Тёмный

Ruge Mutahaba azungumzia bifu ya Diamond na Alikiba na athari ya timu zao 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Kupitia kipindi cha XXL, Ijumaa ya November 25, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alizungumzia mtazamo wake kuhusu bifu ya Diamond na Alikiba na athari ya timu zao, malalamiko mengi kuhusu yeye na station ya Clouds FM.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@yohanadeus1292
@yohanadeus1292 4 года назад
You sound in my mind RUGE
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 3 месяца назад
2024
@sirnyoniinspirationstv5327
@sirnyoniinspirationstv5327 8 лет назад
We are the one,tujenge Tanzania yetu.
@shawangijuma1041
@shawangijuma1041 8 лет назад
He is so smart
@rashidinassoro9493
@rashidinassoro9493 8 лет назад
Huyu Ruge yuko vizuri
@kihiyobakari8062
@kihiyobakari8062 7 лет назад
nice boss
@mohammedya-assini6455
@mohammedya-assini6455 8 лет назад
good tugeh
@360-t5s
@360-t5s 8 лет назад
huyu jamaa is really smart
@mahamudually6177
@mahamudually6177 8 лет назад
ongera ruge mawazo mazuri awa wanao jiita timu kiba wanapenda kutukana wanatuboa tusio penda matusi
@salehemkala7775
@salehemkala7775 7 лет назад
iyo tim mond awatukani mbona unapenda majungu wewe achana na kig kiba
@frolencedezire7149
@frolencedezire7149 8 лет назад
kiukwel toka nizaliwe na nianze kusikiliza interview mbalimbali kwenye radio sijapata kuona mtu mwenye akili na busara ya kujibu maswali kwa ufasaha na uelewa wa hali ya juu kama ruge mutahaba kaka hongera sana lait kama watanzania wangekuelewa kwa hilo tungeufikisha mziki wetu sehemu nzuri sana.
@issasaidi1019
@issasaidi1019 8 лет назад
frolence Dezire
@dichodaplaiza
@dichodaplaiza 8 лет назад
frolence Dezire kabisa!
@samwelipogba2971
@samwelipogba2971 8 лет назад
woyooo
@bensonfrank9578
@bensonfrank9578 8 лет назад
hawa jamaa hawajui kuuliza maswali bhana!!! hasa maswali hayo kila siku yanaulizwa kuwen wabunifu au kisa boss wenu mm amuogopa?
@benoitniyukuri4959
@benoitniyukuri4959 5 лет назад
r i p ruge
@robatysamwery5748
@robatysamwery5748 8 лет назад
team kiba mnapenda matusi xana ila poa chuki zenu haziwezi mfelisha diamond wambongo ss ndivotulivo hukia hunakitu tunaongea upate mafanikio napo tnadis jameni tubadilike alikiba mm namkubali xana ila saivi diamond nyota inang'ara tukubalit
@kwisa4899
@kwisa4899 6 лет назад
Ruge kama Budget inaruhusu tengenezeni documentary yenu itakua poa sana na itatia hamasa
@dichodaplaiza
@dichodaplaiza 8 лет назад
nimemuelewa xana huyu jamaaa!!!!
@sirnyoniinspirationstv5327
@sirnyoniinspirationstv5327 8 лет назад
Huko mbele ya safari naona kama kutatokea East Coast Team na West Coast Team kwa maana ya beef ya Nijeria kuwa na bifu na wasanii Wa East Africa wao West sisi East. Maana muziki wetu unakuwa na wao wanataka wabaki walipo
@rajabumapunda454
@rajabumapunda454 8 лет назад
mondi katufikisha mbari
@abdukareemhussein2281
@abdukareemhussein2281 8 лет назад
tatizo msanii mmoja Ana maneno mabovu sana anaboaaa
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 8 лет назад
Abdukareem Hussein mnapenda awe kimya milele akijibu hoo majibu mabaya
@abdukareemhussein2281
@abdukareemhussein2281 8 лет назад
+Khadija Wendo Mwachirenje sio akae kimya kuna vitu vya ukiongea Na sio kuongea kufurahisha uma bàadae ikaja ikakuathir kwann kila siku yeye anagombana Na watu yy ndio mwema kama c unaz tu kukimbilia media ili uonekanae unaonewa
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 8 лет назад
Abdukareem Hussein hakufurahisha uma bali aliongea ile sawa hata kama Ni wewe usingekubali kwanini yeye atungiwe tu wakati vya kweli vipo asiseme?
@abdukareemhussein2281
@abdukareemhussein2281 7 лет назад
+Khadija Wendo Mwachirenje ASeme vyenye maana sio kutukana wenzio Na akumbuke hamna kikubwa Chin ya jua
@khadijawendomwachirenje3513
@khadijawendomwachirenje3513 7 лет назад
Abdukareem Hussein kwa hivyo kutukanwa yeye nisawa ila yeye akisema ukweli Ni matusi eee?
@reubenreonard6655
@reubenreonard6655 8 лет назад
wewe unamtetea sana diamond kwa kuwa una Shea yako kwa diamond
@mndememsafiri2314
@mndememsafiri2314 8 лет назад
mzee wa fursa
@williammadihi4632
@williammadihi4632 7 лет назад
nimeyaelewa majibu ya ruge.
@ramadhanwilbard4685
@ramadhanwilbard4685 5 лет назад
Kaka maneno yako yataishi miaka mingi,unaona mbali ulichokiongea zamani nakiona leo,mwenyezi mungu akujalie upone haraka inawezeka usije kuwa tajiri mkubwa wa kifedha lakini maneno yako yakawafanya Watanzania wenyekujitambua kifikra kuwa mbali ktk shughuli zao za kimaendeleo!
@booneyantony1022
@booneyantony1022 8 лет назад
wanatetemeka..wanaogopa hawajiamin bado wanamuogop ruge..sasa redio kubwa kam hyo mnashindwa kuweka video ya record yenu ..hamna kitu nyie
@tobiassamson796
@tobiassamson796 8 лет назад
Mawazo yako yakopoa
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 8 лет назад
Diamond bwege tena msenge tu.
@jumahamis4063
@jumahamis4063 8 лет назад
Dreamer Boy unaumwa chiz wewe wewe na d nani bwege
@justinmvungi6927
@justinmvungi6927 8 лет назад
niangalie kijana hayo matuc yako.
@saidsada7902
@saidsada7902 8 лет назад
Dreamer Boy matus yanin
@mullanochamp3860
@mullanochamp3860 8 лет назад
JUMA HAMIS dimo bwege tuuu kwan we unaona mzmaa yulee
@justinvianne2242
@justinvianne2242 8 лет назад
sasa wewe ukimtukana wadam mwezako hivo eti,bwege wewejee wakwite nani? kaza kamba kwakazi yako,siyo ukaze macho kwawengine.
@gottaboy4178
@gottaboy4178 7 лет назад
Nina ham kubwa yakujua kiwango chako cha elimu
@makerotv8193
@makerotv8193 6 лет назад
huyu jamaa Anamasters ya Business kutoka UK
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16