Тёмный

DIAMOND Achafukwa Ataja Sababu za Kujitoa kwenye TUZO/WALINILETEA FIGISU 

Rick Media
Подписаться 887 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Diamondplatnumz #Tuzo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@ashaali7154
@ashaali7154 6 месяцев назад
Unavyopenda sifa wewe huna lolote kama ulikuwa hutaki wala usingekuwa hapo ukilalamika saa hizi Acha kujitoa fahamu wewe wamekupendelea sana ila huna shukrani tu.
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 6 месяцев назад
Wamempendelea nini?
@martolee
@martolee 6 месяцев назад
UKIWA NA PESA KIBURI INAKUJA😂😂
@jerominalfonce
@jerominalfonce 6 месяцев назад
Ni ukwel ila
@kiatu
@kiatu 6 месяцев назад
Nyimbo ndio zinapata tuzo japo lazima mtu ndiye a-perform
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 6 месяцев назад
Usituletee dharau kwenye tuzo za home wewe ni muongo sanaa tuzo zote duniani niza mchongo hata Jay z kulalamika sanaa tuzo za marekani tena tuzo kubwa sanaa saivi unataka umoja ila umewafanyia wengi figusu saivi unajifanya mwema
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 6 месяцев назад
Aliwafanyia vp figisu, kwani alishawahi kuandaa Tuzo?
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 6 месяцев назад
@@kilungahamis1270 utakuwa mchanga sanaa kwenye ushabiki wa mziki hakuna tuzo duniani ambazo hazilalamikiwi na wasanii wengi tu wananunua tuzo yani nyingi niza michongo tu huyu kashanunua nyingi snaaa hata za nje ndio Biashara yake kununua sasa alitaka hapa Tanzania awe yeye kila mwaka anabeba zote kwa figusu figusu zake alizowafanyia wasanii wengi aliowakuta kwenye gemu sasa kwasasa anajifanya mwema nyimbo kibao kawaibia zingine kagoma kutoa nazo callobo kajua kwa figusu za bongo tuzo hupati sasa aendelee kununua za nje ,,,,au jibu swali ni tuzo zipi hazilalamikiwi kwasababu hata za MTV tu kuna wasanii walijitoa hata za Afrima wapo wasanii wamejitoa mfano ni Koffi olomide ushawahi kumsikia kwenye tuzo gani hata Akina psquare walijitoa kwenye tuzo nyingi tu kwasababu hiyo hiyo michongo huyu ngoja ajikanyage aonee hachelewi kuomba poo kauli za kinafiki nyingi snaa huyu
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 6 месяцев назад
TUZO ZA KIBONGO MSANII MKUBWA KAMA DIAMOND HAZIMFAI NA ZINAMSHUSHA HAZI
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 6 месяцев назад
😂😂
@BoaziMunga-jj5pd
@BoaziMunga-jj5pd 6 месяцев назад
Diddy
@Xxxtentancion-w2s
@Xxxtentancion-w2s 6 месяцев назад
Simba anadeserve kupata matuzo mengi kibao TU
@yohanacharles872
@yohanacharles872 6 месяцев назад
Kabisa maana diamond ni enternation
Далее