Тёмный

DAKIKA KADHAA NA DJ FETTY : SIO KWA SABABU NIMEOLEWA 

Gangana Info Channel
Подписаться 371 тыс.
Просмотров 124 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 184   
@yohanastephano6935
@yohanastephano6935 2 года назад
Namkubar sana fet
@asetinyjohn5175
@asetinyjohn5175 4 года назад
Mungu fundi aisee Fetty she is very Beaulf
@maryluvanda784
@maryluvanda784 3 года назад
Nakupenda bure dada fetty nataman nikuone siku moja
@nasrisadeeqnsm4780
@nasrisadeeqnsm4780 4 года назад
Fetty umefanya poa kuacha u dj safi sana,,,,,,,,,beautiful fetty
@kennedytarimo1814
@kennedytarimo1814 4 года назад
Sijaona best female DJ kama DJ fetty
@mcdondosha4151
@mcdondosha4151 4 года назад
Dondosha like kama umemuelewa kidume aiembadilisa dj fetty kua na muonekano mzuriiiiiii na mavazi mazuriik
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 4 года назад
Kama unakubadi huyu ndio DJ № 1 wa kike 🇹🇿🔥🔥🔥gonga like 👍tuende sawa
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 4 года назад
Kama naw umesikia bro broo nyingi gonga like hapa tujuane
@ephraimrichard6701
@ephraimrichard6701 4 года назад
Apa lily ommy apa jonijo apa dj fety ni 🔥🔥🔥mondi yuko wapi avute uyu mtu wasafi pale
@samsonmusa7626
@samsonmusa7626 4 года назад
Ephraim Richard nahis huyu na real ommy wata introduciwa siku moja wasaf
@tiffajuma2880
@tiffajuma2880 4 года назад
Nakupenda my lv Dada mwaaaaaa.
@saumukaisi7003
@saumukaisi7003 4 года назад
Me nakupenda Sana Mana saut yako tu inanifurahisha
@mwasitiomary3696
@mwasitiomary3696 4 года назад
Dada lizuri hili Allah akuweke Inshallah
@jamsonadam2243
@jamsonadam2243 4 года назад
Kama umemuona kibonnge fetty gonga like
@ramdanally4837
@ramdanally4837 4 года назад
Ila fetty mrembo jamani.u dj ulikuwa unamweka kihuni sana.cheki sasa msomali alivyo waka
@ablysonco8850
@ablysonco8850 4 года назад
Dah...sister mzuri ww...na sasa umenenepa mpaka raha yan umekuwa mmamaaa la mamamaaa...
@allydamas3832
@allydamas3832 4 года назад
khalid mwanangu unajua kuhoji na huna maswal ya kinokoooo
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 4 года назад
So pretty
@amizomitonga4683
@amizomitonga4683 4 года назад
Fety mzr xn ila ndio maana anjibu kwa kujielewa kujiamini kujitambua love u fety
@reubenmasalukumalija9869
@reubenmasalukumalija9869 4 года назад
the best female dj
@petersynto8634
@petersynto8634 4 года назад
Mpaka leo hii sijawahi kumwelewa mtangazaji kama nilivyokuwa nakukubali yaani siwapendi clouds Ila kama utarudi ntalazimika kusikiliza/kuangalia ila ntafurahi zaidi kama utaenda wasafi yaani nadhani ntachanganyikiwa kabisa ,nakukubali sana Fety hasa sauti yako na namna unavyotangaza
@mossesrjohn1952
@mossesrjohn1952 4 года назад
Miss you my one &only lovely female dj in 🇹🇿
@slemanozil6724
@slemanozil6724 4 года назад
Mtu kwao na kwenu ww ni wasafii dj fetty karibu wasafii
@saidindaro5858
@saidindaro5858 4 года назад
Fetty namkubali san
@britonngale6644
@britonngale6644 4 года назад
Nampenda huyu mwanamke sana sijui nitampataje
@rashidmasoud6939
@rashidmasoud6939 4 года назад
Oyaaa wangapi tunataka kumuona dj fetty usafini
@pancrasmwenda7307
@pancrasmwenda7307 4 года назад
Redio ya vitoto hyo hawez kwenda
@omariomari8361
@omariomari8361 4 года назад
Huyu Sister nimemkubali, kwanza hajaweka kucha bandia inaonesha anapenda kufanya kazi mwenyewe bila tatizo
@rehemakulaba495
@rehemakulaba495 4 года назад
Nimekupenda sana huyu dada dah
@mekujose8532
@mekujose8532 4 года назад
Huyu dada mzuri sana jamani.
@josephsiwale7252
@josephsiwale7252 4 года назад
daaaah sister nisha kukumbuka be blessed
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 года назад
Oyoooooo Wcb 4life✌❤❤ karibu na tunakusubiri kwa hamu kubwa sanaaaa❤❤❤❤
@felixjunior4772
@felixjunior4772 4 года назад
Fetty kaneneeepa!love u
@paiwanjara3502
@paiwanjara3502 4 года назад
nakukubali sana sister we ndyo ulifanya nianze kusikiliza xxl
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 4 года назад
Sijui hakumuandaa yani kucheka tu amejiona ameshakuuuua. Mbona wengine wanaambiwa imba kidogo na anaimba. Ila yupo erious mnoo
@ramxeyfmhando7805
@ramxeyfmhando7805 4 года назад
Tumekupata bro' #DJ FETY
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 4 года назад
Fetty is Geniuz
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 года назад
Anagalia umevopendeza dadangu paka umevaa heleni kiremba good mama mia.
@yohanaikaya6218
@yohanaikaya6218 4 года назад
Sister nakuelewaga sana tokea s/m mshikamano
@hayalandherbstips7559
@hayalandherbstips7559 4 года назад
Thanks Gangana for I missed that girl kwa kweli..... #thebestfetty
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 года назад
Kamenenepa, Kweli hakuna mtu mwembamba
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 4 года назад
Tunashukuru kwa nasi ,tunaomba usisaha kusubscribe channel hii. Asante !
@davidmnyagwia4717
@davidmnyagwia4717 4 года назад
niko pamoja na ww bro newz zako za ukweli.take 5
@allyzuberi3169
@allyzuberi3169 4 года назад
nakubaliiii dj fetiiiii najskia poa kumuon dj mwenzng
@massoudmisana354
@massoudmisana354 4 года назад
best female presenter ever
@emmyemmycute6028
@emmyemmycute6028 4 года назад
Fetty akee umependeza mashallah
@zainabuswai3638
@zainabuswai3638 4 года назад
Fetty wangu😍😍
@lucasjames2102
@lucasjames2102 4 года назад
Hahahahaha mgahaw ilo nalo neno feeeee viaz au chapat je unamtaget nan mh bgp san nakuota usingizn mno
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 4 года назад
Ray c alijitambulisha DJ alipokuwa east African radio
@enockalphonce695
@enockalphonce695 4 года назад
Dj fetty well come WCB fm&Tv
@alijuma6502
@alijuma6502 4 года назад
Umenenepa hongera!
@alijuma6502
@alijuma6502 4 года назад
@Change Mindset konda wewe wanaume tunapenda minyamanyama..maradhi yapo tuu uwe mnene au mwembamba kama unaumwa unaumwa tuu!!
@liliandaniel129
@liliandaniel129 4 года назад
Nampenda Huyu dada anajua kujielezea na hiyo sauti sasa ni nzuri sana .wanaiga lakini hawamfikii .
@btwelveisack6214
@btwelveisack6214 4 года назад
Fety wewe kiboko penyee kufanana na wewe ni clauds tuu 🔥🔥🔥🔥penyee levels tenah xxl embuu njootuwe kubwa kuliko 😊😊wewe wa kwetu👍👍👍👍
@teddyteddy6309
@teddyteddy6309 4 года назад
Nilivyokuwa namsikia nahiyo Sauti yake Tamu tofauti nanilivyomuona yani nilijua kama Msela flani hiviii Fetty wewe 😘😘
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 года назад
Teddy Teddy Enzi hizo alikua msela balaa saivi kazaa kanenepa kawa mkubwa yaanikipindihicho huwezikuwa na katekno kabatani alafu kana memory huwezikosa Picha yahuyu dada ile ambayoamesuka vinywele flani vya mkono alafu vikaning'ing'inia kwambele
@judieeissinika9365
@judieeissinika9365 4 года назад
Aiseeeee alikua motooooo
@gasparmoris5334
@gasparmoris5334 4 года назад
@@veronicadaniel1122 Hahahaaa umenikumbusha mbali sanaaaa
@sophiajackson5001
@sophiajackson5001 4 года назад
Teddy Teddy namimi naona ina mabadiliko sauti yake
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 Месяц назад
​@@sophiajackson5001wacha kwa sasa ahudum clouds FM kumenoga hatari
@enockchaula6292
@enockchaula6292 4 года назад
Eti nakuoa wew acha kufanya unachofanya
@justinmganiwa2790
@justinmganiwa2790 4 года назад
Humble and innocent
@nassorhamad5225
@nassorhamad5225 4 года назад
We Dada kwa uzuri huo na navokupendaa kikutana na wewe itakua msala kwangu takugandaa kwa mtutu ndo tabanduka doooh natamani skumoja nikuone
@tinasulle4240
@tinasulle4240 4 года назад
Hahahahhaha pole
@saraelius7962
@saraelius7962 4 года назад
Upo good mumy
@seraphinemyowela9210
@seraphinemyowela9210 4 года назад
dada wa "umenielewa" ktambo tangu moro - forest hill
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 года назад
Natamani sana huyu Mdada nimuone WASAFI fm
@saumukaisi7003
@saumukaisi7003 4 года назад
Wasafi ananukia huyu namuona kabisa
@zubedaseif7749
@zubedaseif7749 4 года назад
@@nationalbeautiful ina maana hii interview haukuilewa amesema yuko kwenye mikakati ya kurudi kituoni very soon
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 года назад
Dah utangazaji ulimpausha Dada kangara san
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 4 года назад
@@zeidytheislandgirl7616 pengine alikuwa halipwi vizuri
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 года назад
@@nationalbeautiful ashasema mutamskia karibuni tu. Hebu rudia umskize tena. Wcb 4life✌❤😀
@rahmanramadhan8483
@rahmanramadhan8483 4 года назад
Feeeh kwa ulivyo nenepa kiukwel utopendeza ukisimama kwenye strng / kabl ya kulid upungue kdg nakumbuk vile vinyunyu vyako ujue na mitravota.
@princesele6209
@princesele6209 4 года назад
Axeee kiukweli fetty 2kiachana ndo jina la mamangu kazi zake ndo zilizonfanya nimpatie mwanangu hilo jina nafrahia xana kuitwa baba fetty
@bahatibarton9383
@bahatibarton9383 4 года назад
Sasa endeleen kubandika mikope kama mfagio wa matete,mikucha kama mishale,make up zinakata kona kam skuna za yondo sister alafu bwana ako anapenda vitu natural kama hivi kama fety
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 Месяц назад
😂😂😂😂
@obiboniface9601
@obiboniface9601 4 года назад
Kila mtu anawaza tofauti na kila mtu na ndoto yake
@lucasjames2102
@lucasjames2102 4 года назад
Uyo me nampendag tu
@augustinomgonde1505
@augustinomgonde1505 4 года назад
Kipaji halisi hiki.
@yusufuhalfanseti7118
@yusufuhalfanseti7118 4 года назад
Nakuelewa sana
@banazoone2744
@banazoone2744 4 года назад
Kafanana flan na Baby Kabae
@wazirihamdu6106
@wazirihamdu6106 4 года назад
True
@williamernest2718
@williamernest2718 4 года назад
🙌🙌🙌🙌
@jamespaschal8899
@jamespaschal8899 4 года назад
Jmn huyu toto mzuuuuuuriii
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 года назад
Sijapenda majibu ya fetty umenikera sana unazingua.unashindwa kujibu maswali unajifanya mach now sana
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 года назад
Much know
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 года назад
Asante kasimu rajabu
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 4 года назад
@@kassimrajabu7805 asante sana jombaa kizungu kigumu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 года назад
@@hamzaadrin941 ya welcome boss
@iqramisumair9088
@iqramisumair9088 4 года назад
We n kuma
@samwelirobert2576
@samwelirobert2576 4 года назад
Hapo alipomaliza sijui unaniigizia wapi sijui
@johnmabeja747
@johnmabeja747 4 года назад
Kuna kitu nyuma
@STDz
@STDz 4 года назад
Content 🙌🙌🙌🙏🏿✊
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 года назад
Geez mabovu
@dullyzungu536
@dullyzungu536 4 года назад
Nani kagundua mwingine, Fetty kanenepa na dimpoz zimepotea
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 года назад
Navuta picha akiwa anaongea na madame Rita,very confident
@nurudovino288
@nurudovino288 4 года назад
Harf kama ndugu hawa wamefanana san
@mchopsmagott1754
@mchopsmagott1754 4 года назад
Yahh kuna mfanano fulan na madame Rita
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 Месяц назад
​@@mchopsmagott1754usukuma umo, Fetty msukuma, Madame Rita naye mama ake msukuma ❤❤❤
@adamukiremi6103
@adamukiremi6103 4 года назад
Namkubal sana
@selemanrmahangaiko3117
@selemanrmahangaiko3117 4 года назад
yaan fet unavoongea kama unatanganza
@kezbjanja4521
@kezbjanja4521 4 года назад
Nimekumbuka hile freestylee ya godzilla &mkatoliki ilkuwa ninoma sana
@eliaswegero234
@eliaswegero234 4 года назад
kez b janja sio godzilla ni nikki mbishi
@moudrickhemed6699
@moudrickhemed6699 4 года назад
hii mdo u tb chnl yakwanza ambayo haijawàh kuniboa
@youngmreno9931
@youngmreno9931 4 года назад
Kamekua kazuri zaidi haka kabinti
@stanleygeorge6638
@stanleygeorge6638 4 года назад
Majibu ya kiuni hayo fetty
@geja8708
@geja8708 4 года назад
Married?
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 года назад
@Zawadi Issa nooo
@mwawiyaomari3796
@mwawiyaomari3796 4 года назад
Unadhani unaweza akawa single mpaka Sasa the way she is
@hamzamdoe5242
@hamzamdoe5242 4 года назад
Alyemuoa kamshawishije huyu mana c mchezo
@lazarmakombe7009
@lazarmakombe7009 4 года назад
Nikimuona nakumbuka kile kichapo walichoshushiwa na Adam mchomvu
@abassking8296
@abassking8296 4 года назад
Zile ni kiki tu wao waliandaa mchomvu alisema Kuna siku
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 года назад
Ilikuwaje
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Yaani ktk yote aliyofanya CLOUDS umekupmbuka hilo tu , Jitahidi kukumbuka ya maana .
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 года назад
@@chayogasperi9783 mwambieee
@zeidytheislandgirl7616
@zeidytheislandgirl7616 4 года назад
Ilikua kiki kukuza pindi chama LA wana
@jumbebakari1364
@jumbebakari1364 4 года назад
Zuhura yunusu wa bbc zuhura yunusu wa claudis
@petermahoiga933
@petermahoiga933 4 года назад
DJ FETTY 1994 LASESCO
@hajihamisi3722
@hajihamisi3722 4 года назад
Fetty umejibu vzr san kwani diamond yeye nan ukizingua kwenye biashara ya mtu hata yeye anakuzingua kaeni mkijuaia mondi ameikuta clouz sawa kabra ya yeye warikuwepo wengine ..
@luhanyamipawantobi6888
@luhanyamipawantobi6888 4 года назад
Clauds ndo inanapata hasara ya kupunguza mashabki,,,tujiulize hivi Kuna watu wangap wanampenda rayvany,mboso,lavalava,mond...USIPOPIGA NYIMBO ZA HAWA WATU WOTE lazma mtu atatafuta channel nyingine ili asikie...tayar umepoteza fans hapo.....ndio maana wasaf wanacheza NYIMBO za maadui zao wote
@magrethkimambi8007
@magrethkimambi8007 4 года назад
Sure
@tuwajafar5687
@tuwajafar5687 4 года назад
Wewe nimpumbavu. Fety hakumponda mondi. Wewe atakuwa nimmakonde usiojuwa kuoga walakupigamswaki. Kaziyenu Nukula wanyama ambao mungu amewakataza Kuliwa!!!
@magrethkimambi8007
@magrethkimambi8007 4 года назад
@@tuwajafar5687 tafazali sema kabila..lako.. wamakonde hatuli wanyama nyau kbc ww
@dullerahmedy6325
@dullerahmedy6325 4 года назад
Kwan nan alsema mond alkua wa kwanz Kbla ya clauz kkaa mond nae ni binadam pia anahak yake hauwez ukakubal kulaliwa milele yy aliwaekeza clauz ndio wakaanza kumletea mond ila elewa pia mondi mkubwa kwa sasa tuache unafk
@catherinehaule8030
@catherinehaule8030 4 года назад
Dada mzr huyu
@stevenmathias8723
@stevenmathias8723 4 года назад
Wakwetu shinyanga fatma hassan
@robertgamuga1964
@robertgamuga1964 4 года назад
Meatu moja hiyo Mkoa wa Simiyu kwa sasa
@almasially6509
@almasially6509 4 года назад
NAKUPENDA DJ FETTY
@respiciuserick7486
@respiciuserick7486 4 года назад
Wadau nyimbo gan mond alimtaja kicheko cha fetty???
@catherineadam380
@catherineadam380 4 года назад
Nimpende nani
@catherineadam380
@catherineadam380 4 года назад
Nimpende nani
@sambayoo6441
@sambayoo6441 4 года назад
Nimpende nani
@magrethkimambi8007
@magrethkimambi8007 4 года назад
Mmh
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 4 года назад
Nimpende nani
@cosmofurbesbeats1474
@cosmofurbesbeats1474 4 года назад
Sema nimemuona Fetty, naona kama anapaswa akae wasafi ivi
@ancy2158
@ancy2158 4 года назад
P¹ sana dj #FETTY
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Kwahiyo kumbe haya ya dudubaya yanafanyika kweli .
@mcdondosha4151
@mcdondosha4151 4 года назад
Umezingua hajata habari ulizopost
@chriskingnampoto3214
@chriskingnampoto3214 4 года назад
aaah chibu ndo aachage huyu
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 4 года назад
FETI HEBU RUDI BANA TUMEKUMIC
@mjombamutukula5011
@mjombamutukula5011 4 года назад
linus rohomoja wao
@hamisunited4489
@hamisunited4489 4 года назад
Unafaa kuwa mke na kuwa mtu mzur tu
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
Hyo Nimke wa mtu kk
@abdallahsalim8475
@abdallahsalim8475 4 года назад
oj
@asmaally8353
@asmaally8353 4 года назад
Kwa matatizo ya ngozi,uzazi,Michirizi, makovu,nyama uzembe, kuongeza shape, hips,n.k Dawa zipo, karibu ofisini, sms/whatsap 0693_330284
@komb19841
@komb19841 4 года назад
*JE WAIJUA HIPAY NDO HABARI YA MJINI WEKEZA KIMTANDAO USIPITWE* JIUNGE LEO👇👇👇 chat.whatsapp.com/Diq2YXvlypQ86V2jOX66Fz * *KWANINI UHANGAIKE INGIZA PESA UKIWA HATA UMELALA*
@faridhassan7401
@faridhassan7401 4 года назад
Very talented but waist it
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 года назад
Si vyote a man can do a woman can do hzo akili mbovu ww mtoto wa kislam kumbuka
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 года назад
ni kweli,mwanamke anaweza kubeba ujauzito bali mwanaume hawezi.
Далее
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,9 млн
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MTOTO WA AUNT EZEKIEL ATOA SIRI YA BABA YAKE
10:25
Просмотров 1,2 млн
MASANJA COMEDY INALIPA KULIKO UCHUNGAJI
36:21
Просмотров 2,7 тыс.
SAJUKI
7:00
Просмотров 202 тыс.