina ilo linawachefua hahaha
@michaelmg440
@michaelmg440 5 лет назад
Duhhh n balaa Vijana wanapenda chura kuliko samaki
@issamuragemurage8847
@issamuragemurage8847 5 лет назад
safi sana ongeza kipato ili uwe kama diamond
@saidmnyama7619
@saidmnyama7619 3 года назад
Wewe umekuwa kama daimond au unaongea usenge
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 5 лет назад
Bando Mc Ni wamoto kushinda jua🔥🔥🔥
@sixtodix8026
@sixtodix8026 5 лет назад
Da huyu jamaa noma sanaa et vijana wanapenda chura kuliko samaki,,,msumari una nchi sita ila hatumjui rais wake
@ezrajay9517
@ezrajay9517 5 лет назад
Dada unaekaa mwanza nishushie nyegezi 🤗🤗🤗😂 dullar we ulizan natukan bro Huhhh bando Mc umeua atar bless up
@charlesdeus57
@charlesdeus57 5 лет назад
Asee nme enjoy kinoma !! Mc bando ni balaa.. Kama vp wakupe time lingine uue tena🔥🔥
@abdulrahmanhassan3825
@abdulrahmanhassan3825 5 лет назад
Dogo anachana kama Langa kama umeliona hilo wacha like yako hapa
@philipmchina6919
@philipmchina6919 5 лет назад
@bando_mc see you unajua sanaa mdogo wangu kila la kherii unatishaaaaaaa mzeyaaa....utafika uanapostahili nakubali michano yako..iko poa na unanata sana...na Biti 🔥🔥🔥👊
@dadychaps7527
@dadychaps7527 5 лет назад
Unaweza kufa njaa , na kwa msiba wako waka pika pilau! 😁😁😁🍗🔨🔥🔥👍💪 Bando ni Hatari sana . Big up bro.
@paulmaliyatabu5069
@paulmaliyatabu5069 Год назад
Bando ninomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we upo 3 bora
@mkomaxbizzy9885
@mkomaxbizzy9885 2 года назад
Aah bando umetisha mpaka wakina nani wanahanya tunaxubili corabo ya wewe n kaligaph jones
@voicevirals9256
@voicevirals9256 5 лет назад
U hit it kijana..... wewe ni star tayar
@meshack2559
@meshack2559 4 года назад
Jamaa salute kwake mzee ,huyu ni fireee motoooo
@georgemagori2158
@georgemagori2158 5 лет назад
Mtuleteeni Nala Mzalendo ni hatari Mtajuta kumfahamu huyo ninja Kiukweli
@yusuphkassim4766
@yusuphkassim4766 5 лет назад
nomarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr sana hawa ndo wahuni wakuwaleta hapa
@rashidhamis9057
@rashidhamis9057 5 лет назад
Wanangu toka town bando kawa wa moto kushinda jua yani dogo snazzy Jr
@hamadrama9106
@hamadrama9106 5 лет назад
Bando Mc mhun umeuaaa sana an 'ukiona ndoto hazitimii endelea kulala
@laurentibonifasi8849
@laurentibonifasi8849 5 лет назад
Dah... Dula izo ves ucwe una zkat maan ndy utam mwnyew uwo
@mbishitrump5621
@mbishitrump5621 5 лет назад
Dulla mnazingua kinoma.. Mnakata kata mno asee
@josephleonard2735
@josephleonard2735 5 лет назад
Nomaaaa band MC your the best ✊
@Jersonjhn
@Jersonjhn 3 месяца назад
Bando nakukubar sana 🎉🎉🎉🎉
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 5 лет назад
Shy town Oyeeeeeeee, Bando Mc umetisha xana Endelea kuiwakilisha shy town, Noorah kasepa jumla, Saf xanaaa,,
@farajajames12
@farajajames12 5 лет назад
Dogo mkari sana keep going don't give up unakuja kuwa rap mkari sana hapa bongo
@francisnyeriga
@francisnyeriga 5 лет назад
Siku ya kwanza nakusikia unachana nikaamini utafika mbali na nikakuambia.Upo vizuri
@mwiguluzabron1414
@mwiguluzabron1414 5 лет назад
nakubalii sana bando mc umefanya maunyama yako keep it up shy stand up
@ibrahimdiwanonlinetv1430
@ibrahimdiwanonlinetv1430 4 года назад
GIDZILLAH IS BACK..... KEEP ON KEEPING ON DUDE
@mullerrbn4852
@mullerrbn4852 5 лет назад
Huyu jamaa anajua atariiii fireeee
@alfredmsambaa1443
@alfredmsambaa1443 5 лет назад
Dj,kazngua mbn ajachangamsha beat,sema bando fresh mwanang umetisha..
@ramaally925
@ramaally925 5 лет назад
Dura tunakuomba umludishe week ijayo hiyo jamaa balaaa namfananisha na bushooo ninja mistari yake 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥BANDO MC NOMA...
@gracekayanda2833
@gracekayanda2833 4 года назад
Bando nakubaliii mkuuu hip hop ayache iwe namba 1
@gracekayanda2833
@gracekayanda2833 4 года назад
Daah hip hop tishaa sana
@aziziabdur3821
@aziziabdur3821 5 лет назад
noma saanaa bando mc by killer mc m mwenyw ntsha sn kwakulap
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 5 лет назад
Jamaa yuko poa!! Ila na flor za Bishop ninja!! Kama tungekua tunasikia kwa redio tu nadhani tungekua Boshoo!!
@naggaidb
@naggaidb 5 лет назад
Dullah uyu arudie tena sio kwa moto uo 🔥🔥🔥 shytown in the house
@elizabethkihumbe7420
@elizabethkihumbe7420 4 года назад
Yuko poa sana
@elizabethkihumbe7420
@elizabethkihumbe7420 4 года назад
Umeonaaaa
@maedsonmahonge122
@maedsonmahonge122 5 лет назад
Mwanangu mnafinya sana... Maneno mengine sio matusi... Huyu jamaa anabidi apambanishwe na boshoo
@vdjskjack2543
@vdjskjack2543 Год назад
Watching from Kenya
@yohanampayo2182
@yohanampayo2182 3 года назад
One of my favourite Mc I'm frequently watching his DK 10 session
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 5 лет назад
Kama na ww umemkubali like tafadhali
@pascalmkindwa7908
@pascalmkindwa7908 Год назад
Mwanafunzi mweupe kwa kingeleza anaitwa whitedent🥰🥰🥰
@kutosidenis
@kutosidenis 5 лет назад
Leta Kaa la Moto
@markshuk2421
@markshuk2421 4 года назад
Waazi
@mussasamson4398
@mussasamson4398 5 лет назад
Bando wewe ni nyoko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mitterrandsebaziga3187
@mitterrandsebaziga3187 3 года назад
BANDO MC tunaku kubali kutoka marekani. Ndomaana napendaga hip hop kuliko kila kitu.
@paschalkadama8155
@paschalkadama8155 5 лет назад
Watu tunawatoa mbali Sana Dogo Nimemkabidhi mikoba yote
@hangawizzy2204
@hangawizzy2204 5 лет назад
Ebana Bando Mc noma But i'm the one who can chana ile mbaya zaidi ya mbaya
@frankfabian769
@frankfabian769 3 года назад
Mimi bando nakukibalii sanaa toka long
@hassanomar1041
@hassanomar1041 5 лет назад
Bando ukosawa kaka ila vibe limekupanda ukapiga mistari ya kaya na ujue kwa radio zetu za Africa utakatwa maneno (editing). Alafu hutopewa air time yakutosha utaonekana muhuni. Hilo niwazo langu tu kwako Big Up sana bro.
@hamadrama9106
@hamadrama9106 5 лет назад
Bando Mc mhun umeuaaa
@MussaEzekiel
@MussaEzekiel 4 месяца назад
Huyo bando ni noma sana vijana wanapenda sana chura kuliko samaki
@felicianbwinyende4884
@felicianbwinyende4884 5 лет назад
Duu kweli wew BANDO ila sio bundle LA halotel#kunyenyua mic
@MantonyKatana-mv1nm
@MantonyKatana-mv1nm 6 месяцев назад
Umeweza❤❤❤
@robertelim1172
@robertelim1172 5 лет назад
Bando ametisha kinoma.Eeeh bana unakuja vizuri mzee wangu!
@RojazMwendamseke-wy8up
@RojazMwendamseke-wy8up Год назад
Nakubali sana bando
@ramakond2669
@ramakond2669 5 лет назад
Daaaaah jamaa yupo poa sana
@danieljulius1573
@danieljulius1573 5 лет назад
Demu wako siyo mwalimu lkn kila mwezi ana kipind
@PetroSamuel-rl9cq
@PetroSamuel-rl9cq 3 месяца назад
Mwanangu bando mc hunaweza weza sana
@bongotrends255
@bongotrends255 4 года назад
Nasio kila mzungu mweupe wengine wazungumzaji
@alexgodlove776
@alexgodlove776 2 года назад
Umetisha bando
@gabrielurioh4349
@gabrielurioh4349 3 года назад
Hii bando uliuwa bro nakubal
@adrianokahigi2083
@adrianokahigi2083 5 лет назад
Xema bando mc nigga 👍👍👍👍👍 kijana wng uko vzr xanaaaa mwanangu nakuombea ufike mbali xanaaaa
@cathbethswai80
@cathbethswai80 3 года назад
best1 on planet bong🔥🔥
@Benchmarklt01
@Benchmarklt01 5 лет назад
Oyooooo shy town ...jamaaa amejitahid san
@Benchmarklt01
@Benchmarklt01 5 лет назад
@@BandoMC poa bando nam n wa shy jap now nik town....nakubal san wasanii wa kwetu kaz mwanangu suppt yet kam mashabik wa hiphop tupo👏👏👏💪💪💪
@seifbaus7
@seifbaus7 5 лет назад
Huyu jamaa noma sana,hutuka baba wasomeshe...
@damisonelly5236
@damisonelly5236 4 года назад
Nakubali Moto wako brother 🔥🔥💥💥
@sixtodix8026
@sixtodix8026 5 лет назад
Mwadela bhabha,,,home boy salute to you
@sixtodix8026
@sixtodix8026 5 лет назад
Karbu ibinzamata kaka
@dicksonakyoo8222
@dicksonakyoo8222 Год назад
Bando Kuna dogo mmoja huku anajiita YUZZO MWAMBA anapiga flowing style yako
@lospanewsupdates3142
@lospanewsupdates3142 5 лет назад
Hatari sana
@rama2ification
@rama2ification 5 лет назад
Zaidi ya 🔥🔥 bro...mistari yako kaa mishkaki ya mpembaa mitamuu flo zako tamu mistari mikari
@forextanzaniatv4459
@forextanzaniatv4459 5 лет назад
Hiki kichwaa nomaaaa
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 лет назад
kafanya eid iwe nzuriiii
@suleimansaid4503
@suleimansaid4503 Год назад
naskia miguno kutoka Wana ila maji hayana kiuno mbna kwetu yanakatika snaaa ... kmmko snaaa bando 😂😂😂✊
@kadulosaid9277
@kadulosaid9277 5 лет назад
Kidogo kajitaid BANDO MC het diamond no toch mbona anawaka Waka 😂😂😂
@daudievarist5574
@daudievarist5574 Год назад
Bando noma sana
@josephsebastian6324
@josephsebastian6324 4 года назад
Wasukuma bhana dah kila kitu wao Aisee Fd Q mala kala huku bando kidogo msodoki sitaki kusema hao wengine wasukuma wanasukuma huku na kule duh!
@jaspernyangasi92
@jaspernyangasi92 2 года назад
Mkali kinoma
@JacksonPaul-lo9qs
@JacksonPaul-lo9qs Год назад
Unyama wa shina❤❤❤
@behindthecmera4659
@behindthecmera4659 5 лет назад
nakubali nakubali mwamba BANDO MC
@francypol2245
@francypol2245 5 лет назад
Demu mwenye mimba ukimchunguza ndio utapenda....unaeza kuta anaish unguja alafu anakula pemba....
@nyatkanyat9470
@nyatkanyat9470 5 лет назад
Huyu jamaaa atar sana
@martinsilwimba4282
@martinsilwimba4282 5 лет назад
Dulla planet mnazingua sna kukatakata hayo maneno huku ni social sio on air radio anaeingia huku manake ni ktu mzima ajiandaek kukutana na kila kitu sio mnakatakata maneno use* mtupu acheni tabia ya kukata maneno pili Bando mc mmepa biti nyepesi mno mwa mwi tatu jamaa anajua nampa 70% awasikilize mbeya boy na Dizasta vina
@abbasruhamo2258
@abbasruhamo2258 4 года назад
endeleen kuleta hawa upcoming maana wakongwe wameishiwa kabsa
@boyjopar8717
@boyjopar8717 5 лет назад
Mshikaji nimemwelewa sana, tuache unafki anaweza!!!!
@boyjopar8717
@boyjopar8717 5 лет назад
Pamoja kk, tupo pamoja ktk hio tasnia japo huku bongo Flava
@sadamhussein3927
@sadamhussein3927 4 года назад
Dah brother your the best rapper
@gregorykidali8996
@gregorykidali8996 10 месяцев назад
Ati msumari Una nchi sota ila hatumjui rais wake 🎉💯🙌🏽
@babigotz9319
@babigotz9319 5 лет назад
Vijana wanapenda chura kuliko samaki walio kubaliii iyooo sema oyoooooooooooo
@jameskazuba6591
@jameskazuba6591 Год назад
Hayo maandishi yanayopita yanaziba video husika
@patriceenos8681
@patriceenos8681 5 лет назад
Wa kwanza kwa hii mitikasi
@durascohussein8549
@durascohussein8549 3 года назад
oya huyu mwamba ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@degalaxymsahel9277
@degalaxymsahel9277 5 лет назад
Hatari Sana mwanaume hata ukiwa na nguvu huwez kuvunja ungo
@rama2ification
@rama2ification 5 лет назад
Duu jamaa mkali Sana...kila nikimsikiliza namuona mtamu zaidi ya Jana...sema bando mc
@nasibumwilafi8681
@nasibumwilafi8681 5 лет назад
Da Kali sana unaweza kufa na njaa alaf siku ya msiba wak watapika pilau
@frankgaspar9688
@frankgaspar9688 4 года назад
Hata jua liwe kali vipi huwezi kukivisha kofia kichwa cha chini
@johntyson1330
@johntyson1330 5 лет назад
Uko vizuri bando
@mudysuguru6267
@mudysuguru6267 5 лет назад
Hahahhdahahahah mwanaume ataawe nanguvuvipi hawezi kuvunja ungo Hahahahahahahahahahahaah like this
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 5 лет назад
Jamaa yuko vizuri.
@albertochipande1994
@albertochipande1994 4 года назад
Wa mozambique gongeni line apa ili tujuane😷
@kevzmagrazz893
@kevzmagrazz893 Год назад
Kama ndoto hazitimii endelea kulala 😂😂👌🔥🔥kaa la Moto huyu dogo
@jullyusyshillatu5789
@jullyusyshillatu5789 5 лет назад
Now sanaaaaaa shy town on the map now .Bmt Mashala
@jacksonburiro5076
@jacksonburiro5076 3 года назад
Noma san
@dangotesam9845
@dangotesam9845 4 года назад
Aisee, unajua kunata na biti, Zaidi ya vile Mugabe alinata na kiti!
Далее
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
Dakika 10 za Maangamizi / Toxic
10:58
Просмотров 617 тыс.
Dakika 10 za Maangamizi  - Matrex | Planet Bongo
12:40
Просмотров 214 тыс.
Dakika 10 za Maangamizi na Bwana Nyau | Planet Bongo
12:43
Bando MC Akichana Kwenye Beat Ya Marioo Chibonge
16:46
Просмотров 220 тыс.
CHID BENZ..... PUNCHLINE / MICHANO
9:17
Просмотров 177 тыс.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI : BOSHOO
12:13
Просмотров 505 тыс.