Тёмный

Dawa tano za asili ambazo hutakiwi kosa ndani ya nyumba yako - Dr Bihiza 

Kalamutz
Подписаться 145 тыс.
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@mwanaidibakari3657
@mwanaidibakari3657 Год назад
Waleykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. .... Shukran sana kwa mafunzo mazuri Jazaka Allah khery
@Khadija-tr8du
@Khadija-tr8du Год назад
Shukrani jazila Dr
@RajabuJongo-dl6qu
@RajabuJongo-dl6qu 3 месяца назад
Assalamu waleykumu warahmatullah wabarakatuh wallah Allah akulipe kilalaheri. Wewee nitofauti. Sana. Nawangune. Allah. Akujaaliye. Maisha mazuri. Duniyani. Naakhera
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
Jazakalahu khery 🙏🏿
@zawadimlagala568
@zawadimlagala568 Год назад
Upo sahihi doktar zoteulisema Safi Sana
@AurélieDaAure
@AurélieDaAure 10 месяцев назад
Shukrani mwalimu
@zawadimlagala568
@zawadimlagala568 Год назад
Ahsante Sana upo sahihi ❤doktar
@hindujuma72
@hindujuma72 Год назад
Namba yako dr. ni muhimu kwetu
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
Zipo hapo kushoto kulikoandikwa DR .BIHIZZI piga screen shot utaziona vizuri
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Год назад
Shukran Allah akujazi kheri
@MerryJulius-q1o
@MerryJulius-q1o Год назад
Nashukuru san kwa mafunzo mazuri.
@elizabethtibenda7324
@elizabethtibenda7324 Год назад
Samahani doctor naomba msaada wa dawa ya cancer tafadhali mama yangu ananiumiza kwel na hili tatizo.
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 9 дней назад
Nzuri sanaaaa
@MwashamKhery
@MwashamKhery 6 месяцев назад
Jazzakumllah kheir
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 28 дней назад
Asante
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Год назад
Asantee dctr
@zuhuramussa3996
@zuhuramussa3996 Год назад
Asante sana
@nelsonmagoti2752
@nelsonmagoti2752 Год назад
Dr Nashukuru kwa mafundisho Naomba namba yako kwa mawasliano zaidi
@bimdogo-cc9ho
@bimdogo-cc9ho Год назад
Flaxseed, black seed, vinger and sea salt order online in USA
@hassanramadhan2794
@hassanramadhan2794 8 месяцев назад
Asalam alykum warahmatullah kwa Burundi tutapata vîpi
@tantinejuma684
@tantinejuma684 Год назад
Kwakuhelewa kwangu nahona sufa ni FLAX SEED, lakini doctor atuheleweche
@queenwere1
@queenwere1 Год назад
Please explain this products name in English
@amourjuma7284
@amourjuma7284 Год назад
Mwana hongera sana sana
@user-ju9mi1ft4v
@user-ju9mi1ft4v Год назад
Shukran
@shualtiwani6806
@shualtiwani6806 Год назад
Mungu akubariki
@antoinetteshivachi9562
@antoinetteshivachi9562 Год назад
Dawa zinapatikana wapi ningependa kua nayo nitapata vipi 13:30
@fas1499
@fas1499 Год назад
Docter asante barikiwa sana bt sufa ni nini aki tafadhali
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Flaxseed
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Flaxseed
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Flaxseed
@MohdMohd-d6j
@MohdMohd-d6j 11 месяцев назад
Nini dawa ya harufu mbaya ya mdomo
@zitoncombo1317
@zitoncombo1317 Год назад
Safi.
@tegemeamogela4053
@tegemeamogela4053 11 месяцев назад
Naomba namba yako mm miguu inawakamoto pia moyo wamesema umetanuka naomba unierekeze dawa docta
@MakwanguNasoro
@MakwanguNasoro Год назад
Dr,sifa tunaipataje
@carolynemkutano8086
@carolynemkutano8086 Год назад
Kwani Doctor hujui inaitwaje kwa kigereza
@leilamuhaji7945
@leilamuhaji7945 Год назад
SUFA ni FLAXSEED in English
@jebbyabdullh3992
@jebbyabdullh3992 Месяц назад
Unajua
@AuchielMakebu
@AuchielMakebu Год назад
Asate kwakuerimisha jamii mungu akutangurie dokta naomba nambayako ndokta
@mamynyota4063
@mamynyota4063 Год назад
Asalamu alayikum warahmatullah wabarakatu unaweza kumutumia mtu wa usa
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Tunaomba namba yako ya simu
@ChrisMustafa-em1zq
@ChrisMustafa-em1zq Год назад
Doctor je unajuwa dawa ya bawasili utuelimishe
@wellahsuleiman7881
@wellahsuleiman7881 Год назад
HABARI DOCTOR, UTUMIAJI WA TENDE NA ASALI KWA WATU WA UGONJWA WA SUKARI, TUFANYAJE?
@hagumandabateze5978
@hagumandabateze5978 Год назад
Shukran sana Mungu akurinde weka namba yako asante
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Год назад
Namba zipo hapo kushoto kwenye hicho kimraba chenye blue
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@ElienaOmbeni
@ElienaOmbeni Год назад
Dr asante ila dawa zingine kama Haba soda mm siijiu
@nafharthakizimana1498
@nafharthakizimana1498 Год назад
Ni black seed in English
@edithmasakwa1645
@edithmasakwa1645 Год назад
Hujambo doctor,nko na mtoto alianza kuvuta bhagi akiwa mdogo hadi leo,ako twenty eight ñaeza pata wapi dawa ya kumkomesha
@sumrajuma8967
@sumrajuma8967 2 месяца назад
Dr dawa ya kongosho
@tegemeamogela4053
@tegemeamogela4053 11 месяцев назад
Asante dockita Sasa namba yako harafu hivi vitu tunaipata wapi
@oswardnyondo2015
@oswardnyondo2015 Год назад
Je chumvi ya kiwandani nayo inafanya kazi
@guerlemkabulese4458
@guerlemkabulese4458 Год назад
Shukrani sana, ni mgeni nipe namba yako ya mawasiliano
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Dr Bihizi 0715 524 946
@esperancesudi2842
@esperancesudi2842 Год назад
To be continued
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 3 месяца назад
ugonjwa presha ya macho dawa yake unayo
@omarabubakar2304
@omarabubakar2304 2 месяца назад
Mruturutu ndio nini
@momsfood8237
@momsfood8237 Год назад
Wekanambayasimu
@anndaniel4055
@anndaniel4055 Год назад
Sufa tunaipata wapi
@queenwere1
@queenwere1 Год назад
Siki ni vinegar?
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Siki unywe vijoko vijiko vitatu umpe watoto si unamuua kwa madonda ya tumbo.
@kosephtomasi-nz7fk
@kosephtomasi-nz7fk Год назад
safisanakwadarasa
@kiemenafishingenterprises943
Dawa hizo tano zinastahiki kutokukosa ndani nitaipata kwa bei gani. Nipo ungindoni Kigamboni
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@PilliWambura
@PilliWambura Год назад
Inapatikana wapi?
@jeaninekabyahura1180
@jeaninekabyahura1180 Год назад
Dr Siku ni Nini?
@audreyshame3719
@audreyshame3719 Год назад
Siki ni Vinegar kwa kiingereza
@zuhuramussa3996
@zuhuramussa3996 Год назад
Doctor naomba namba yako
@DarshadAli-m2m
@DarshadAli-m2m Год назад
Naomba unielekeze mahali nitaipata wapi hio mruturutu plz Dr.
@VeraShirima
@VeraShirima 11 месяцев назад
Naomba kujua siki ninini?
@mwavitanshimirimana3433
@mwavitanshimirimana3433 4 месяца назад
Vinegar
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Naomba number yako Dr hapa kwenye cmu hazionekani vizuri zimeandikwa ndogo sana
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@JasminKiula-eg1dw
@JasminKiula-eg1dw Год назад
Shukuran sasa hii sufa inapatikana wapi
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Maduka yote ya dawa za asili na pia sokoni zinafanana na chia lkn hizi ni nyekundu nyekundu kidogo😊
@jhfgbn87hshswj17
@jhfgbn87hshswj17 Год назад
Samani sufa ni nini
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Год назад
Assalam alaykum DR sikupat kwa wasap
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@wellahsuleiman7881
@wellahsuleiman7881 Год назад
DAWA YA KISUKARI
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Hii Siki ndo mtihani tulioko Abroad
@audreyshame3719
@audreyshame3719 Год назад
Siki ni Vinegar kwa kiingereza
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
@@audreyshame3719 Oky,,,,vp Sufa ni nini
@damarisochieng3858
@damarisochieng3858 Год назад
Daktari uko sehemu za wapi?
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@saidimadunda4576
@saidimadunda4576 Год назад
Huku tuliko hizo dawa zipo ila majina kwa kingereza ungetuwezesha tafafhali
@leilamuhaji7945
@leilamuhaji7945 Год назад
FLAXSEED
@Nimah_muthoni
@Nimah_muthoni Год назад
Sufa n kizungu ni nini
@leilamuhaji7945
@leilamuhaji7945 Год назад
FLAXSEED
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Hii siki tufafanulie vizuru, je inajina lingine ?
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Jina lake lingine ni vinegar
@dumasbajun0012
@dumasbajun0012 Год назад
@@kalamuMedia Dr na sufa kwa kizungu inaitwaje
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
@@kalamuMedia shukran.
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 Год назад
Vineger
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
Chumvi ya mawe naweka ndani au njee?
@vionahandrew1428
@vionahandrew1428 Год назад
Haki hizi better you talk in english
@salumomari609
@salumomari609 Год назад
Dk.naomba.dawa.ya.fangasi.mdomoni
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 9 дней назад
Nzuri sanaaaa
@suzanne9517
@suzanne9517 Год назад
Asante sana
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
Sufa kizungu inaitwaje tunaomba utujibu tafadhali 🙏🏿
@sahimtv4742
@sahimtv4742 Год назад
Tutajie kwa kingereza hizo dawa watu wengine tupo inje ya inchi lakini kuna maduka huku ya madawa ya asili lakini sio kwa kiswahili
@hassanlewa5317
@hassanlewa5317 Год назад
Doctor kuna ugonjwa wa mtu akienada haja kubwa mwisho anatoka damu choo kiwe chepesi ama kigumu dawa gani atumie?
@nafharthakizimana1498
@nafharthakizimana1498 Год назад
@@hassanlewa5317 Mwambie ajipake casto oil au kwa kiswahili mafuta ya mnyonyo kwenye sehemu yake ya haja kubwa. Shukran
@LydiaRweyemamu
@LydiaRweyemamu 3 месяца назад
Dr.hizi naweza kutumia kwa mtt wa chin ya miaka 18?
@shaphaina9941
@shaphaina9941 Год назад
Doctor shukran ila sufa kwa English inaitwaje .
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
Na mimi pia nimeuliza hilo hilo swali
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 Год назад
Jaribu kwenda kwa wauza madawa ya kiasili Utapata au wao eshe picha Wao watajua
@HeritierAmuri-ck3jj
@HeritierAmuri-ck3jj Год назад
Doctor Kama mtu akitaka kuacha pombe Hakuna matibabu?
@dumasbajun0012
@dumasbajun0012 Год назад
Nimeangalia google imeniletea jina kwa kizungu ni Mustard seed na kiswahili ni haradali mana nimechukua picha nikaipeleka google ndio ikanipa jina hilo la Mustard seed au kiswahili Haradali
@onyangokawau5184
@onyangokawau5184 Год назад
Dr naomba utuonye hiyo dawa ya omiksi
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 3 месяца назад
Dr...Iyo Dawa Gani??
@FaridaIsmaily
@FaridaIsmaily Месяц назад
Hiyo siki ni nn jmn na hiyo sufa
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 9 дней назад
Nzuri sanaaaa
@shualtiwani6806
@shualtiwani6806 Год назад
Hii tiba ya macho kwa kutumis zeit ya habbat soda. Wapi unapaka haya mafuta? Kwenye kope au nyusi ? Kwa sababu umesema kope lkn umeonesha nyusi. Na hii chuvi ya mawe vile vile niondoshee wacwac wapi unapaka kwenye nyusi au cope.
@peninamwailunda8813
@peninamwailunda8813 Год назад
Maduka ya madawa asili utakuta vitu vyote hivyo, kama upo Dsm nenda Kariakoo sokoni ulizia maduka ya madawa asili utavikuta vifaa vyote
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
Tuongezee masomo zaidi 🙏🏿
@a.856
@a.856 Год назад
Jazakallah khayran
@penieltshipaz8474
@penieltshipaz8474 Год назад
Shukrani tusahidiye dawa yakumaliza kicha ama kutlibu uwenda wazimu
@anharishabani
@anharishabani Год назад
Asalamualykum vp hali yako shukurani nakupataj
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@AurélieDaAure
@AurélieDaAure 10 месяцев назад
Dawa za kunde vinyama vidogovidogo vimeota katika kiungo kya siri
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Jaza kaa lahaa
@aishadotto3640
@aishadotto3640 Год назад
Samahani Dakrari shufa ndio nn
@faustinakitaly7759
@faustinakitaly7759 Год назад
Tunaomba namba zako
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Год назад
DR. BIHIZA SAFI SANA
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Год назад
Shukraan sana❤❤❤❤
@Godneverfailed
@Godneverfailed Год назад
Dr.Nasumbuliwa na mashiligi sugu dawa take nini
@eleginzaaaaa5030
@eleginzaaaaa5030 Год назад
Piz docky use both English and kuswahili
@mimaajuma8623
@mimaajuma8623 10 месяцев назад
Namba unisadie na dawa ya pumu
@LilianLumeme
@LilianLumeme 5 месяцев назад
Inapatikana wapi
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 Год назад
Hapo kwenye kumeza mruturutu aaaaah! Hebu naomba namba yako tafadhali
@lidyakimaro5882
@lidyakimaro5882 Год назад
Vinapatikana wapi
@isacalvarolazido
@isacalvarolazido 8 месяцев назад
Allah akuhifadh
@marietheresenyandwi8671
@marietheresenyandwi8671 Год назад
Jaazakhallah kheir ❤
@ThaniaAli-zb3lk
@ThaniaAli-zb3lk Год назад
Shukranlaka. Allah akulipe kheyr.
@atanaskalega6968
@atanaskalega6968 Год назад
Namba yako ya simu Dr ni muhimu ukatupatia hilo ni ombi
@MilikaKaoneka-kh5ec
@MilikaKaoneka-kh5ec Год назад
Dr tunaomba namba yako ya simu.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
0715 524 946
@piliramadan875
@piliramadan875 Год назад
Maashaallah maashaallah
@abdallakassim9124
@abdallakassim9124 Год назад
Dr naweza kupata hayo mafuta ya habasoda
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Dr Bihizi 0715 524 946
Далее
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
Просмотров 600 тыс.
FAIDA KUMI ZA MAFUTA YA HABBA SODA / Imamu Mponda
10:19
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
Просмотров 600 тыс.