Тёмный

DESTINY |ep 02| Full Episode ❤️ 

Dubu Tz
Подписаться 92 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

#clamvevo #snakeboy #wronghouse #dubu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 313   
@MshengaSuleiman
@MshengaSuleiman 2 месяца назад
Ila jamani Hajra ni mzuri Mashallaa ❤❤❤
@zaharahamadi3784
@zaharahamadi3784 2 месяца назад
Niitizama kikaishia jiani leo ndonamalizia nawapenda ❤❤❤❤ sana kazi zuri sana dubu unaweza na timu yako ila unachelewesha sana jitahidini kuwahisha nawapenda sana kutoka Oman ❤❤❤❤❤❤
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh 2 месяца назад
Jmn tujifunzeeee hapa kwenye hii movies vijanaaaa tutafuteeeee pesa ndo Kila kitu waliopataaa ujumbeee kwa hii movies gonga like safiiii Dubutz... movie kaliiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@NadzuaMrema
@NadzuaMrema 2 месяца назад
Lakin mapenzi sipesa kakangu mtu maskin Ana penzi la dhati snaaaa mwenye pesaa yuko kwa ajili ya pesaa zake 2
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
​@@NadzuaMremahamna ayo ni mapenzi ya zamani saiv pesa inatakiwa iwepo japo kdg
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 месяца назад
Mashallah kaka dubu kazi ni nzuri sana 🎉🎉🎉
@ashurahamis5066
@ashurahamis5066 2 месяца назад
Mjomba doto 😅😅😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
Nakubali sana dubu huna kazi mbovu❤🎉
@ZainabuCassim
@ZainabuCassim 2 месяца назад
Nawapenda sana
@AbdulyRashidi
@AbdulyRashidi 2 месяца назад
Hongera sana kwa kazi nzuri mungu awsaidie sanaa
@AntônioTomás-x4x
@AntônioTomás-x4x 2 месяца назад
Nawapongeseni sanaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
💪
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад
Ndeg 🔥🔥🔥🔥pole San ndege 🔥🔥🔥 onyesha hati hzoo acha kujizim data ww ndeg 🔥🔥🔥
@LinusMsimbano-uq1kg
@LinusMsimbano-uq1kg 2 месяца назад
Jamn mnaichelewesha sana na mtuongezee dakika
@SabrinaLilian-z4j
@SabrinaLilian-z4j 2 месяца назад
Iko vizuri sana wanangu
@SaidAlly-u4i
@SaidAlly-u4i 2 месяца назад
Hhh kylar imejaaa
@HUSENIALLY-bp8pk
@HUSENIALLY-bp8pk 2 месяца назад
big up sana kwenu🎉🎉
@rogynee8135
@rogynee8135 2 месяца назад
Nyan ngwengwe bwan
@TrizerIkiru
@TrizerIkiru 2 месяца назад
Dah wah noma
@MwangiraniElvis
@MwangiraniElvis 2 месяца назад
Dubu nampenda sana kylar nfanyie connection bas nkusifie kaka😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🤣🤝
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 2 месяца назад
Kazi nzuri bro dubu big up sana 🎉
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 2 месяца назад
Huyo binti kidoti anakuanga ameweza mbaaya🥰
@AminaAyoub-hh3lq
@AminaAyoub-hh3lq 2 месяца назад
Nyaningwengwe 😂😂😂unanifurahishaga sana
@nahyatsaid
@nahyatsaid 2 месяца назад
napenda sana kuigiza naomba nafasi kwako 😊❤❤❤
@EmmyMo
@EmmyMo 2 месяца назад
Dubu🎉🎉🎉🎉mwambie hajra anajua sanaa🎉🎉🎉❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад
Ngoja nicheke kwanza 😂😂😂😂 mabuti na mke wake wacha saa Moja na nanus mpka saa mbili kamili mabuti kamrudia mke wake hv kweli wap wanaume kama Hawa Dunia ya sasa
@aksharboy4089
@aksharboy4089 2 месяца назад
@@Mwana85Mwana85-wz1ol aaaa wap ww vitorondo wengi 🤣🤣
@smart-boy-8h
@smart-boy-8h 2 месяца назад
Nice ❤❤❤
@nahyatsaid
@nahyatsaid 2 месяца назад
kazi nzuri sana 😊❤❤❤
@Aaliyahkhamisi
@Aaliyahkhamisi 2 месяца назад
mbna dubu huyu dem kila wakati ni mpenzi wako😂
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee 2 месяца назад
umasikini mbaya sana jamani mungu atusaidie
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 2 месяца назад
Kitambo sana mzigo ushachotwa niite king dj b from ngudu kwimba
@AbdulyRashidi
@AbdulyRashidi 2 месяца назад
🥰🥰🥰🥰🥰Nawapenda sanaa dj from Kenya
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Kutoka nairobi Gikombaa nakukubali Mwamba , kutoka rombo kilimanjaro
@TantineZuzu
@TantineZuzu 2 месяца назад
Nzuri sana 🎉🎉❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 месяца назад
Dubu huyu hajra muowe kweli kaka mbali na move
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 месяца назад
Wanaendana sana❤🎉
@SitaniRongo
@SitaniRongo 2 месяца назад
Demu cheupe uyoo😊 🎉🎉🎉😂😂😂
@MasauShida
@MasauShida 2 месяца назад
Kazi nzuri❤
@LuuMussa-eq2uo
@LuuMussa-eq2uo 2 месяца назад
Mambo vip unachelewa kaka unauweka sana
@RamaWanaman
@RamaWanaman 2 месяца назад
Wakwanza wana man gang mm ramaaaa like basi dubu n wew mmmh
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg 2 месяца назад
Afu wew mbona wazingua sn jaman,afu mjomba Doto usirudi tena kuingilia mambo ya Nyani Ngwengwe anakuhaibisha sn,kisha wazazi wa Siku hizi bhana muweni mkitazama wanaume wa kuwahozesheni wanenu,Kijana humjui wala humjui twabia ati wa mkabidhi binti yako acheni tamaa basi si vizuri,Alafu wew Dubu usikawize kutoa Next épisode maana Movie hii nzuri sn 👌🌹 nimeipenda sn.
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 месяца назад
Wapendwa dakk jaman Jaman, muongeze kdg dakk
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh Месяц назад
Mtoto wa 2000 kama co yy vile mh kila sehem ana fiti 🎉🎉🎉🎉🎉
@LovenessMwaipaja-cx6oh
@LovenessMwaipaja-cx6oh 2 месяца назад
Alafu wewe bwana toa hela ya kupika bn😂😂😂😂😂😂
@enyonyiabemba
@enyonyiabemba 2 месяца назад
Hajra unatesa wengi kwa uzuri wako but Big up sana Mr Dubu na team yako yote.
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 2 месяца назад
Tatizo mnachelewa sana mbaka tunasahau tulipo ishia
@BijouxBulose
@BijouxBulose 2 месяца назад
❤❤❤
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 2 месяца назад
Binti kidoti kapendeza yy na mamaake ❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
❤️
@salemnassoro1518
@salemnassoro1518 2 месяца назад
Anko dotto....😅😂😂😂
@AmaniChari
@AmaniChari 2 месяца назад
😂😂😂😂nyan ngwengwe umepatkana hapa Kwa dem
@SalmaMakilika
@SalmaMakilika 2 месяца назад
Minimewapenda sana natimu yako hiyo hiyo kwani kila kitu kipo mareshii.nawakubali mkichelewa mnanipa stress.DUBU BIG UP
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@TitusKurui
@TitusKurui 2 месяца назад
Kazi nzuri but mnachelewesha vipindi vyenu
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 2 месяца назад
Duh mama Kayla force mambo😅ayah umekufa ssa part yko imeisha kaa pembeni😂😂ila bro Dubu nakuaminia sana🎉❤🎉❤🎉❤🎉haujawai kutufelisha mashabiki zako much love from 🇰🇪🇰🇪
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@MathayoSuwi
@MathayoSuwi 2 месяца назад
Kaila mzuri​@@OfficialDubu_tz
@francksylvester7844
@francksylvester7844 2 месяца назад
Tatizo lenu mnakawia sana kutoa episode
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@UstinaMayemba
@UstinaMayemba 2 месяца назад
Hivi Kuna wanaume kama nyani ngwengwe kweli😂😂😂😂
@LovenessRobert-pp3pp
@LovenessRobert-pp3pp 2 месяца назад
Sasa we doto mbona umevaa kofia ya Nyan ngwengwe
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 2 месяца назад
Wawooow nilikuwa nimeyisubiriya saana ❤
@MwasitiMsasu
@MwasitiMsasu 2 месяца назад
❤😮🎉🎉🎉 safi sana
@charlyBanza-g8v
@charlyBanza-g8v 2 месяца назад
Asante Sana kwa iyo matengenezo🎉🎉🎉
@faridahally6314
@faridahally6314 2 месяца назад
Nmewahi sio haba❤
@FredClaus-ql3vb
@FredClaus-ql3vb 2 месяца назад
Nakubali Dubu tz hunaga kazi mbovu.🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@GhUy-u7s
@GhUy-u7s 2 месяца назад
Safi sana
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 2 месяца назад
Move tamu sna
@dalinktech
@dalinktech 2 месяца назад
mjomba ni mama, sasa unataka mambo yangu nikamwambie nani kama sio ww mama yangu😂😂
@AdiminMbughi
@AdiminMbughi 2 месяца назад
Kaka tunazikubali sana kazi zenu tunaomba mtuongezee dakka angalau ata 25
@AntônioTomás-x4x
@AntônioTomás-x4x 2 месяца назад
Omundo sem segredo
@fatmamussa6134
@fatmamussa6134 2 месяца назад
Kambale. Umeliwa
@Msaniitz
@Msaniitz 2 месяца назад
Dubu nayo kuigiza apo nakupa asilimia💯
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Kaka utaenda mbali Sana kama utaendelea kutupa movie nzuri kama hisi
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@usher_bambi94
@usher_bambi94 2 месяца назад
Nyani ngwengwe mshenz 😂😂😂 bwimbwi ndio lina bei kwel😂😂😂😂Nmecheka kama jinga😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🤣
@glorryandrea6326
@glorryandrea6326 2 месяца назад
Mnachelewesha sana adi tunasahau
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 2 месяца назад
Hivi iliishiaje maana sio kwa kuchelewa
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 2 месяца назад
Nzuri sana ❤❤❤❤
@saumbliz8983
@saumbliz8983 2 месяца назад
Mke wake mtarajiwa
@kpjr-r4m
@kpjr-r4m 2 месяца назад
kazi nzuri ila jaribuni kuongza ubunifu zaid dubutz Samahan lakin mkuu
@imohussein8612
@imohussein8612 2 месяца назад
Kafie mbele uko unatka unibemend mtot wa mwana mke mwenzio😅😅
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 2 месяца назад
😂😂😂😂kambale ana tabu
@NasraAlly-vx4yh
@NasraAlly-vx4yh 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂alafu weweh 😅
@hisaShop
@hisaShop 2 месяца назад
Wow Dubu Wangu hongera kakangu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@Awoshy
@Awoshy 2 месяца назад
Kambare jamani 😂😂😂eti unataka kupika bwimbwi au 😂
@aishaabeid8106
@aishaabeid8106 2 месяца назад
Unapika bwimbwi au😂😂
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 2 месяца назад
Mwaichelewesha sna hii movie jamani
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 2 месяца назад
Kwan bwimbwi nnini nyan ngwengwe😂
@KalondaShomaribienfait
@KalondaShomaribienfait 2 месяца назад
Vizuri sn tamu sana
@kagumaster8143
@kagumaster8143 2 месяца назад
Daaah mnajua sana mpaka naona wivu na mm ningekua yie
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@mejubagu6825
@mejubagu6825 2 месяца назад
Singilii mambo ya watu wanao lala bila nguo
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
Series nzur sana❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏🙏
@Chiddy-l7c
@Chiddy-l7c 2 месяца назад
Dubu usije uka gombna na nyani nyani ana tupa burudani sana 😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@KivumaYusufu-mx8ib
@KivumaYusufu-mx8ib 2 месяца назад
kiwanda kimenoga kazi kazi.
@LaisSailep
@LaisSailep 2 месяца назад
Ndege wa moto hapo umenivunja mbavu
@Hassansadick-pv7tb
@Hassansadick-pv7tb 2 месяца назад
dubu na tim yako wote mko vzur ila dubu taftamuigizaj mwenye uwezo kama hajra kidoti,,,ili uwe unabadilisha mke broow
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 месяца назад
Pongez san wahuska wote❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🙏
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 2 месяца назад
mafans wa Dubu lets gather here❤❤❤❤show some love🎉🎉
@جونفيرالبروندي
@جونفيرالبروندي 2 месяца назад
Duuuh umaskini noma.sana duuuh😂😂pole sana sana inauma
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@EmilykuvunaKonzi
@EmilykuvunaKonzi 2 месяца назад
Mama unatamaa mpaka Aaaah🤣🙌
@Shazzy2
@Shazzy2 2 месяца назад
Much love from 🇰🇪 ❤
@AsifiweImani
@AsifiweImani 5 дней назад
Mujitaidi muwe na weka mziki kwenye hawa semi
@PaulineNasoro
@PaulineNasoro 2 месяца назад
Ndio Mimi Kwa mpigo 🏃🏃🏃🏃🤣🇰🇪
@FelistusKimanzi-f2g
@FelistusKimanzi-f2g 2 месяца назад
Kazi njema
@BiisheBugao
@BiisheBugao 2 месяца назад
Wazazi tuache tamaa jamani
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
🥰
@Chiddy-l7c
@Chiddy-l7c 2 месяца назад
Nyani ngwengwe ww unajua kunichekeaha😂😂
@aksharboy4089
@aksharboy4089 2 месяца назад
Mjomba dotto usiku ni mrefu 🤣🤣
@HarithHaji
@HarithHaji 2 месяца назад
Kaka move inachelewa towa mapem
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 2 месяца назад
Ikram kailah❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 2 месяца назад
❤️
@BakulyDaplate254
@BakulyDaplate254 2 месяца назад
Mjomba Usiku Mrefu😂😂
@FedrickSabugo
@FedrickSabugo 2 месяца назад
iko poa sana
Далее
DESTINY | ep 03 | Full Episode ♥️
14:30
Просмотров 57 тыс.
Dibozi Manuva | RIMOTI YA KICHAWI.
40:01
Просмотров 81 тыс.
MATHNA{UKEWENZA}..SEHEMU YA TANO
21:32
Просмотров 28 тыс.
WHO AM I?[1]#clamvevo #sandra
16:37
Просмотров 96 тыс.
MAGIC SCHOOL | ep 05 | FULL EPISODE
32:32
Просмотров 106 тыс.
PESA NA MATATIZO (Ep 01)
35:20
Просмотров 1 млн
GUBU LA MAWIFI_Ep_01
20:28
Просмотров 202 тыс.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Просмотров 166 тыс.
DESTINY | FULL MOVIE |
1:02:06
Просмотров 76 тыс.