Тёмный

MTOTO WA AUNT EZEKIEL ATOA SIRI YA BABA YAKE 

Cheni tv Online
Подписаться 261 тыс.
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 446   
@grasianatesha6405
@grasianatesha6405 5 лет назад
huyu dada Nampa asilimia 100 umemjibu Safi mwanamke Bora . wewe Ni wa kipekee kwenye bongo movie. hongera sana
@madawakemikali776
@madawakemikali776 5 лет назад
Wasituzinguwe.....huyu jamaa yuko vizuri sana kwa kazi yake.....kisha sauti iko real....a man voice should be like that....kidume cha mbegu
@wahabmkazi7902
@wahabmkazi7902 5 лет назад
Mtangazaji yuko vizuri sana tena ako na sauti halisi ya mtangazaji wa kiume tatizo watu wamezoea sauti zile za kutengeneza au kugeza. Huyu yuko real na anajua kuuliza maswali yaani yuko on point
@nassormussa1280
@nassormussa1280 5 лет назад
Ukovzur anty
@bukaone7507
@bukaone7507 5 лет назад
Yuko vizur sana
@barakakaduma8803
@barakakaduma8803 5 лет назад
Aunt umejibu maswali vizuri sana Hongera
@stellamsemo1020
@stellamsemo1020 5 лет назад
Aunt nakupenda!! Naomba mrudiane mlee watoto pamoja pls
@nsumbuleboniface8915
@nsumbuleboniface8915 5 лет назад
Bigup bro Mungu akufikishe mbali zaidi ktk kazi zako👏
@faustineimanigaba9391
@faustineimanigaba9391 5 лет назад
unastahili kuwa maman kbsa afu jinsi una answer ni kama bile strong woman and clever one HBD cookie na maman yako kipenzi,mutangazaji unataka kujuwa mengi kuhusu kuacana kwake na Iyobo aunty siyo kama wale wakiachana na mwenziyo wanamupakazia bwana hebu muelewe she is very humble even kwakusema nakupendeya bule aunty
@shirimacambodia184
@shirimacambodia184 2 года назад
Hongera sana kwa majibu yaliyotukuka dada.Nimebarikiwa kwa majibu yako ya hekima sana.
@selekidebe4385
@selekidebe4385 5 лет назад
Nakupend sana.ant Ezekiel Nampenda.sana cookie happy birthday 👑👗👡👡🎉🎊🎂🎁 namis kukuon cookie
@swauswaum2749
@swauswaum2749 5 лет назад
Nakupnda san
@laliaelulu1815
@laliaelulu1815 5 лет назад
Aunt Umekuwa rafiki yangu hii Interview najiskia kama nitazame mida yote fresh sana mwayaa Maana siri zako weka Moyoni.😍😍
@janemwansele1846
@janemwansele1846 5 лет назад
Lalia Elulu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Aunt umependeza sana wewe pamoja na mwanao. Happybirthday Cookie
@mahiraliseif8529
@mahiraliseif8529 5 лет назад
Elizabeth Mwandu mmh
@bakarkassim9242
@bakarkassim9242 5 лет назад
Elizabeth Mwandu
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
@@bakarkassim9242 nambie!
@joharyally4029
@joharyally4029 5 лет назад
Umependeza
@essaunkallar9524
@essaunkallar9524 5 лет назад
Pendeza xana
@sophiemassare6356
@sophiemassare6356 5 лет назад
i like the talk mama cookie yua bright en intelligent..... plz come back baba cookie nyumban pamenogaaaa
@salmamwinyimvua8915
@salmamwinyimvua8915 5 лет назад
salma mwinyimvua heppy mwanang
@nurudovino288
@nurudovino288 5 лет назад
Ndio maan watoto huwa wakikuwa hawawapendi wababazao kisa tabia za babazao Mungu nikuzie mwanangu na mie😍
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 5 лет назад
mtangazaji upo up xana big up bro
@yuzotv458
@yuzotv458 5 лет назад
mtangazaji uko poah sana kuuliza maswali yenye point.👏👏👏.
@abednegodasam6053
@abednegodasam6053 5 лет назад
YUZO MAPESA TV
@castrorcastror7477
@castrorcastror7477 5 лет назад
@regankimaro3787
@regankimaro3787 4 года назад
Manenoyakuambiw
@regankimaro3787
@regankimaro3787 4 года назад
@@abednegodasam6053 mann
@salimaathuman2257
@salimaathuman2257 4 года назад
Ebtoke
@Alexandphylly
@Alexandphylly 5 лет назад
I love this woman so much she is so smart.nakupenda sana aunty
@sittykassim7323
@sittykassim7323 5 лет назад
Waooh! Aunt umejua kujibu vzr sn
@dattitzfromtz6231
@dattitzfromtz6231 5 лет назад
Anti wewe nimama mzuri usikate tamaaa yote yanawezekana happy birthdaymy toto
@mako331
@mako331 5 лет назад
Aunt is smart and beautiful, pambana na maisha sister
@mamboleoanzurunimamboleoan6611
makoiga mg hjjhcc
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 лет назад
Anty Pambana na maisha kwa sasa kuachwa siyo ww wakwanza hata mimi mwenzio niliachwa nawatoto 3 nanilikuwa sina kazi lakini kwasasa nipo nakazi na sipo Tz nimeolewa naishi maisha ambayo sikuwahi kuishi uko nyuma funga buti mama Mungu yupo Pamoja na ww !Wastara hasumbuki
@zakyahya4645
@zakyahya4645 5 лет назад
Wasanii wa bongo kwa kuonjana onjana mmh 🙌🙌
@mrchakaramballdancer9616
@mrchakaramballdancer9616 5 лет назад
Zak Yahya acha kaka wanakanyaga 2
@Daphne362
@Daphne362 5 лет назад
HAPPY BIRTHDAY BEAUTIFUL PRINCESS COOKIE🎉🎉🎉🎉🎊🎊🎊🎊❤❤❤❤❤🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@hassannkhoma7897
@hassannkhoma7897 5 лет назад
Hello
@christinamkundi5077
@christinamkundi5077 5 лет назад
Daphne Chande woooh amedmsh kinymaaa
@halifajuma8123
@halifajuma8123 5 лет назад
Saf sana
@ashamusa943
@ashamusa943 4 года назад
Happy barthday
@esterlatiniel9948
@esterlatiniel9948 5 лет назад
nakupenda aunt hauna dharau kama wasanii wengne wanaodharau waandishi wa habari
@siyamunadhir3669
@siyamunadhir3669 5 лет назад
Makeup it amazing imetulia malipake 💄😍
@sureiamboo
@sureiamboo 5 лет назад
This presenter is doing good , keep up young man !
@gracedaudi2299
@gracedaudi2299 3 года назад
Bongomovie
@irenepatrickdavid5891
@irenepatrickdavid5891 5 лет назад
Waandishi wa sikuhz hamjui wajibu wenu khaaaaaaaaaa.....🙌🙌🙌🙌🙌
@mamandewa3674
@mamandewa3674 5 лет назад
Nakupenda sana aunt napia mamuombea maixha mazur mwanao akue katika maadili mema ukimtegemea mungu inalipa
@ritasospeterkati3427
@ritasospeterkati3427 5 лет назад
Hivi house of Star iko sehemu gani hapo dar? Aunt Ezekiel.
@tekkashibm1629
@tekkashibm1629 5 лет назад
You talk smart..and unajibu straight i like the talk
@sindanomagashi5874
@sindanomagashi5874 5 лет назад
ChrissBM 6ix9ine
@catenzeki678
@catenzeki678 5 лет назад
Napenda interview zote za Aunty Ezekiel.Hua anajibu maswali kwa ufasaha saaana.Big up dear
@angelarajab1314
@angelarajab1314 5 лет назад
Happy birth day cookie may u live to grow to many yrs
@junemuchiri609
@junemuchiri609 5 лет назад
This chiq is cute and mature n intelligent,what do men really want???😭😭😭😭
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 5 лет назад
Mtangazaji alijipanga maswali anti masha allah
@zabibuzabibu4444
@zabibuzabibu4444 5 лет назад
Mulicana kweli polesana
@stellafungo9711
@stellafungo9711 5 лет назад
Kumbe. Mmeachana jamani Poleni Sana eheee
@irenesese6968
@irenesese6968 5 лет назад
Nakupenda Aunt. unajielewa my
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 лет назад
Hee kumbe anti Ezekiel mzuri loh" mtoto wa kibongo weeeee
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 лет назад
Nampenda san my lovely sister #AuntyEzekiel
@njiokafaith6305
@njiokafaith6305 5 лет назад
,kube this girl uongea opa ivo
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ya hata mim nampendaga Kuna mtot wa baba yangu mdogo alikuwa anapendaga na wenyewe wamefanana sura shepu paka mambo yao hata mavazi Yao wkuvaa nguo fupi walikuwa hawajal I na wenyew wote wanaushepu
@hatamimnimempendabulejaman1596
Kitenge kizur wamependeza kama best yangu wanavaaga sale na mwanawe
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ant nilishawai muona laivu mzur mwenyewe
@hatamimnimempendabulejaman1596
Kidogo kidogo mwisho badaye mtoto naye anakuwa star
@abdulimalikhamadi1078
@abdulimalikhamadi1078 4 года назад
Mdada uko vzr
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Hizi media zinaingilia mpaka kuwauliza watoto mambo ya familia hii siyo vizuri
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 5 лет назад
Mtangazaji ana jisauti libaya ila anauliza maswali konki sana salute kwako Kaka
@hatamimnimempendabulejaman1596
Haha kweli rogathe omeona hee lalafu hilo Jina Lako zur Kuna watu nilikuwaga nawasikia wanaita hilo jina
@hatamimnimempendabulejaman1596
Hila mtu huwezi kila siku birthday ukafanya party Kubwa ndo inavyokuwa Leo ndogo kesho kubwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
Mtoto kakuwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
Hata mwanaume wa GIGY alisema analea bado vizur sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
Dai pia analea wanawe nado
@salomejohn8565
@salomejohn8565 2 года назад
Ant Napenda unavujibu kwakujiaminii
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 5 лет назад
Aunt nakupenda sana....mmependeza
@azizalazri1283
@azizalazri1283 5 лет назад
Jamani mrudiyanee tuuuu mbona yule Kk nimtulivuu sana alafuu mlipendezenaa vibayaa sana
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 5 лет назад
Nakupenda uant.kiukweli mmeachana sjapenda
@rehemasaid6876
@rehemasaid6876 5 лет назад
Kwakeli mm mwenyewwe nimeipenda sana mama hongera sana ant
@annakashelo8519
@annakashelo8519 5 лет назад
Anty nakupenda sana pia unajua sana kujibu maswali
@yoooyooo4270
@yoooyooo4270 5 лет назад
love cook na mama ake 😍
@blackisgold1200
@blackisgold1200 5 лет назад
She’s beautiful baby. Only that the mother dosent sound responsible
@fatmaissa6681
@fatmaissa6681 5 лет назад
Alichokiongea cook ,,Na mlichokiandika hapo juu ni tofauti kabisa waandishi hv mna nini lakn ??
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Hawajielewi
@hilarymafole6638
@hilarymafole6638 5 лет назад
Hawana akili hawa jamaaaaa
@patriciaemanuel3252
@patriciaemanuel3252 5 лет назад
Iyo inaitwa attention getting devices Kazi yake kubwa ni Kuhakikisha tunavutiwa kuisoma habari au kuiview video
@fettyRamadhani
@fettyRamadhani 5 лет назад
Fatma Issa na sisi tuache umbeya
@barakakaduma8803
@barakakaduma8803 5 лет назад
Fatma Issa Yani awa watu ni baraa kichwa cha Habari ni tofauti kabisa.
@jeniferlukas7346
@jeniferlukas7346 5 лет назад
Ukweli sina lakusema,,mana raha yangoma uingie ucheze,,,daaah mlipendeza,,niliwapenda jaman,,cjui kwann mmeachana,,daaah
@avagalslay985
@avagalslay985 5 лет назад
Mie na dada zangu tushawahi kupiga picture na aunt Ezekiel I love you aunty😘
@fettyRamadhani
@fettyRamadhani 5 лет назад
Mohammed Nassor hahaha wabongo bwana
@avagalslay985
@avagalslay985 5 лет назад
Wewe fetty kama ulikuwa hujui mimi ndio mbongo haswa upo nyonyo 🙅
@joleenmasha
@joleenmasha 5 лет назад
yaani kweli mumewachana duuuu mbaya sana nikosa gani kubwa lenye lilitokea mpaka kusamehana ikawa haiwezekani jamani mbona mungu sisi atusamehe kila siku lakini sisi binadamu hatuwezi
@piusmwachuvaka3490
@piusmwachuvaka3490 5 лет назад
Nakupenda uant huwezi amini na pia napenda sana kazi zako mungu akusimamie kwenye kazi zako
@dayanerrichy9842
@dayanerrichy9842 5 лет назад
big up kwa muulizaj wa maswal
@barkembarak9270
@barkembarak9270 5 лет назад
U are looking good my dear
@felisterjames1127
@felisterjames1127 5 лет назад
Iv jina lako halic nanai?
@lovenesselisante6035
@lovenesselisante6035 5 лет назад
black is beauty😘
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 5 лет назад
Sana my
@sk-wj9or
@sk-wj9or 5 лет назад
Nimekupenda. You hv changed. Naagiza Mama kukuunga mkono
@christinamnyili627
@christinamnyili627 3 года назад
Umependeza mama Cookie
@pendocharlse6164
@pendocharlse6164 2 года назад
Aunt we mzuri sana
@fatinasaidi5852
@fatinasaidi5852 4 года назад
Hongera aunt umekuzaaaaaaaa
@lovenessshaibu6129
@lovenessshaibu6129 4 года назад
Umekuza Dada yanguuuuuuuu kaza moyo munguyupo nawe Pppp
@neymermponde7810
@neymermponde7810 5 лет назад
Nakupenda Sanaa
@jeremiahjoseph2794
@jeremiahjoseph2794 4 года назад
Mwandish acha usenge sasa mtoto katoa sir gan hapo??fala wew
@masudimwana6107
@masudimwana6107 5 лет назад
Mashallah umependenza namwanao
@joymasaki1657
@joymasaki1657 5 лет назад
Nawapenda unnty na mwanao Mungu awqtunze mwaya
@elialucas6140
@elialucas6140 5 лет назад
happy birthday to you cookie
@khayraatkheir9599
@khayraatkheir9599 4 года назад
Nakupenda kwa sababu hujichubuwi tofauli na wenzio wengine wanao taka weupe wa dukani
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 5 лет назад
Mtt mzuri machaAllah 😘
@estherqueen5382
@estherqueen5382 5 лет назад
Exactly. Mama cookie
@frijeniasumbai9847
@frijeniasumbai9847 5 лет назад
Love you aunt....naienjoy jina la mtoto wako cookie...hahahaha
@lawratakida4821
@lawratakida4821 5 лет назад
Mbona watangazaji mnakua waongo kichwa cha habari ni tofauti na tukio lenyewe
@florakamagi4130
@florakamagi4130 5 лет назад
Eti jamaniiiiiii wanakella
@miriamabwao3062
@miriamabwao3062 5 лет назад
Nimependa alivyojibu maswali safi sana
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 лет назад
kumbe mmeachana kweli jamani nilikuwa nawapenda sana
@johnnyasingo3164
@johnnyasingo3164 5 лет назад
mbona nyie wauza sura wa bongo movie hamdumu kwenye mahusiano mmerogwa ama!
@ashanjaidi5157
@ashanjaidi5157 5 лет назад
John
@vumiliaobety9076
@vumiliaobety9076 5 лет назад
Duuh hatali
@halimaidrissa3689
@halimaidrissa3689 5 лет назад
mungu.awabariki
@gloriachristianshirima5001
@gloriachristianshirima5001 5 лет назад
Wanaume was kibongo Wanatesa na kunyanyasa wake zao ndo maana MTU akiachwa anakuwa huru
@johanithajacob8715
@johanithajacob8715 2 года назад
Yaahn Aunt ezekiel nakpndaga bure unajb unachoulzwa bax
@khadijabakari-q5w
@khadijabakari-q5w Год назад
Omulimu omulunge by lily
@christsflowe.r
@christsflowe.r 5 лет назад
Cookie is so beautiful❤️
@joycematonya1241
@joycematonya1241 5 лет назад
honger aunt kwa kukuza the cute baby
@ernowilliam7799
@ernowilliam7799 5 лет назад
Wanawake bwanaa!!!
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Mashallah, Aunty umedamshi mpenzi.
@yudithamchome5046
@yudithamchome5046 5 лет назад
U'r my everything😘😘😘😘😘
@missmoona4497
@missmoona4497 5 лет назад
Nimependa maswali yako mtangazaji very good
@hatamimnimempendabulejaman1596
Haha amenikumbusha best yangu anavyosema au anataka kumvutia aludi best yangu alikuwa anasemaga hivyo ukiacha a na mwanaume pendeza mwenyewe a one umeoendeza
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ndio wasanii wengi Sasa hivi Wana biashara zao hongera ant napenda biashara siku hizi
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ya hata sisi tunaijuwa mnampenda Sana wote hadi mtoto anajuwa
@hatamimnimempendabulejaman1596
Naupendaga huwo mtindo aliosukwa mtot
@hatamimnimempendabulejaman1596
Mama tutaiona Imetoka muda
@tinabellafashionz
@tinabellafashionz 5 лет назад
Nice 🌸🌸
@grecehuyukibanishida5595
@grecehuyukibanishida5595 5 лет назад
kusema kweli nakuomba aunt ezekili rudi kwa mumeo
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 5 лет назад
Kamuoa lini
@munalook4477
@munalook4477 5 лет назад
Comments mum thanks aunty Ezekiel.mungu akubarikie family yako mum.but naomba mkuwe na usiano mwema kwa Baba mtoto wako.namanisha hivyi mum kama Baba mtoto anakusaidia kulea , imagine ni Bora Mimi kama mm nimezaa na mtu hata maji kuletea watoto wake ni Ngoma.mungu aibaliki hio usiano aunty na usindisshe maombi kwa mola
@sophiamtaita7416
@sophiamtaita7416 5 лет назад
Mastaa hv mnapepo gani hamkali mkatulia na wanaume mliozaa nao mnataka kilamtoto awe na baba yake mnaona ndiosifa acheni ushamba kama mlikua hamtaki kuishi wato mnachanua miguu ya nini ushambamtupu mtakua mnazaraulika kilasiku 😎😎😎😎😎😎😎
@jenfan8781
@jenfan8781 5 лет назад
Sophia Mtaita acha kuhukumu watu mama Coz wew mwenyew n mwanamke cha msingi n kuomba tuuu
@wahidamuhamed9518
@wahidamuhamed9518 5 лет назад
Hongera sana kwako mama na mtoto
@omaryadamn4560
@omaryadamn4560 5 лет назад
Aunt mwanzo nilikua sikukubali kabisa ila baada kua na mtoto umekua tofaut kabisa afu unatumia busara nakupenda sana
@kurusumuissah2831
@kurusumuissah2831 4 года назад
Aunt wenimzuriii jamni mwaaa
@amomio8330
@amomio8330 5 лет назад
cookie nkazur mashallah😍😍😍😍
@SuperKibwana
@SuperKibwana 5 лет назад
Powerful message to mothers for sure.
@mourinenekesah4002
@mourinenekesah4002 5 лет назад
so cute mum cookie
@kidawaramadhan2801
@kidawaramadhan2801 5 лет назад
Du!! Mllikuwa mnapendeza sana na moze.
@lilianhumphrey4806
@lilianhumphrey4806 5 лет назад
nakupenda saana
@iammusic3404
@iammusic3404 5 лет назад
Mtoto wa aunt ezekiel ni #mzuri❤❤❤❤❤ asee
@lisanide6339
@lisanide6339 5 лет назад
NAKUPENDA SANAAA AUNT EZEKIEL UNAJIELEWA NA UNAJITUMA NA UNAJUWA THAMAN YAKO NA YA MWANAO
@catenzeki678
@catenzeki678 5 лет назад
Aunty umependeza ww na mwanao kama kawaida yako😘😘😘
@fatumaramadhanmashaallahal9966
Mashaallah tabaraka llahu upendeza
@ليلىفاكي-ش2ش
@ليلىفاكي-ش2ش 5 лет назад
Ww anti rudi kwa mumeo acha mumependeza sana hao wanaume mwengine wanakufata fata wanakudanganya tu moze ndio anakupenda
@joycematonya1241
@joycematonya1241 5 лет назад
nakukubali san aunt na mwanao
@denispaul3744
@denispaul3744 4 года назад
Hbd cookie
@aminadulle7797
@aminadulle7797 5 лет назад
Sauti ya huyu mtangazaji nmeipenda jmn
@bilimmanga6156
@bilimmanga6156 5 лет назад
Mtangazaji ukopoa sana yani unauliza point
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 лет назад
Moze alikuwa na mke akamwacha kwa ajili ya aunt.Jamani wanawake wenzangu fupa lililo mshinda fisi mwanadamu haliwezi.mwenzako akinyolewa wewe tia maji.
Далее
Aunty Ezekiel  & Haji Salum. NAMPENDA MKE WANGU 1B
29:38