Wanaharakati wawili wa mageuzi ya Afrika, Ngugi wa Thiong'o na Abdilatif Abdalla, wanazungumza kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth juu ya kujikombowa kutoka fikra za kikoloni.
11 сен 2024