Ni comedy ila ina funzo kubwa ndani yake Wanawake wa leo asilimia kubwa ndivyo walivyo tena ni bora umdhamini hata Mmasai atakuachia hata golole anavyo kukimbia kuliko hawa madem wa siku hizi acha alama twende sawa kama tuko pamoja !!
I was shock our driver told me this very few minute early in the morning in the market that you're a vlogger a known vlogger here in tanzania. I just wanna drop my full support to you
Ni comedy ila inafunzo kubwa ndani yake Wanawake wa leo ndivyo walivyo Tena Bora umdhamini hata mmsai atakuachia hata golole lakini sio madem wa leo mnao kubali weka alama twende sawa
Kaka Joti tena wala usijiunge na wakinamasanja na mpoki waache kabisa yan wewe unajitosheleza kabisa maana Haubahatishagi Hongera sana unaweza kaka joti nakuomba unifanyie mpango niigize na wewe maana napenda sana komedi niunganishe kwenye kundi lako niwe kijana wako
My ribs 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti nimependa facial expression yako walae 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ....me naona mda umefika sasa wakutoa series ama movie please joti 😢😢